Japo sikubaliana na msimamo wa kakobe kuhusu kupita umeme au kutopita katika eneo la kanisa lake lakini amenifurahisha kwamba anaweza kuwaongoza waumini wake wakaungana kudai wanachodai na wengi...
Mabalozi wa amani ambao mwezi uliopita waliunda umoja ujulikanao kama Amani Forum wamewakosoa wanaharakati wanaoandaa maandamano dhidi ya Bunge kwa kusema kitendo hicho ni choko choko...
Mabadiliko huletwa na kikundi cha watu wachache wenye mtizamo tofauti na wenye uwezo wa kubadilisha fikra za jamii.....I salute JF members (ingawa sio wote) kwamba wana mawazo`bora sana kwa jamii...
Hii habari niliipata kwenye VOA sasa nashindwa kuelewa kwa nini Tanzania na Kenya zimeingia kwenye Mvutano au wanataka huu ushirikiano ufe kwani Tazania inataka kuuza Pembe za Ndovu nje ya Nchi na...
Inasikitisha na inauma jinsi wenye mamlaka wanavyojali PESA kiliko roho za watu, jAMANI WATU WANAKUFA, MIFUGO INAKUFA MAJI YA KUNJWA YAMECHAFULIWA HAKUNA ANAYEJALI????NDO NGUVU YA PESA?????
maji...
Jamani sisiem mbona mnawagombanisha wananchi hivi sababu ya madaraka
jamani huku arusha kumekucha watu wameanza kula hela za wah mzee f mrema na mwenzake alie kwenye system mama batilda,...ni pesa...
Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na makala hii ya mwandishi Ansbert Ngurumo.Hebu isome kwanza kisha tujiulize pamoja maswali flani
Someone seeking to kill us on the job
This news...
MUENDELEZO WA MAZUNGUMZO YA MH. MO DEWJI
Katika Jimbo lake la Singida, Tangu kupata uhuru hadi mwaka 2005 kabla yeye hajawa mbunge. Kulikuwa na shule 2 tu.
Ambazo ni Dr. Salmini na Chief Senge...
- Wakuu heshima mbele sana, sometimes ni vyema tuka-pose mashambulizi na kutoa soulution. Najua JF ni vichwa sana na sio mchezo inapokuja kwenye siasa na uongozi wetu wa taifa, sasa hebu tuone...
Almost half a century has passed since independence. We are in the second decade of the 21st century and we are not worthy of even being called an agricultural society because of the way our...
Ktk harakati za wazee wa znz za kumfungulia mashitaka Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano Mh Benjamin Mkapa,yapo masuala mengi na fununu nyinyi zimejitokeza miongoni mwa wananchi wa znz kuhusu...
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewashauri wananchi wa Jimbo la Igunga mkoani Tabora wasimkatae Mbunge wao Rostam Aziz wakati wa uchaguzi mkuu ujao kwa kusikia maneno yanayosemwa bungeni, badala yake...
Ammiminia sifa Rais Kikwete
Ataka awe mgombea pekee
Rais Jakaya Kikwete
Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar, Dk. Mohamed Ghalib Bilal, ameanza mbio za kuwania Urais wa Zanzibar kwa...
'Kina mama wengi Moshi wana saratani ya matiti'James Lanka, Moshi
MKOA wa Kilimanjaro umeelezwa kuwa miongoni mwa mikoa yenye kinamama wengi wenye matatizo ya saratani ya matiti na shingo ya...
LAITI UNGEKUWA UKIWANUNIA HIVI MAFISADI WAKINA
ROSTAM,LOWASSA NA WENGINEO UFALME WA MBINGU UNGEKUWA KWAKO BABA....NA JF TUNGEKUTUNUKIA
PHD KWA HESHIMA YA JF
Rais Jakaya Kikwete
HUU NI UPPUZI MTUPU;WAZIRI S.SIMBA ANADAI SERIKALI AWAWEZI KUMFIKISHA MAHAKAMANI MTUHUMIWA WA RADA MH CHENGE SABABU AWAJALETEWA TAARIFA ZA KAMA KUNA DENI WANADAI
SIKIA HUYU MWINGINE NA VERSE...
ADAIWA KUFANYA KAMPENI ZA UBUNGE KABLA YA MUDA ULIOPANGWA
Daniel Mjema,Moshi
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Moshi mjini kimempiga marufuku Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya chama hicho mkoani...
"Tumeuanza mwaka wa tano na wa mwisho wa Term ya kwanza ya Rais Kikwete.................Tunaweza kutaja mambo 10 ambayo Rais Jakaya Kikwete ameweza kuyafanya na kuyafanikisha na yaliyomshinda kwa...
- Wakuu heshima mbele sana, Tanzania ni muda mrefu sasa tumekuwa tukihangaika sana na hii ishu ya mapumziko baada ya utumishi wa siasa na serikali yetu, hii ishu imekuwa mwiba mbaya sana kwetu...
‘Chokochoko dhidi ya Bunge ni uchochezi'
Imeandikwa na Stella Nyemenohi; Tarehe: 21st February 2010 @ 23:55
HabariLeo
MABALOZI wa amani waliounda umoja ujulikanao kama Amani Forum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.