Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Maalim Seif: “Kikwete akome kutufitinisha Wazanzibari!”7/02/2009 Kauli ya Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, katika Mkutano wa Nane wa Maombolezi ya Januari 2001, uliofanyika viwanja...
0 Reactions
102 Replies
13K Views
Global Publishers Mauaji ya kutisha yaliyofanywa na wananchi wenye hasira dhidi ya kijana aliyejulikana kwa jina moja la Idd aliyetuhumiwa kutaka kuiba mbuzi kwenye banda eneo la Kigogo jijini...
0 Reactions
71 Replies
10K Views
Ndugu wanajamii serikali kupitia naibu waziri wa elimu imethibitisha elimu ya juu sio lazima kwa kila mtanzania kwa sababu serikali haina uwezo wa kusomesha watu wake. Swali, hali kama ni kweli...
0 Reactions
81 Replies
9K Views
Wandugu nimeenda BBC country profiles nikaangalia Life Expectancy (LE) Tanzania (51 years men: 54 years women) na Visiwani (42 years men: 44 years women) tofauti miaka zaidi ya 10 yaani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kikwete anapoteua mawaziri wake ... 2009-02-08 11:02:06 Na Simon Mhina Baadhi ya wasomi na wanasiasa wa kambi ya upinzani, wamemtaka Rais Jakaya Kikwete, kuwa makini anapoteua mawaziri...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
It's just a matter of time Australia's Key Petroleum upbeat on Tanzania DAR ES SALAAM, Feb 5 (Reuters) - [b]Australia's Key Petroleum Ltd said on Thursday its West Songo Songo licence in...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Makala yake imekuwa attached hapo Chini jisomee kwauangalifu. 0.1 Katika gazeti la Rai (Toleo Na.667 (ISSN 0856-4973) la 11/5/ 2006 ) muliandikwa makala ndefu sana ya Mhe. Hussein Siyovelwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mbabe Masha Picha zote kwa hisani kubwa ya Michuzi blog
0 Reactions
25 Replies
7K Views
..hii ni habari ya kwanza kuhusu kesi ya kina Zombe ambayo imeandikwa bila ushabiki wa upande wowote. ..kuna tabia miongoni mwa waandishi wa habari kuandika habari toka mahakamani ktk hali ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
What does it feel like to have elections that are widely hailed as being democratic? We wouldn't know since we haven't had anything like that in Tanzania. International Observers at the 1995...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Polisi kutumia mamilioni ya fedha kukabili mauaji ya albino Na Paulina David, Mwanza JESHI la Polisi nchini, limetenga Sh20milioni kwa ajili ya kuwazawadia watu watakaotoa taarifa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
We have got only one year kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010,binafsi nafikiri ni wazo zuri kama tufanya analysis ya wagombea wetu hasa upande wa ngazi ya President ,at least wapinga kura ambo ni sisi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Over 5000 Tanzanian applicants got US visas last year 2009-02-05 10:47:31 By Angel Navuri Over 5000 Tanzanians got US visas last year, the highest since America opened its embassy in the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yaani ile kuingia tu adai wazo lake lifanyiwe kazi na kuanzisha USA ,kwa maana ya United States of Africa,ingawa kuna upinzani mkali. Nampa hongera kwa kuonyesha msimamo na pengine huyu...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Heshima Mbele, Kwa taarifa nilizonazo ambazo nimepewa toka kwa mkulu mmoja wa shirika la Bima ni Kwamba Serikali imeagiza shirika hilo lifungwe wakati serikali ikiamua ni nini kifanyike...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Katika kuonyesha hali ya masikitiko inayoendelea kuikumba chama cha mapinduzi, hivi majuzi viongozi wa chama cha mapinduzi walishikana mashati katika kugombania pikipiki zilizotolewa na yule...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
*Akumbushia machungu ya kutemwa kwa Dk Bilali Na Salma Said, Zanzibar KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuacha kutamka maneno ya...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
This is a seer perspective: I am trying to look at the time when C.C.M will no longer be a ruling party. A time when wananchi and the new regime will be faced with the dilemma of prosecuting...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naamini Festi Ledi wetu anatuwakilisha vyema......Kiswahili Oyeeeeeee... au unasemaje kuhusu hii picha hapa chini.
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Ndugu wana JF Toka rais wetu alipomaliza muda wake kuna manno mengi ambayo amekuwa akiyasema kuhusu shutuma zinazoelekezwa kwake au kwa viongozi waliokuwa kwenye serikali yake. Alipokuwa kule...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…