WANAJAMII HEBU NAOMBA MUISOME HII MAKALA KWA MAKINI,i believe mtagrasp kitu fulani.Naona kweli moto wa mabadiliko umewaka
SOURCE:RAIA MWEMA!
KATIKA moja ya mambo ambayo hayahitaji utafiti...
Ufisadi hadi kwenye vyombo vya habari?
Lula wa Ndali-Mwananzela Aprili 15, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
NAOMBA leo nisizungumzie mambo ya siasa kwa kadiri tunavyoziona siku...
Wakuu nimepokea picha hizi toka Bukoba na kuambiwa kwamba Lwakatare amefika Bukoba na kulakiwa na umati mkubwa wa wafuasi wake pale uwanja wa ndege na kufanya maandamano makubwa ya kumpongeza na...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda katangaza rasmi makao makuu ya wilaya ya Rorya kuwa INGRII JUU Tarafa ya Girango anapotokea aliyekuwa waziri wa ulinzi na mbunge wa Rorya Mzee phielemon ologi sarungi...
Tanzanian `spy` killed in Sudan: Described as `revenge` strike for slain member of rebel movement
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
A TANZANIAN national is reported to have been murdered...
Heshima Mbele,
Jana nilikuwa naongea na mpwa wangu kuhusuiana na mipango yake ya shule hasa ya chuo kikuu anakosoma,katika maelezo yake alilaumu jinsi ya ufundishaji katika vyuo,mpwa wangu...
Mheshimiwa Waziri mkuu,
Awali ya yote naomba kukupongeza kwa hatua yako ya kuzungumzia suala la DECI,na kuonehsa jinsi suala hilolilivyo la kihalifu,Umefanya vyema sana kwa kuwa kwa baadaye...
Demokrasia imeweka wazi kwamba mtu anahaki ya kugombea au kuchaguliwa. Kugombea ndani ya CCM ni haki ya kila mwanachama kwa hiyo na katiba yao imeweka bayana. Let them leave democracy to take its...
Submarines za Uingereza, Marekani, Urusi, India, Uchina na NATO ziko wapi ? Mbona hazipangiwi zamu pale Somalia ili kumaliza mzizi wa fitina wa wateka nyara meli au mapairetii ?
Hivi ni...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, leo amekutana kwa saa kadhaa na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari. Amelonga mambo kadhaa muhimu. Je, atatikisa ama atalikoroga? Tusubiri, ndio kwanza wanatoka...
MC Chitanda ni tapeli?
--------------------------------------------------------------------------------
Wandugu naomba kuwasilisha, tabia za baadhi ya ma MC zimekuwa ni mbaya sana hata...
Inaaminika kwa waumini wa Dini ya Kislam unapokula kiapo huku ukiwa umeshikilia kitabu kitukufu cha quran ni lazima uweke ahadi hizo la sihivyo yanakuta mengineyo .
VITA NDANI YA MITANDAO YA MAFISADI
Date::4/13/2009
Mbunge awashambulia mafisadi wa CCM wanaojiandaa kwa urais
Ally Sonda, Moshi
MBUNGE wa Jimbo la Vunjo(CCM) Aloyce Kimaro,amewataka...
Wabunge wataka siri za mgodi
Tuesday, 14 April 2009 16:06
Na Gladness Mboma
Majira
KAMATI ya Bunge ya Nishati na Madini imemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Bw. William Ngeleja...
Nilikuwa napitia mtandao wa wikipedia, ili kusoma historia ya vita vya Kagera, tahamaki nikakuta webpage moja wanalichambua jeshi la wananchi wa Tanzania kinaga ubaga, nikashituka sana, je hizi...
Kwa wale wafuatiliaji wa siasa za tanzania hasa wanasiasa wa vyama vya mlengwa wa kushoto (si wapinzani hawa wanapinga nini)...utagundua kuwa hakuna chama kitachofanikiwa kuing'oa madarakani CCM...
Unless mwandishi awe amekosea ila kama ndiyo reasoning ya polisi wetu hiko hivi mbona tumekula hasara! mwizi kashikwa na ngozi unasema ana tabia nzuri? Mh. Hebu tuambie manake najua unapokea...
Swali langu: Je; Ni Ardhi yetu ndo chambo cha hawa jamaa kuitolea mimacho au? hata hili suala la kuwa na kitambulisho kimoja cha Africa Mashariki -Kiusalama hatujafika huko na haya mambo ya kutaka...
JK akitembezwa kuangalia hoteli ya Kiromo View ya Bagamoyo baada ya kuizindua. Anayempa melezo ni Mkurugenzi Mtendaji wa hoteli hiyo, Bw. James Mujunamgoma. Kushoto ni waziri utalii na maliasili...
na Francis Godwin, Iringa
ZIKIWA zimepita siku chache tangu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kumuagiza Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Said, kuifuta mahakamani kesi ya Diwani wa Kata ya...