Na Andrew Mushi
KATIKA kipindi cha muda mfupi wa miaka minne iliyopita, Zito Kabwe amefanya mambo makubwa sana katika nyanja ya siasa za Tanzania. Ni mambo watu wachache sana wanaweza...
It has been reported by The Daily News that GOT has decided to retain 100% shares of the defunct TTCL. I believe that is shady deal. Having said this, I do humbly pose the following...
NImeipoteza haki yangu ya kupiga kura kwenye chaguzi za Rais mbili sasa hivi. Nafuatilia sana siasa lakini si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Tusaidiane katika hili;
Nimchague mgombea...
Mtu anatoa fatwa ndani ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar ,halafu Malima anasema ni maneno yake binafsi ,Waziri vipi hujiamini kutetea mafuta ndani ya Muungano ? Basi uelewe kuwa ndio yametoka hayo...
Date::7/13/2009Spika Sitta atoa uhuru zaidi kwa wabungeSpika wa Bunge la Muungano, Samuel Sitta, ametoa uhuru zaidi kwa wabunge kuonyesha hisia zao wakati wakichangia hoja bungeni.*Ashauri...
13th July 09
`One man eats 36bn/- Norwegian aid`
Joyce Kisaka
`One man eats 36bn/- Norwegian aid`
Over 36bn/- in Norwegian aid given to Tanzania between 1994 and 2006 was squandered by an...
Katika pitapita mitaani nimekumbana na kitabu hiki. Nikaona labda JAMIIFORUMS ijitolee kununua hiki kitabu na apewe Rais wetu.
Pia kuomba idhini kiandikwe kwa Kiswahili na kuuzwa Tanzania na...
Daily News
ALL secondary schools owned and run by the parents wing of the ruling party (WAZAZI) will be returned to the government, the National Assembly was told here yesterday. The Deputy...
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema Wabunge na mawaziri wa Serikaliya Muungano wanaokejeli Maaumuzi ya Baraza la Mapinduzi juu ya kuliondoa suala la utafutaji mafuta na uchimbaji wa...
Lianzishwe jimbo jipya.(Kuwe na wabunge wa Kitaifa)
Ndugu zangu, mimi ni kijana ambaye wakati wote nimekuwa nikiamini kuwa kuna vitu vikubwa viwili ambavyo vinategeneza au kuharibu maisha ya...
Life is like a bundle of rope.
Whoever wishes to make use of it, find its beginning. The higher demand s/he becomes, the more careful s/he need to be with the pulling. Otherwise, the entire...
Ndugu zangu, si vibaya kama wadau wa maendeleo ukaanza kujadili kero mbalimbali za jiji letu la lukuvi.
Kwa ufupi ni kwamba kwa mtu kama mimi, naitwa mrekebishaji, najua kabisa siwezi kugombea...
Date::7/11/2009
Kikwete apinga hoteli kujengwa mbugani
Na Peter Edson
RAIS Jakaya Kikwete amepinga hoja ya aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowasa aliyoitoa bngeni enzi za uongozi wake ya...
SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta, amesema kuwa hoja ya Mbunge wa Nzega, Lucas Selelii (CCM), kwamba fedha za ujenzi wa barabara ya Chalinze, Segera hadi Tanga, zilianza kutumika kabla ya kuidhinishwa...
Habari za Masiku wana-JamboForum, soma hii habari kuhusu Mkutano wa CCM na CUF!
Makatibu wakuu CCM, CUF wakutana
MAKATIBU Wakuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama Cha Wananchi (CUF), leo...
TCRA nao watachunguza nini hapa? Hawana uwezo hata mdogo wa kuweza kuwagundua hao Wanigeria!
Kigogo ahusishwa wizi mamilioni kwa mtandao
Sunday, 12 July 2009 17:01 *Adaiwa kuvamiwa hotelini...
Kuna kitu kilitokea ambacho kilibadilisha au kimebadilisha nchi yetu moja kwa moja na hususan mjadala kati ya watawala na watawaliwa? Leo ni miaka 11 baadaye...mwenye kutegua ategue!
When the powers that be decided that it was time for a New World Order, secret treaties were signed - not too long ago - that determined how these "powers" would "share" (amongst themselves) the...