Ballali`s fresh medical twist
By Rodgers Luhwago
7th June 2009
A row is simmering between Daudi Ballalis widow and the Bank of Tanzania (BoT), whom Mrs Ballali says should foot $37,000...
Hili wengine tuliandika tokea mwaka jana kwamba Mwakipesile hana mpango tena wa kugombea ubunge wa Kyela.
Sihitaji Ubunge Kyela 2010- Mwakipesile
Sunday, 07 June 2009 15:07 Na Mwandishi Wetu...
Wakuu nina swali. Hivi process ya kumreplace Mwalimu Nyerere ili kuaje kuaje? Nini kilim pelekea Mwalimu kuachia ngazi? Je ilikua kwa mapenzi yake mwenyewe au alisha soma dalili za nyakati? Siasa...
Kutakuwa na faida gani au hasara gani endapo tutaamua kuitisha uchaguzi mkuu mapema na hivyo kuondokana na mlolongo wa kashfa na watuhumiwa wa kashfa mbalimbali na hatimaye kuunda serikali mpya...
Kampeni za uchaguzi wa mwenyekiti wa jumuhia ya wazazi ya CCM Taifa jana zilihitimishwa kwa masumbwi baada ya kuhibuka vurugu kwenye baa ya chako ni chako na kusababisha baadhi ya watu...
Omar Bongo wa Gabon "bado mzima"
Imeandikwa na Mwandishi wa BBC
Gabon imekuwa katika uhusiano mzuri wa kiuchumi na Ufaransa Serikali ya Gabon imekanusha vikali taarifa zilizoendezwa na...
BUSANDA: Nauliza, naomba kujibiwa!
Padri Privatus Karugendo - Raia Mwema
1. Nauliza: Tumewaona mawaziri wa serikali ya awamu ya nne wakipiga kampeni kule Busanda. Walifanya hivyo kwa vile wao...
Licha ya tuhuma zilizomzunguka Basil Mramba, Kikwete alimteua kuwa Waziri wake. Licha ya tuhuma zilizomkabili Andrew Chenge, Kikwete alimteua mara mbili kuwa Waziri wake. Kama vile mtu asiyejali...
Nasikia kesho kuna mgeni muhimu kwenye kipindi hicho cha "Tuongee Asubuhi" ambacho kinarushwa saa 1:30 asubuhi. Mgeni huyo aliyeko Tanzania na mwanasiasa wa siku nyingi nasikia ataunguruma kwenye...
Kiwira coal mine grinds to a halt: Workers growing disgruntled as, suddenly, investors nowhere to be seen
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
INVESTORS in the controversial, formerly...
- The dataz nilizozipata leo kutoka ndani ya CCM, ni kwamba Kamati Kuu ya chama hicho inatazamiwa kukutana rasmi hivi karibuni, hapa jijini Dar-Es-Salaam, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri...
Utata uhamishaji mabilioni BoT
Mwandishi Wetu Juni 3, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
Ni Sh bilioni 137 za Tanesco na IPTL
Gavana Ndullu asema hajajulishwa
TAKRIBAN Sh...
UCHAMBUZI
Na Saed Kubenea
MwanaHALISI~Maslahi ya Taifa Mbele
KAMANDA Jakaya Kikwete amesalimu amri? Vita dhidi ya ufisadi imemwelemea? Mbona hatekelezi ahadi zake za kupambana na ufisadi...
JK baada tu ya kutoka US anahimiza wawekezaji wawekeze kwenye KILIMO?? Kuna siri gani hapo?? Je kuna watu amesharobb US. Je kuna wazungu watakuja soon?/ Wapi watawekeza?? Bonde la Kyela?? Bonde la...
Mkuu wa nchi amekanusha vikali uvumi uliozagaa Bongo kwamba serikali yake imepiga bei kwa wamarekani eneo la Kigamboni.
Mkuu huyo alikanusha hayo jana wakati akizindua kivuko kipya cha MV...
Mrembo albino ajiondoa katika mashindano ya Miss Mwanza
Na Paulina David, Mwanza
MREMBO Grace Wabani (23) amejiondoa kwenye mashindano ya kumsaka mrembo wa Mkoa wa Mwanza yanayotarajia...
Ukiangalia kwenye siasa kuna wale ambao wanaonekana wazi kuwa na malengo ya kuja kupata nyadhifa fulani. Uki chukulia mfano wa raisi wetu wa sasa. JK baada ya kushindwa kuukwa ugombea wa CCM kwa...
I have a very keen eye for patterns. I see patterns even when sometimes such patterns are not as obvious to other people as they are to me. As far this forum is concerned I have noticed a new...