Nimechukua muda wa kama Saa zima kutemebelea tovuti ya bunge la Tanzania, yaani http://www.parliament.go.tz na kuangalia Cv za wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Nimegundua kuwa wengi wa...
SIKU chache baada ya kampuni ya Synovate kutoa matokeo ya utafiti wao, wasomi nchini wameufananisha utafiti huo na chati za muziki wa kizazi kipya (Bongo Flava) huku wakiwaonya Watanzania kuwa...
Na Nkwazi Mhango
RAIS Jakaya Kikwete aliishajijengea utamaduni wa kutojibu shutuma dhidi yake. Kazi hiyo aliikabidhi kwa wapambe wake, Yusuph Makamba, Kingunge Ngombale -Mwiru, George...
CCM yaiga CHADEMA
Yawaengua Rostam, Aboud, Somaiya kamati ya ushindi
na Martin Malera
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinajipanga kukusanya sh bilioni 40 za kampeni za uchaguzi mkuu kwa...
Tumechoshwa na hadidu rejea Kiti cha Ubunge Jimbo la Ubungo kinanadiwa na CCM kana kwamba Ubungo haina wenyewe,Alikuja Lamwai(NCCR kwa malumbano m,azito maendeleo...
....badala ya kujifanya ni Wapinzani kumbe ni Mamluki!? Cheyo na Mrema wakati umefika sasa wa kurudi CCM na kuacha usanii wenu wa kujifanya nanyi pia ni Wapinzani...
Kwa nini wana nchi wa majimbo yaliyo nje na miji ndio wamekuwa wepesi kuwachagua wabunge wa upinzani wakati sisi wa darisalama au tulipo tunaojiita wasomi wengi na miji mingine kama arusha...
Mh. Kikwete,
Wakati unagombea Urais kupitia ndani ya Chama Chako n hata kwa Taifa zima, ulijiuza kama muumini mkamilifu wa TANU na CCM pamoja na Itikadi zake na kuwa wewe ni muumini na mtifu kwa...
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameshtushwa na swali lililomtaka kutoa maelezo ya kwa nini Serikali inahofu kukubaliana na uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania iliyobariki mgombea binafsi.
Swali hilo...
Wadau,
Naomba msaada wa kupata 'soft copy' ya 'Elections Expenses Act of 2009' iliyopitishwa hivi karibuni na Bunge. Nimejaribu tovuti ya bunge lakini nimeambulia patupu.
wasalaam.
Je ni vipi tunaweza kuwashauri wale Wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu Mwaka 2010?
Watumie Mbinu na Mikakati gani? Wale wenye maoni ya kujenga tunaweza kuyatoa hapa . ...
Godfrey Mwakikagile plagiarized Mozambican author
By Fernando Veloso
Maputo (Canalmoz) – Tanzanian writer Godfrey Mwakikagile, author of a biography of Tanzania's first president...
Mwandishi Wetu
Februari 24, 2010
Ni Clare Short aliyeshupalia Tanzania kutoinunua
NYOTA ya Waziri wa zamani wa Uingereza wa ushirikiano wa kimaendeleo, Clare Short, aliyekuwa mstari wa mbele...
Na Tiganya Vincent-MAELEZO
Asilimia 75 ya watanzania waliohojiwa na Shirika lisilokuwa la kiserikali linajihusisha na utafiti wa masuala ya siasa, uchumi na kijamii wameonyesha kuwa wangependa...
Nimeandika hii article in response to 'Mkapa anataka azomewe vipi zaidi?' ya Raia Mwema
Very interesting article with a sad ending. Inanisikitisha sana!
Nina hakika Watanzania watamsamehe tu...
WASEMA RAIS KIKWETE ATABEBA MSALABA WA RICHMOND
Sadick Mtulya
WABUNGE wanaojipambanua kwa kupambana na vitendo vya ufisadi nchini, wamesema hawajashindwa vita ya ufisadi , hawaogopi mtu na...
By ThisDay Reporter
23rd February 2010
THE Speaker of the National Assembly, Samuel Sitta, was at the centre of an assassination plot in Dodoma last year, it has come to light.
According...
NIANZE makala hii kwa kukiri udhaifu wangu binafsi kwamba, wiki iliyopita nilishindwa kuandika chochote katika safu hii si kwa sababu ya kutingwa au kwa kile ambacho tumekuwa tukikiita kila mara...
Nimekua nikjiuliza na kutafakari maswali mengi na kutafakari baadhi ya majibu yanayoweza kuleta mabadiliko ya kweli.
Nimetafaaki utendaji wa keshi letu la JWTZ na namna ambavyo kama wenye...
Haya jamani wana Jf, jana na leo katika shirika la habari TBC1 kipindi cha jambo Tanzania Zito amekiri kuwa siasa halikuwa chaguo lake la kwanza, kwa maana hii mi natasfiri kwamba ni mamluki wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.