Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Exuper Kachenje na Salim Said VIONGOZI wa dini za Kiislamu na Kikristo jana waliendelea kumkalia kooni Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, licha ya kueleza kuwa ufisadi katika baadhi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkulo apasua jipu Imeandikwa na Shadrack Sagati, Dodoma; Tarehe: 14th June 2009 @ 09:06 Habari Leo Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, amesema suala la kuondoa misamaha ya kodi kwa...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Hekaheka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 zimeanza kwa kasi katika majimbo saba yaliyopo mkoani hapa kwa baadhi ya vigogo wa taasisi za serikali kuanza kujiimarisha kiasiasa kwa jipitisha kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ushauri wangu kwa Rais wangu ni kuwa. Maendeleo ya nchi hayaletwi na kelele bali matendo. Utakubukwa kuwa Rais Bora kama utasimimamia KIDETE priorities hizi- 1.Kutandaza Fibre Optics 2.Mapinduzi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mashtaka dhidi yake yaivaNa Saed Kubenea MwanaHALISI SERIKALI inakamilisha taratibu za kumfikisha mahakamani Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, MwanaHALISI limegundua. Waziri mkuu huyo...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
NCCR Mageuzi wataka siku ya uhuru wa Zanzibar Fidelis Butahe CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimeibuka na hoja mpya ya kutaka kutambuliwa kwa siku ya uhuru wa Zanzibar ,kama ilivyo kwa siku ya uhuru...
0 Reactions
84 Replies
17K Views
Bunge lakwamisha kesi ya Chenge Dar Leo – Alhamisi – Juni 11 2009 Na Rehema Maigala, Kinondoni MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni leo imelazimika kuahirisha kesi inayomkabili Waziri wa zamani...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu wa JF nawauliza, hivi inawezekanaje mgombea urais kupitia ccm kupita kwenye vigingi vya mizengwe ndani ya vikao vya chama kama kamati kuu, halmashauri kuu, na mkutano mkuu bila sapoti ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ninasikiliza documentary on BBC WORLD SERVICE kuhusu BRAND CUBA and its very facinating jinsi hawa jamaa wanavyofanya kazi Najua wengi wetu wakati wa ukombozi wa nchi za Africa in 1980's tunajua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mikoa minane kuingia kwenye mgawo wa umeme kuanzia Jumapili Na Boniface Meena SHIRIKA la umeme nchini(Tanesco), limeeleza kuwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tanga, Arusha, Kilimanjaro, Singida...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya heka heka kubwa na vurugu za hapa na pale zikiambatana na mipasho kibao kwenye vyombo vyetu ya habari( sio udaku) japo kwa sasa naanza kupata wakati mgumu kutofautisha vipi ni vyombo vya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Raisi Obama amemteua Alfonso Lenhardt mwanajeshi mstaafu aliestaafu mwaka 1990 akiwa Meja Jenerali kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania... Katika uteuzi huo unaoanza mwezi Julai 01 Rais...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Date::6/13/2009 Serikali isiyapuuze madai ya wahadhiri Mwananchi KUNA fununu kwamba, wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma nchini, wanajianda kuitisha mgomo kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Bi. Sophia Simba, amesema suala la kufikishwa mahakamani watuhumiwa wa Richmond bado lina utata kwani kampuni hiyo haikulipwa hata senti tano. Kauli...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
• Zacheleweshwa benki Dar zisivuruge kura Dpdoma • Ni fedha za kifisadi katika uchaguzi wa Wazazi Na waandishi wetu Dar na Dodoma Raia Mwema Juni 10 – Juni 16, 2009 MAMILIONI...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni kipindi cha maandalizi ya kupitisha bajeti ya serikali kwa mwaka 2009/2010. Pilika pilika zimeanza ambapo Wizara na Mikoa zitatakiwa kupeleka makisio yao kwa ajili ya mapitio kabla Kamati za...
0 Reactions
374 Replies
35K Views
Retired President of the Pan-African Parliament (PAP) Getrude Mongela said yesterday that the five years she had served in the African body had proved to the world that Tanzanian women were...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dear Presidents/Prime ministers, On behalf of the poor people of Africa, I send you this protest letter. We are angry. Yes we the people are very angry. We have endured your ill conceived, hash...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI VIONGOZI WA DINI TUSAIDIENI KUPAMBANA NA RUSHWA, UFISADI - PINDA WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini nchini waweke mkazo katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi Karibuni Serikali ilipata Pesa toka benki ya Dunia kwa ajili ya Kuboresha vyuo vikuu mbalimbali Nchini Tanzania, Lakini hata hivyo pesa zimepelekwa kwenye Vyuo vya Umma tuu, Yaani vyuo vya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…