Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wadau, Hii sijui kama inafit kwenye jukwaa la siasa, lakini naona imekaa kisiasa zaidi na inagusa maslahi ya umma. Kuna huu utaratibu wa kampuni nyingi za umma kuwauzia wananchi vifaa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KLHN International Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Shamsa Mwangunga amekuwa Waziri mwingine wa serikali ya Rais Kikwete kuomba radhi Bungeni kufuatia kile ambacho kimeelezewa kuwa ni kudharau...
0 Reactions
59 Replies
7K Views
BAADA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushinda uchaguzi mdogo wa Jimbo la Mbeya Vijijini, Katibu Mkuu wake, Yusuph Makamba amesema muungano wa vyama vya upinzani hauna mwelekeo sawa paka wanne...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Reckless drivers face manslaughter charges ABDULWAKIL SAIBOKO Daily News; Monday,February 02, 2009 @21:15 Drivers who knock to death pedestrians will face manslaughter charges instead of...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Date::2/2/2009 Waziri atetea matumizi ya magari ya kifahari serikalini Na Mwandishi Wetu Mwananchi SERIKALI imezitaja zababu za kununua magari ya kifahari na ya bei kubwa ya aina ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dozens of ships now stranded at Dar port :No official explanation so far A NEW TYPE OF CONGESTION? At least four cargo-laden sea vessels are pictured making a bee-line just outside the port's...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzania roads agency paves 1,500 km trunk roads Written by EABW CORRESPONDENT Saturday, 31 January 2009 DAR ES SALAAM, TANZANIA - About 1,500 kilometres of trunk roads have so...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Akichangia hoja hiyo, Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Kabwe Zitto, alisema kwa kosa hilo alilofanya Waziri ambalo ni la kudharau maazimio ya Bunge, wabunge wangeweza kuamua apelekwe gereza...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hatima yake bungeni wiki ijayo na Mwandishi Wetu Tanzania Daima~Sauti ya Watu JINAMIZI la shutuma limeendelea kumwandama Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, baada ya Mwenyekiti...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kati ya Waziri wa Tanzania au wa Iran mmoja wao amelidanganya taifa lake: Hivi ndivyo imeripotiwa: Mwandishi Wetu Daily News; Friday,January 30, 2009 @21:15 Waziri wa Ulinzi na Jeshi la...
0 Reactions
74 Replies
11K Views
TUAMKE JAMANI TUSILALE, MAPAMBANO BADO........ Napenda kwanza kutoa shukurani zangu za dhati kabisa kwenu ninyi wanachuo wenzangu kwa mshikamano mliouonyesha kipindi chote cha mapambano dhidi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
EYE SPY:Here comes another tsunami! Adam Lusekelo DAR ES SALAAM ANOTHER tsunami has just hit the Bank of Tanzania (BoT). Some $221m has been stolen by the real people who know how to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekiti UVCCM Mkoa akamatwa kwa tuhuma za wizi Joyce Joliga, Songea MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Mkoa wa Ruvuma, Benedict Ngwenya, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wandugu, ..i read in the news kwamba kuna wazee wa Kipemba wameamua kumshtaki Mkapa na Omar Mahita kutokana na mauaji yaliyotokea Pemba. ..ninavyokumbuka Raisi Mkapa alikuwa nje ya nchi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa _Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Rajabu Kiravu, alisema inawezekana majina ya waliokufa yakawa bado yapo kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwa sababu limeboreshwa. Alisema...
0 Reactions
131 Replies
17K Views
Date::1/21/2009 Kikwete asimamisha ununuzi magari ya serikali Na Mwandishi Maalum, Pemba Mwananchi RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa serikali yake inatafakari kusimamisha ununuzi wa...
0 Reactions
82 Replies
10K Views
Jamani habari za mvua? Leo wakazi wa dsm tumepata mvua, nadhani wengi wamefurahi, mbali na kuwa kuna kero mbalimbali associated with it. Leo nilikuwa mjini mapema sana asbh, nikapaki gari...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii imeingia sasa hivi kutoka "ndani"... Inadaiwa kuwa ni tamko ambalo Pinda anatarajiwa kutoa kesho au wakati wowote kama sakata hili la kauli yake litaendelea hasa baada ya baadhi ya Wabunge...
0 Reactions
194 Replies
20K Views
Je huu ni utamaduni wa Kitanzania inajulikana wazi kuwa katika zoezi hili la beauty pageants (Miss ?) mambo yanayotazamwa ni mengi na ya aibu au haya yanawafurahisha vigogo wetu na viongozi wetu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Je, wakodishaji wa pikipiki kama taxi watavaa helmets ili kukinga vichwa vyao kama itatokea ajali? Bajaj, pikipiki ruksa kuwa teksi Mwandishi Wetu, Dodoma Daily News; Thursday,January 29...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…