Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Nimeshiriki kidogo kwenye mjadala ndani ya Star TV mapema asubuhi Ijumaa hii nikichambua kwanini Sheria hii ni mojawapo ya sheria mbovu kabisa kupitishwa na Bunge letu, ikiwa na lengo la kudumaza...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Date::3/4/2010 Pinda awakaanga wakuu wa mikoa *AWAITA DODOMA, AWATAKA WAJIELEZE KWA DAKIKA TANO Habel Chidawali na Tausi Masanja, Dodoma Mwananchi WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewaita na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Uchafu uliokithiri jijini, Msongamano wa magari unaokera, Ongezeko la Ombaomba Barabarani, Kuongezeka kwa watu wanaofanya biashara kwenye maeneo mbalimbali kiholela mfano Manzese, na sehemu kadhaa...
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Source ya hii ni huko Tanzanet Changa la macho la Barrick na BoT wanakimbilia bila fikara. This idea of spinning off ABG was announced to the world in mid February, and the IPO is supposed...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Yadai chanzo cha ajali ye ndege ni ubovu wa uwanja wa ndege huko Mwanza... Yachomeana tena nyumba na kuharibiana mazao huko Musoma... Yazidi kuacha wamama wajawazito wazalie sakafuni...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
PIP. "Party in Power". Someone told me that's what "Wahindi" in Kenya (and elsewhere) support. As well as other 'sane' people do the same... Mlenge
0 Reactions
3 Replies
936 Views
Ndugu zangu wananchi tunaoishi New York City, na vitongoji vyake, kwa niaba ya kamati maalum ya wananchi kwa kushirikiana na wenzetu wa Ofisi ya Ubalozi wetu wa kudumu UN, - Ninaomba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Prosecute all corruption suspects, says US envoy By Erick Kabendera 4th March 2010 US Ambassador to Tanzania, Alfonso E. Lenhardt. The US Ambassador to Tanzania, Alfonso E. Lenhardt...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HARAKATI za kuwania urais zinahusishwa kuandaliwa kwa mtandao mpya wa Rais Jakaya Kikwete ambao unadaiwa unawarejesha baadhi ya wajumbe wake wa zamani, unampigia debe Spika Samuel Sitta na...
0 Reactions
147 Replies
11K Views
Unastahili tuzo(Tuzo ya mwanamke jasiri 2010-toka USA) hiyo kwa kuwa umekuwa mstahili wa mbele kutetea haki za waTZ ikiwa ni pamoja na wanawake kwa ujumla. Ni wachache sana wanaweza fanya...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
WAZIRI Mkuu na Makamu wa Rais mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba (69), amepelekwa Afrika Kusini kwa matibabu baada ya afya yake kuzorota; Tanzania Daima imebaini. Habari za uhakika ambazo gazeti...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
  • Closed
Kuna haja ya kumpendekeza magufu agombee. Tumechoshwa na watu kama kikwete ambao kwao cha maana ni safari za ughaibuni kila kukicha, huku wakiacha wazawa wenye hali duni tukifa na kutopea kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
January makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura. January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na...
0 Reactions
349 Replies
32K Views
Chief Executive Officer Category: Senior Management Location: Dar es Salaam, Tanzania...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
CHAMA CHA JIHADI? ETI ni kweli kwamba CCJ ni chama cha Jihadi na kwamba waathirika wengi wa mauaji Mwembechai na Zanzibar wamejiunga na chama hicho? Mambo ....ambayo CCM lazima...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanasheria na wachambuzi wa siasa nisaidieni kutoa ufafanuzi kwa hili,Hivi ikitokea kwa mfano Mwenyekiti wa Chama tawala kama alivyo J.K.Kikwete ,kutumia nafasi yake kama mwenyekiti wa chama na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nikitafakari sababu za kushindwa kwa Upinzani katika chaguzi mbalimbali hapa nchini na kujiuliza maswari haya yafuatayo 1.Kushindwa kwa upinzani ni kutokana na aina ya viongozi walionao...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
RAIS wangu, siko hapa kumhubiria mtu au watu, bali kuihubiri habari njema ya ukweli, upendo na haki. Katika watu waliofanikiwa sana kiuongozi kisiasa katika nchi hii kwa nyakati zao ni pamoja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Absalom Kibanda HEKAHEKA za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu zimepamba moto, na tayari vituko kadha wa kadha vya kisiasa vimeshaanza kuonekana kadiri miezi na siku za kuelekea Oktoba 31...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Yes indeed dear friends! It has been four years since we entered into the arena of public discourse in a fashion and manner never seen before; in online debates, political columns in our...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom