Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

FFU wamimina mabomu ya machozi Msafara wa Freeman Mbowe Busanda 2009-04-22 21:49:48 Na Joseph Mwendapole Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wamefyatua mabomu ya machozi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Na Exuper Kachenje VYAMA vya siasa vya CUF na Chadema vimeelezea wasi wasi wao kuhusu uwezo wa kiutendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kwamba havina imani nayo. Hayo yalisemwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika hili, natofautiana na Kikwete Godfrey Dilunga Aprili 22, 2009 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo INGAWA Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inampa mamlaka ya uteuzi Rais...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamii. Katika jitihada za kuongeza ufanisi sekta ya utumishi wa umma, nilikua napendekeza watumishi wote wa umma wapewe mikataba ya ajira inayomwezesha muajiri na wateja/wadau...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
watu wengi wamekuwa wakijitahidi kuwachunguza wachumba watarajiwa na mwisho wa siku wanapomaliza kucheza ngoma wanakutana na mlima wa mawifi uliojaa theluji ya makimbizo;hapo ndipo imani uvumilivu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
OCS mbaroni kwa ujangili na Charles Ndagulla, Arusha MKUU wa Kituo cha Polisi (OCS) cha Loksale kilichopo Wilaya ya Monduli, mkoani hapa, Koplo Amani, amefikishwa katika mahakama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Your Excellence JMK President of the United Republic of Tanzania Dar Es Salaam, Tanzania. Your Excellence Mr. President Shalom, As-Salāmu `Alaykum Re:Saudis Request For 500,000...
0 Reactions
76 Replies
7K Views
YUOSUF Makamba (TARIK AZIZI)ashindwa kujibu kauli ya mama ANNE KILANGO aliyoitowa hivi karibuni kuhusiana na Mafisadi ndani ya CCM
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Ndugu wanachama wa TYVA na washirika wakuu wa dira Tanzania, tarehe 26/04/2009i siku ya maalumu ya kuadhimisha sherehe za miaka 45 ya muungano wetu kati ya Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MPs warned over documents LEONARD MWAKALEBELA in Dodoma, 21st April 2009 @ 11:53, DAILY NEWS The government has warned Members of Parliament that their privileges and immunities that go...
0 Reactions
89 Replies
10K Views
Naona wameamua la maana. Wagombea mwakani kubanwa kitaaluma Baraza la Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) limepitisha uamuzi wa kuishirikisha Tume ya Uchaguzi Tanzania (NEC) kuhakiki vyeti vya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Imetoka kwenye Gazeti la Ijumaa April 17-23, 2009. Je, kuna vitu ambavyo magazeti hayawezi kuviandika bila kuwa graphic kama ilivyo kwenye makala hii? Je, Serikali inatambua madhara ya...
0 Reactions
120 Replies
35K Views
Dear all. Ninaomba uppdates kwa yeyote mwenye data kuhusu uchaguzi wa Africa ya kusini. Je mnatarajia tutajifunza nini kutoka uchaguzi wa Afrika ya Kusini?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF harakati za kumzuia mwananchi kupata taarifa kuhusu yanayoendelea ndani ya "serikali yake" zimepamba moto. Kwa upande wangu nafikiri inabidi tujaribu kutafuta maana ya serikali ili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu baada kutafakari kwa muda mrefu na pia kujipanga kiuchumi na kisera nachukua fursa hii kuwatangazia wanajamii wenzangu na watanzania kuwa nimefikia uamuzi wa kuingia rasmi katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani, mipaka ya ziwa victoria watu wanataka kuifuta, ili kusiwe na mipaka kabisa. ziwa victoria linahitajika sana kwa uchumi wa kenya pamoja na kwamba wanamiliki asilimia 6% tu ya ziwa, ila wana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni habari za kusikitisha ila nafikiri ni katika kuwekana sawa kwamba airline industry si ya kujaribu....kampuni ya precission leo hii imethibitika kufuta flt zake za mwanza na kilimanjaro...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Some South Africans are wary. One of them is Desmond Tutu, retired archbishop who voiced his anger and dissatisfaction regarding Zuma. On Zuma’s incompetence, Tutu warned: “Although he is very...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Na Ndimara Tegambwage MwanaHALISI~Maslahi ya Taifa Mbele NI vilio vitupu. Baadhi ya wananchi wenye mifugo – Wamasai, Wairaqw, Wabarbaig na Wasukuma wanawindwa kama swala. Wanaambiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…