MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema wanawasiliana na wanasheria wao ili kuona hatua za kuchukua baada ya kungundua kasoro nyingi katika mchakato wa uchaguzi wa...
Deus Bugaywa
INAWEZEKANA kuwa ni kiburi au jeuri ya madaraka au tu hulka inachukua mkondo wake; wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Hii ni kweli kwani kitu kikianza kuoza hakiozi...
Nilibahatika kuwemo katika msafara wa wapiganaji wa misituni wasiokuwa na kombati wala vyeo wala pasipoti kutembelea nchi zinazoongozwa na maraisi waliokuwa wapiganaji wa misituni za Rwanda,Sudan...
Ni ukweli usiofichika kuwa ukiacha madhehebu ya dini, hakuna taasisi au chombo chochote chenye uwezo wa kuimbia CCM we acha unavyofanya si vizuri.
Ulipotoka waraka wa Kanisa la Kikatoliki...
2009-10-03 10:15:00
TRA, Tanesco in showdown over stolen taxTanesco CEO Dr Idris RashidIf the money was stolen from TRA that has nothing to do with Tanesco, says utility official
BY Mkinga...
Salim Said
Mwananchi
October 2, 2009
Mkuu anayeshughulikia Sera na Bunge Philip Marmo, amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano inakwamisha utekelezaji wa mapendekezo ya Kamati teule ya Bunge...
Siku ya Jumatano 30 Septemba 09 Judge Warioba alinukuliwa na vyombo vya habari hapa nchini akizungumzia mambo mbali mbali ikiwemo na swala la ufisadi. Aligusia kuhusu ufisadi wa EPA, Meremeta na...
Date::10/2/2009Kamati kumhoji waziri kuhusu operesheni Loliondo
Exuper Kachenje
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga, atalazimika kutoa ufafanuzi mbele ya Kamati ya Bunge ya Ardhi...
Kamati kumhoji waziri kuhusu operesheni Loliondo
Exuper Kachenje
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga, atalazimika kutoa ufafanuzi mbele ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili...
'Waliohukumiwa kifo watej wenzao'
Written by Administrator
Thursday, 01 October 2009 07:12
Na Benedict Kaguo
MWENYEKITI wa Chama cha Albino nchini (TAS), Bw. Ernest Kimaya...
Madiwani Korogwe wamtimua mhasibu, DED amkingia kifua
Tuesday, 29 September 2009 16:30
Na Yusuph Mussa, Korogwe
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe wamemtimua...
Waliofanyiwa mtihani IFM wakalia kuti kavu
Thursday, 01 October 2009 08:19
Grace Ndossa na Neema Kalaliche
WANAFUNZI wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) waliofanyiwa mtihani wa...
RAIS wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amani Abeid Karume amesema hali ni shuwari Zanzibar na kuwataka wanasiasa katika Kisiwa cha Pemba kupingana kwa hoja na wale...
Salaam,
Niko ndani ya ukumbi huu wa AICC unapofanyika mkutano wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola. CBA.
Kinachoendelea sasa ni wajumbe wameshakaa sehemu zao, unasubiriwa ujio wa Rais...
Jana katika taarifa mbalimbali za habari, Makamu wa Rais Mh. Dr. Shein alisikika akiwahutubia wananchi kwamba serikali inatambua matatizo ya waalimu kama ambavyo yeye na viongozi wenzanke...
Chama cha Mapinduzi (CCM), Serikali yake na watendaji wa umma (civil servants) wanatangaza na kuhamasisha sera/kauli mbiu mpya ya KILIMO KWANZA. Taifa letu limepita katika vipindi mbalimbali...
Godfrey Dilunga
UNAPOZUNGUMZIA uwezo wa kiuongozi wa Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, yapo masuala muhimu ambayo ni lazima kuyataja, kuyatafakari na hata kuhoji. Masuala kama kifo cha...
Aliwachachafya maprofesa Mlimani
Alikwenda vitani Vietnam na Msumbiji
Na Born Again Pagan
KWA wale wenye kupenda kumjua Yoweri Kaguta Museveni, mwanafunzi wa Mlimani, someni yafuatayo...
Kule nako kuna madudu kibao yanaendelea na pamoja na uhuni unaofanywa na baadhi ya watu kama vile kutolipa intime ni ukweli usiopingika kuwa itakuwa ni project ambayo CCM na JK atajivunia sana...