Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Habari wakuu, Naomba tujaribu kukitathmini Chama cha Mapinduzi, Mimi nakipa 0% Kwasababu toka kimeanza ni miaka chungu nzima na hakikustahili kuwa hapa kilipotuweka. Toa tathmini yako kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Clouds FM yatusaliti! The whole week PJ wa Power Breakfast (clouds FM) alikua anatembelea migodi ya Barrick. Akaja na bla bla bla kwamba wamepeleka maendeleo katika vijiji vilivyo zunguka...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe has expressed his government’s displeasure at the conduct of Canadian diplomat Jean Touchette whom allegedly spat on a traffic...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Baada ya kuwa mwangaliaji wa muda mrefu kuhusu masuala ya ufisadi, ningependa kusema kuwa hakuna kitu kinachoitwa vita dhidi ya ufisadi. Haya ni maoni yangu binafsi na sina nia ya kuwakatisha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ilishawahi kusikika: 'Kelele za mlango hazitunyimi usingizi' --- Wiki moja iliyopita: 'Pamoja na watu kulalamikia safari zangu, ukweli ni kuwa nalazimika kusafiri kwa kuwa safari zangu...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Halmashauri kuu ya chama cha NCCR-Mageuzi imemaliza kikao chake cha siku mbili jijini Dar, leo jioni. Katika kikao hicho, wanachama wapya waliohamia kutoka chama kingine walihudhuria kama...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
It has always bothered me. Anytime we have a serious debate or discussion in the country on corruption or there is a new scandal erupting you'll hear that a so and so donor country has given...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakuu, Nafikiri tumefikia hatua ambapo kuna haja ya kubadili katiba yetu ili Rais anayechaguliwa katika uchaguzi mkuu akae madarakani kwa kipindi kimoja tu kisichozidi miaka mitano. Hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
update 1: Wana JF; ule muda wa ile Conference yetu umewadia na maendeleo ni mazuri. Kuna mbadiliko kidogo ya Kimsingi: Dates: Saasa itakuwa ni kwa siku moja tu: Friday 18th December...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Tanzania Professionals Network (TPN) Nyumbani Ni Nyumbani 2009 Kongamano la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi Siku na Muda: Ijumaa; 18th December 2009;Saa 2.00 Asubuhi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF salaam! Ama baada ya salaam, ningependa kufahamu(kukumbushwa) kama Mh. Sophia Simba alihudhuria Zile series za semmina Elekezi zilizofanyika kwa mawaziri na watumishi wengine wa juu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mystery over refinery construction deal The initial plan was to construct the refinery at Kigamboni in Dar es Salaam, in the same region as the old refinery shown here, but the location...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kamati ya Mwinyi yaparaganyika • Wajumbe waanza kuchimbana, hofu yatawala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
na Asha Bani MKURUGENZI wa Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema serikali bado haijawashughulikia mafisadi na kwamba wanaendelea kuitafuna nchi na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari za weekendi. sasa naona muda unayoyma kwa Jk,sijui kama 2010 atakanyaga tena ile nyumba ya zamani kule magogoni.kwa hiyo wana JF,kama ilivyo desturi yeu,tuna takiwa kumpa zawadi za kuinua...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Chaguo ni lako.... 1. CHADEMA = (Chagua Dezo na Mali) 2. TLP = (Tuo Lina Pumziko) 3...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ama kweli, Adanganyika bado tupo GIZANI. Kabwe alisema tangu mwaka 2007 kwamba hataendelea na shughuli za Kisiasa itakapofika mwaka 2010, na muda huo bado siku chache. au hukuweza kumsikia? Lakini...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakati taifa zima likiwa katika mwangwi wa vita dhidi ya ufisadi, huku uadilifu wa viongozi wengi ukiporomoka chali, sisi wananchi tumekuwa kama kasuku kuimba nyimbo za hao mafisadi pasina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kenya pursues Tanzania link to illegal arms By Correspondent 10th December 2009 Kenyan police are pursuing hints that a huge cache of weapons seized by officers on Tuesday could have been...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Salome Sijaona Balozi mpya Japani Kikwete picks envoys to Japan, Saudi Arabia and Burundi PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed new ambassadors to Japan, Saudi Arabia and Burundi to fill...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…