Hii nimeisoma mjengwablog;
Nimepumzika Kuandikia Raia Mwema
Kwa wasomaji wa makala zangu,
Baadhi yenu mmeshangaa kutonisoma kwenye ' Raia Mwema' toleo la jana. Nawajulisha kuwa nimepumzika...
Naomba nipate michango yenu wanajamii, kutokana na mimi binafsi kutowaelewa Vizuri wabunge wa KIGOMA
Sijui niseme wanauzalendo sana kwa mambo ya kitaifa au ni vipi, wanashadadia sana mambo...
Tume ya Uchaguzi `Zenji` yakana kupokea mashtaka ya CCM.
Posted Wed, March,04 2009
Source Alasiri
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), imekanusha kupokea malalamiko kutoka chama cha...
Heshima zenu wana JF!
Kuanzia kesho tunatarajia kuwa na marekebisho "Makubwa" ya JF ikiwa ni pamoja na mabadiliko kadhaa kwa ufanisi zaidi wa majukwaa yetu.
Tunaweza kwenda "offline" kwa muda wa...
Habari zinanukia na kusema kuwa ili kujisafisha na kuondoa sura ya madoa ya EPA, RADA, Kiwira na dalili zozote za kuitwa Chama Cha Mafisadi, CCM imeanza kampeni za usajili wa wagombea Udiwani na...
Naona MAPAMBAZUKO katika siasa za upinzani!.............wagombea wqengi wa URAISI kupitia vyama pinzani tanzania wameamua kugombea ubunge>
MREMA,ameelezea KUITIKA WITO uliomtaka agombee kwenye...
Rashid Lema, mmoja wa watuhumiwa wawili muhimu ambao bado hawayasimama kizimbani kutoa maelezo yao yu mahututi. Hali yake ilibadilika jana katika gereza la keko na akapelekwa hospitali ya Temeke...
Yaani umbelembele wa Waziri Membe unaelekea pabaya baada ya kudhihirika kuwa mikakati yake ya kujitapa na kuwa kuna njama za kuizalilisha ziara ya Bin Kimuni. Huu ni ubovu wa serikali ya CCM...
Six Members of Parliament Face Treason Charges
The Citizen (Dar es Salaam)
NEWS
11 June 2008
Posted to the web 11 June 2008
By Salma Said and Rodgers Luhwago
Zanzibar
Four...
My open letter to the president J.K. of Tanzania:
Your Excellence,
I am humbly honored to take this opportunity to communicate with you via Jamii Forum, Mr. President. I would have used a...
An angry President Kibaki has threatened to take legal action against anybody who implied that he has a second family.
The President, who appeared totally disgusted, called a rare press...
Jana kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku kwa bahati niliona issue ya ziara ya ghafla ya rais katika bandari ya Dar-es-salaam.
Wakati ninampongeza rais kwa ziara hiyo ya ghafla ninapata tabu...
Claud Mshana
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa, maandalizi ya zoezi la upigaji kura za maoni za kung'amua wauaji wa albino na vikongwe, limekamilika na litazinduliwa na Waziri Mkuu Mizengo...
KWA MUJIBU WA MAELEZO YA WANASIASA WENGI wakongwe kabisa, inaonekana kuna kile kinachoitwa SIASA ZA MAKUNDI NDANI YA CHAMA TAWALA!
Imefahamika pia siasa za makundi ZINAATHIRI MAAMUZI YA BUSARA YA...
Jaji Mkuu, Augustine Ramadhani, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu kuruhusu kuwapo mgombea binafsi katika uchaguzi wa kisiasa nchini, haupaswi kujadiliwa hivi sasa.
Amesema haupaswi kujadiliwa kwa...
Siku kama 2 zilizopita nilimsikia Profesa huyu akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya BBC.Katika mahojiano hayo Profesa SAFARI alitangaza nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Taifa Chama cha...
EYE SPY:The Malawians are cheeky!
ADAM LUSEKELO
THIS DAY
DAR ES SALAAM
OUR southern neighbours, the Malawians have decided to be cheeky. They have just arrested their former President...
2009-02-28 10:03:00
Kawawa denounces greedy CCM leaders
By Beatus Kagashe
THE CITIZEN
Retired Prime Minister Rashidi Kawawa yesterday called on members of the ruling Chama cha...
Mke wa Dk. Slaa abanwa
Adaiwa kutoa siri za ubadhirifu Hanang
na Ramadhani Siwayombe, Hanang
MKE wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, Rozi Kamili...