FYI: Ifuatayo ni ripoti ya 'Gazeti la Serikali' kuhusu majibu ya Waziri anayehusika na Utalii/Uwindaji kuhusu sakata la Loliondo. Chini kabisa kuna taarifa kutoka kwenye Gazeti la Mwananchi...
Wakazi wa Kipawa wamwambia DC Ilala hana adabu
WAKAZI wa Kipawa jijini Dar es Salaam wamemsikitisha Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Evance Balama baada ya kumwambia kinagaubaga kuwa hana adabu...
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, John Chiligati amesema chama hicho hakina ugomvi wala uadui na wabunge wake wanaoongoza vita dhidi ya mafisadi nchini.
Kauli hiyo imetolewa siku chache baada...
Rev. Miguel DEscoto Brockmann, the president of the United Nations General Assembly, bestows official hero status - "World Hero of Social Justice" to first president of Tanzania Julius Nyerere...
Yap, ufisadi si kuiba au kuikosesha mapato serikali lakini msamiati huu unaweza kuendelea kule nyewe Serikali yenyewe inakuwa na tendencies za KIFISADI FISADI
sasa hivi wana Mradi mkubwa wa...
Na Salim Said
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbroad Slaa amesema vita ya ufisadi nchini, haitafanikiwa kama serikali haitamkamata Kagoda na kumchukulia hatua...
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Demokrasia. Maadhimisho yanafanyika hapa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja. Maadhimisho haya yameandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania TCD. Maadhimisho yameanza kwa...
Hi all, Just got this somewhere. I believe the author has some points....
Mchango yangu baadaye.
To our dear President,
Thanks for this opportunity to address you, Sir.
We are by now, way...
Vyanzo vyetu jijini Dar es salaam, vimethibitisha hali isiyo ya kawaida ambapo , Mwanaharakati John Mashaka amelivamia na kuliteka jimbo la UKONGA. Bw. John Mashaka ambaye yupo nchini kwa...
Words, I now can confirm, do not amount to much. We used to proudly proclaim that we would run while they walked. Words, my friends, words.
We then said binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika...
Niseme nini kisichojulikana? Alishinda kwa asilimia nyingi ya kura akijaza mioyo ya watanzania matumaini ya mwanzo mpya wa ujenzi wa taifa lao. Watu walitaraji mabadiliko. Walichopata badala yake...
Siku Rais alijibu maswali
Nilijaribu kupiga simu sikupata, sikupenda kutumia anuani ya yahoo hivyo sikutuma e-mail. Laiti ningepata nafasi nimeguswa sana na ninakerwa na usafiri kwa ujumla na...
Na Salim Said
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, John Chiligati amesema chama hicho hakina ugomvi wala uadui na wabunge wake wanaoongoza vita dhidi ya mafisadi nchini.
Kauli hiyo imetolewa...
Na Mwandishi Wetu
MwanaHALISI
KAMPUNI ya uwakala iliyosafirisha kontena lililokuwa na meno ya tembo ambayo yalikamatwa nchini Vietnam, inamilikiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya CCM...
Haya ni mojawapo tu ya maswali tuna debate kwenye familia yangu. Mimi na mzee wangu tuna philosophia tofauti kwenye siasa. Wakati yeye aliwahi kugombea ubunge kupitia chama cha CHADEMA uchaguzi...
MBUNGE wa Jimbo la Biharamulo Magharibi mkoani Kagera Bw. Oscar Mukasa ametoa simu 74 za mezani zitakazotumiwa na wapiga kura wake katika kuwasiliana naye.
Bw. Mukasa alikabidhi simu hizo wiki...
Wakati JK anajibu maswali juzi, alisema Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa serikali (CAG) anaendelea na kazi ya kuhakiki madai ya walimu ili yaweze kulipwa. Nina tatizo kidogo:
-Kwa kawaida na...
Wakati marais waliomtangulia waliamua kuondoa utawala wa Buganda kama njia ya kuondoa ukabila na kuunganisha nchi ya Uganda, Mseveni aliamua kurudisha utawala huo wa jadi wa Buganda kama njia ya...
Ni miaka minne sasa tangu tupewe kibwagizo kipya cha kisiasa cha Ari Mpya, Kasi Mpya na Nguvu Mpya.
Je tumepata mafanikio gani kwa kauli mbiu hiyo?Je hali yetu ya Kisiasa, Uchumi, Kijamii na...