Na Saed KUBENEA
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa ameshauriwa kukaa kimya kuhusu siasa zinazoendelea hivi sasa nchini ili akija kuibuka awe na kishindo kipya.
MwanaHALISI limeelezwa kuwa...
Pinda: Wawekezaji kwenye kilimo watapewa ardhi
Na Joseph Mwendapole
3rd June 2009
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema serikali itawapa ardhi wawekezaji wa kigeni wanaotaka kuwekeza kwenye...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
SERIKALI HAIPENDI KUONA WANANCHI WAONEWA PINDA
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewataka viongozi wa dini watambue kuwa kamwe Serikali haipendi kuona...
Ndugu zangu Watz na Afrika kwa ujumla napenda kusema uvujaji wa pesa za umma ni kitu kibaya na hakitakiwa katika serikali inayotaka maendeleo, Tumeona na kusikia katika vyombo vya habari wenzetu...
Politics is a man's world & so is the case in Tanzania. But once in a while we have women who stand out. Who are those women who stand out in Tanzanian politics? Who would be fit for the highest...
Mhh kweli hii nchi inaoza kama aijaoza..yule mwenyekiti wa bodi aliieiua AIRTANZANIA bwa ALI MUFURUKI ati ndie mkurugenzi wa wakurugenzi wa sekta tanzania....huyu bwana kilichomwondoa ilikuwa ni...
Mkapa roads zanzibar,
Moja inatokea njia ya Amani kupitia Darajabovu mpka Bububu, hii aliifungua Mkapa na inaitwa Mkapa road.
Nyengine inaotokea Kisiwandui kuelekea Michenzani pia inaitwa Mkapa...
Na Born Again Pagan
Bado tunajenga muktadha wa matukio ya ki-mataifa, ki-ukanda (regional) na ki-taifa (Tanzania) uliozalisha msimamo mkali kwa baadhi ya wanafunzi wa Mlimani miaka ya 1960 hadi...
Safari ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe nchini Hispania katika mkutano wa kuwakilisha shirika lisilo la kiserikali la Majirani Wasio na Mipaka (NWB) la mjini hapa, imezua mtafaruku...
Wana jamvi, kuuliza si ujinga maana nataka kujifunza kama si kueleweshwa kiufasaha.
Nina shahada yangu ya kupigia kura ambayo nalijiandikisha wakati nikiwa mwanafunzi chuo kikuu cha Dar Es...
Tz wamekopeshwa na IMF dola 400bil, Kuna mikakati ya kurudisha au hilo deni litasamehewa??
Au mpaka kizazi cha 2040??
TUJIULIZE, SISI HATUWEZI KUZALISHA.
Hebu tujadili hili??wana THINKTANKER
Wabunge waionya Polisi ajali ya Mwakyembe
Tuesday, 02 June 2009 16:33
Na Edmund Mihale
KAMATI ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge imelikata Jeshi la Polisi kuwa na...
Tanesco yaibuka na tahadhari mpya yataka Sh312 bilioni kununua mitambo
Na Leon Bahati
BAADA ya kimya cha muda mrefu, Shirika la Umeme (Tanesco) limeibuka na kuiangukia Kamati ya Bunge ya Nishati...
Wakaazi wa Mbarali Mkoani Mbeya juzi wameamua kuwatolea uvivu kauli ya ukweli Kamati ya Bunge iliyotembelea shamba la Mbarali lililobinafsishwa katika mazingira ya kumpa mwekezaji...
Nafikiri Lowassa alipanga mawe barabarani kwi kwi kwi!!!
Mbunge mwingine apata ajali gari yaparamia mawe yaliyotegwa
Ally Sonda na Rehema Matowo, Mwanga
MBUNGE wa Jimbo la Vunjo, Aloyce Kimaro...
Bei ya ngozi yaporomoka
Na Mwandishi wetu
21st May 2009
Bei ya ngozi imeporoka kutoka Sh 2,000 kwa kilo hadi Sh.500, imefahamika.
Hayo yalisemwa jana na Naibu Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya...
Secret of JKs visit to the White House
-And how Kenya seems to have got it all mixed up
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
IT has now emerged how and why President Jakaya Kikwete got...
Naiweka ki BAK style yaani copy bin paste....
Wana-Rukwa: Wanaodai Rais Kikwete
anasafiri sana wameishiwa hoja
. Mkoa huo wasema kuwa hao ni watu wa kupuuzwa tu
. Wasema kuwa safari za Rais...