Hivi karibuni Dr Benson Bana ambaye ni muhadhiri wa UD na mkuu wa REDET amekuwa kimbilio la vyombo vya habari pale wanapotaka Uchambuzi wa mambo kwa mtizamo wa kisomi.
Binafsi nimekuwa sipati...
Kutoka Tanzania Daima
HATIMA ya usajili wa muda wa Chama Cha Jamii (CCJ), ambacho Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa, amekuwa akikipiga chenga, inatarajiwa kujulikana kesho katika mkutano...
Sorry.. I was about to fall asleep. Kuna kesi inaendelea hapa in the D ambapo jamaa mzungu mmoja anashtakiwa kwa kuwaambukiza watu wapatao 100 kwa virusi vya Ukimwi. Sheria ilivyo hapa ni kuwa...
Pamoja na matatizo ya kisiasa Uganda,kutoka Obote,Idd Amin, Binaisa hadi Museveni,kitu kimoja ambacho Makerere Uni wanacho ni kutoingiliwa kisiasa na any government.Kimebaki chuo pekee ambacho...
MELI ya Tanzania mv Barakaale 1 imenusurika kutekwa nyara na maharamia.
Manowari ya kivita ya Marekani ya USS Farragut imezuia shambulizi hilo katika Bahari ya Hindi.
Taarifa iliyotolewa jana...
(Makala hii imetoka Tanzania Daima Feb 17, 2010)
NILIWAHI kuandika huko nyuma juu ya uhuru wa mahakama zetu. Somo hili bado halijawaingia wanasiasa wetu hususan wale waliokaa kwenye kiti cha...
I'm assuming the price and time period will increase $9 and 3 years is too cheap and too short for this type of license. On another note was a tender ever announced?
From the East African...
Nora Damian
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe ameendelea kuwa mbunge maarufu kisiasa kuliko wabunge wote, huku akiwaacha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Spika wa Bunge Samuel Sitta...
Na Mashaka Mgeta
23rd February 2010
B-pepe
Chapa
Maoni
Ni ile Tanzania iliingizwa mjini
Ununuzi wake ulikuwa bei mbaya
Kesi inawasilishwa mahakamani
Andrew Chenge...
Tume ya uchaguzi imesema ina nia ya kuongeza idadi ya majimbo ya uchaguzi -- Ukumbi wa Bunge una uwezo wa kuchukua wabunge wengine 23 kutoka idadi ya 323 na kulifanya Bunge letu tukufu kuwa na...
MWENYEKITI wa chama kidemokrasia (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, anaandaa utaratibu wa kuwafungulia mashtaka Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na Waziri wa Nchi Ofisi ya...
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Igunga;
Tarehe: 21 February 2010
HabariLeo
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka wananchi wa Jimbo la Igunga mkoani Tabora kutomkataa mbunge wao Rostam Aziz wakati...
----- On behalf of poor, innocent Tanzanian citizen's -----
You MAFISADI'S - CCM won't rule this country forever - so whoever has stolen any penny (grabbed from poor Tanzania) - We will take...
Chama cha Wananchi, CUF, kimemaliza rasmi ule msuso wa kujiandikisha kwenye maboresho ya daftari la kudumu la kupiga kura, baada ya kuwahimiza wafuasi wake kujitokeza kwa wingi kujiandikisha...
Kuna taarifa kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeitisha kikao cha dharura cha Baraza la Mapinduzi kujadili na kupitisha rasimu ya sheria ya kura ya maoni juu ya uundwaji wa serikali ya umoja wa...
Nikiwa kama mtanzania mwenye kuwa na uhuru wakutoa mawazo napenda kutumia fursa hii kutaka kuujuwa ukweli. Nimesikitishwa na utafiti ulio fanywa na Synovate nakusema eti kikwete ana ng'a kwa...
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi, (UVCCM), Mkoa wa Arusha, imemchangia Rais Jakaya Kikwete sh milioni moja kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais Oktoba ikiwa ni kumuunga mkono...
Nyumbani ni shwari. Mnaweza kusikia mengi ya siasa kupitia magazetini, lakini mwaka huu ni mwaka wa siasa. Mtasikia mengi ya kisiasa, lakini msiwe na wasiwasi, nchi yetu ni shwari - Kikwete...
"We should not lessen our efforts to get the money we really need, but it would be more appropriate for us to spend time in the villages showing the people how to bring about development through...
MBUNGE wa Bukene, Teddy Kasela-Bantu (CCM), amejikuta katika wakati mgumu baada ya wakazi wa jimbo hilo kumshitaki kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwamba ametwaa ekari 40 za ardhi katika kijiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.