Julius Samwel Magodi
RAIS Barack Obama wa Marekani, wiki hii alifanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wa nchi za Afrika, waliokuwa wakihudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)...
Na Sadick Mtulya
SERIKALI imetangaza rasmi kuwa kuanzia uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba, 2010 itaanza kuchapisha nyaraka na karatasi za kura nchini kwa ajili ya uchaguzi wa rais, wabunge na...
JUMATANO watu mimacho ikawa kwenye runinga zao, hata wale TBC ni chenga siku hiyo hawakuwa na shida maana TRENET ikawa live nayo hivyo hata wale ndugu zangu walokole wasioangalia vituo vingine nao...
Umoja ni nguvu ili kuing'oa CCM,
Tatizo letu kubwa au labda niseme tatizo kubwa la vyama vya Upinzani katika juhudi za kuitoa Tanzania kwenye madhila inayoyakabili ni kwamba THEY ARE SO...
Posted Monday, September 28 2009 at 08:00
With the Obama administration having sent off Kenya for corruption and impunity, Tanzania has emerged as East Africa's star player on the US pitch.
It...
*VIKAO VYA WABUNGE VYAANZA KUJADILI UTEKELEZAJI WAKE
Na Exuper Kachenje
MZIMU wa Kampuni ya Richmond Development (LLC), uliowekwa kiporo katika kikao cha Bunge kilichopita, unatarajiwa...
Baada ya kupagawishwa na kilimo cha Korea Kusini, Mheshimiwa Pinda leo anatusimulia maajabu aliyoyaona India.
--- Nanukuu ---
I was in India recently and I was surprised that ministers are...
Wadau naomba Ushauri wenu. Nafikiria kuacha kupiga kura kwa kuwa tangu nianze kupiga kura, sijawahi kumchagua aliyeshinda. Sasa naona kuliko kupiga kura wakati nayempigia kura huwa hashindi, ni...
Kuna Watanzania wanaanzisha matawi ya CCM nchini UK ,miji ya Reading,Birmingham,Southampton ,London na Manchester.
Cha kushangaza sijui wanapata muda upi wa kuchezea,na je hizi ofisi nani anazi...
kuna thread ilitoka hapo siku za nyuma, ikidai UDOM inajengwa kisiasa.me kwamtazamo wangu, hakuna mahala popote na sehem yoyote duniani, kukiwa na kitu cha maendeleo pasipo ingiliwa na siasa.ni...
Nimekaa na kufikiria kitu. Nchi yetu tunasema ni secular na dini na serikali havi fungamani. Tunasema serikali haina dini lakini watu ndani ya serikali wana dini. Swali langu linakuja kama ni...
Ailing ATCL in posh car scam
Air Tanzania Company Limited (ATCL), surviving on government subsidy, is under probe for alleged purchase of more than 15 luxury vehicles, for its top bosses for...
Jamani tumefikia hapa? Huu mkataba ulisainiwa lini? Wapi na nani alihusika? Tanzania itanufaika vipi? Hayo ni baadhi ya maswali niliyojiuliza baada ya kuiona taarifa hii ambayo tayari imegonga...
Wakuu najua kwa namna moja ama nyingine mmepata usumbufu wa takribani dakika 120 na ushee hivi kwa kukutana na ujumbe ambao huenda haukueleweka kwa wengi na ulikuwa si mzuri.
Kuna mtu kajaribu...
MSEMAJI wa familia ya Nyerere, Chifu Japhet Wanzagi amesema wanasikitishwa kuona viongozi wengi wa serikali wameacha mstari wa uadilifu aliochora hayati Mwalimu Julius Nyerere na badala yake...
Hizi siasa chafu tutazishuhudia sana mwakani na 2015 ndio itakuwa balaa kabisa. Mtandao walianzisha, sasa wamejiunga na wengine kwenye mambo ya kuchafuana.
Urais CCM balaa
• Malecela, Dk...
Haya ndiyo maneno aliyobwabwaja huyu mchungaji mwaka 2005, aliutamani ufalme wa siasa na kuambulia patupu
TV ya INJILI Kwenye Internet -
WWW.GOSPELGTV.COM
Tel. 254722602445 E-mail...
Mabaki ya mabomu 2 yalipuka na kuua watoto wawili walio kuwa wakicheza kwenye migomba na kuwaacha 4 wakiwa wamejeruhiwa vibaya.
More news stay tuned.
Watoto hawa wamenusurika kupata mauti...
jamani naomba kuuliza,ni kweli kuwa serikali ya ccm(chama cha mafisadi) imelipiga marufuku lile tangazo la sidanganyiki linalohusiana na uchaguzi ambalo linaonekana wazi kuwa lilikuwa la kuwananga...
Hivi ni makabila yapi tanzania yanayo keketa wasichana?mi nilikuwa sijui kama wachaga pia nao wanawa keketa wasichana,ningefurahi nikapata orodha yote ya makabila hayo tanzania.