wana jamvi mimi ni mchanga kwenye siasa ila najaribu kufuatilia kwa karibu yanayojiri kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi....
kwenye taarifa ya habari ya saa2 usiku TBC1 mzee Msekwa alikuwa...
Akiongea na BBC Juma Duni Haji "Babu" amesema wameshinikiza tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kwa kuwa iliyopo inafanya kazi kama kamati ya CCM kwa kukipendelea chama hicho kikongwe.
Duni...
SIKU moja baada ya Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume kuwahakikishia wananachi na wageni kuwa Zanzibar ni shuwari na atakayetaka kutembelea anakaribishwa mripuko mkubwa umetokea katika nyumba...
Ni kawaida kuona wanasiasa wakiwarubuni wananchi kwa kuwapa maneno matamu sana na yenye matumaini hapo mbeleni. Lakini cha kushangaza utekelezaji wake ni karibia na kipindi cha uchaguzi ndo utaona...
CHAMA cha Wananchi (CUF) jana kilitekeleza azma yake ya kuzipinga Tume za Tanzania na Zanzibar( Nec na Zec) kwa maandamano na kusisitiza kuwa tume hizo zivunjwe, ili ziundwe tume mpya huru...
Nimesoma magazeti ya leo asubuhi SPIKA 6 anatoa statements za kudai kuwa hatuna gharama tuliyoingia kwenye mkutano huu
Jambo hili sitaki kuliamini kwa sababu SPIKA 6 si mwadilifu yapotokea madili...
WAKATI Chama cha Wananchi (CUF) kimepanga kufanya maandamano makubwa kuanzia Buguruni Sheli hadi kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, msajili huyo amepiga marufuku maandamano kufika katika...
France's Economy Minister Christine Lagarde attends a session at the World Economic Forum (WEF) in Davos on January 31, 2009.
By OLIVER MATHENGE
Kenya will after all not be the first East...
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Arusha;
Tarehe: 29th September 2009
Habari Leo
SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta, ametangaza rasmi kuwa amejitoa mhanga kupambana na ufisadi ili nchi isiangamie...
ASEMA WALIOJIPENYEZA MADARAKANI, SASA WANAUMBUKA
Daniel Mjema, Same
RAIS mstaafu, Ali Hassan Mwinyi amelipua kombora jingine kwa viongozi wanaotuhumiwa kwa ufisadi, akisema kuwa...
Mimi kama Mtanzania nimeshidwa kuvumilia na mwendendo wa viongozi wa Serikali yangu yangu ya Tanzania kwa kutokuwa makini na kutoelewa nini maana ya uongozi, Maslahi ya mtu binafsi yamewekwa mbele...
MADA ya rushwa na ufisadi ambayo imekuwa ikivuma nchini kwa muda sasa itakuwa miongoni mwa agenda ya za Mkutano wa 55 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) unaoendelea mjini Arusha...
http://www.caribbeannetnews.com/news-19078--12-12--.html
Published on September 30, 2009
CARACAS, Venezuela (Reuters) -- Venezuela said on Tuesday that seven African nations would join it in...
Nashangaa nasikitika na sipati majibu kabisa
Hivi huwa ni akili zetu watanzania au ??
Tunaelewa kabisa huyu ni mbunge wetu whatever lakini katika kipindi chake cha miaka 5/10 or more hajafanya...
Assume we had the Federal Republic of Tanzania!
It comprises of the following Provinces:
Lake: Kagera , Mara, Mwanza and Shinyanga
Central: Dodoma,Tabora and Singida
Highland: Iringa...
MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Jenerali, Said Mwema amefanya ziara ya siku mbili katika Visiwa vya Unguja na Pemba kufuatia ghasia za uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura...
Kumekuwa na taarifa kutoka vyombo mbalimbali vya habari kuwa kuna Wanaccm wanaotaka kupata nafasi za uongozi hususani ubunge katika uchaguzi ujao kusambaza kadi feki za chama hicho miongoni mwa...
Kwa karibu siku kadhaa sasa nilikuwa najiuliza maswali kwamba labda Tanzania tupate kiongozi aliye mzalendo wa kweli mwenye hulka za kijamaa kidogo.. Lakini katika mawazo yangu nimekuwa najiuliza...
Sitamuonea haya fisadi hata aje na bilioni - Simba
27 September 2009
Majira
Na Gladness Theonest
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Bibi Sophia Simba amesema hatamwonea haya...
WAZIRI mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba ametahadharisha kuwa nchi inaelekea kubaya anapoangalia jinsi mambo mbalimbali yanavyoendeshwa, huku akisema kuwa serikali haitaweza kushinda vita dhidi...