Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

  • Closed
Mkurugenzi/Mhariri wa gazeti la MwanaHalisi, Saed Kubenea, amerejea jana jioni akitokea nchini India alikokuwapo kwa takribani mwezi mmoja akipata matibabu ya macho yaliotokana na kuvamiwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
2009-01-02 07:53:00 Lawyers praise move to beef up CAG powers By Bernard James THE CITIZEN Lawyers in Dar es Salaam yesterday hailed President Jakaya Kikwete on his move to empower...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mtu aliyetoa ushauri wa Ballali kuwa mshauri wa kiuchumi wa Mkapa na baadaye Gavana wa Benki Kuu. Mtu huyo alijua mambo kadhaa: a. Alijua sifa za kisomi za Ballali ambazo zingetukuzwa...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Barrick Gold Resumes Production at Tanzanian Mine After Unrest By Sarah McGregor Dec. 16-- Production resumed at Barrick Gold Corp.’s North Mara mine in Tanzania after hundreds of people...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
2009 tukiamua na sisi tunaweza Lula wa Ndali-Mwananzela Disemba 31, 2008 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo MWAKA 2008 ndiyo huo unatokomea katika kurasa za historia. Ni mwaka ambao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Date::12/31/2008 Amaliza mwaka kwa kifungo cha miaka 459 Julius Sazia, Shinyanga MKAZI mmoja wa Shinyanga, Saimon Kulyama amemaliza mwaka 2008 kwa staili yake baada ya kuhukumiwa kwenda...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Huko Nyuma, Mzee Iddi Simba alikuja na hoja kuwa kama kweli Tanzania inataka ipige hatua kubwa ya maendeleo hatuna budi kuja na sera za kujali wazawa(weusi...). CCM ilikataa maneno hayo kitu...
3 Reactions
154 Replies
17K Views
WAKUU, Nimekuwa ninajiuliza kila siku kwamba kati ya watendaji ambao binafsi nimefurahishwa nao katika kumbukumbu zangu ni pamoja na Charles Keenja alipokuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar. Huyu jamaa...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
[color=blue][size=4]Ufisadi wawatisha wafadhili Mwandishi Wetu Oktoba 31, 2007 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo Please delete this thread
0 Reactions
3 Replies
1K Views
[color=blue][size=4]Kikwete akilegea CCM imekwisha Mwandishi Wetu Oktoba 31, 2007 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo Please delete this thread
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeingia hapa uwanja wa ndege wa JKN naelekeo Moscow kwa kazi yangu lakini maalumu , nikaamua kutembelea maduka haya ya duty free .Nimeshangaa kila mhindi namgusa ni msemaji ama wa kihindi na...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Ndg zangu kwa kadri siku zinavyopungua kuelekea uchaguzi mkuu 2010, mama Magreth Sitta juzi 27/12/2008 alifanya vituko katika uchaguzi mkuu wa UWT mkoa wa Tabora katika ukumbi wa Mirambo...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Oil prices up despite global drop 2008-12-27 11:33:19 By Angel Navuri and Patrick Kisembo Just a few days since oil prices hit below USD 36 in the world market the lowest in more than...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
What do we know about this man.. I know one thing for SURE; he is close to Mkapa and Rostam... a while ago, I received an email plying the whereabouts of Mr. Ruhinda.. does anybody know where he...
0 Reactions
75 Replies
17K Views
Hivi tunakwenda wapi sasa? What a dumbest way of protest! 12/20/2008 4:11:56 AM KATIKA hali inayoashiria kukua kwa uhasama miongoni mwa viongozi wa chama cha Mapinduzi Mkoani Mbeya, Mbunge mmoja...
0 Reactions
94 Replies
14K Views
*Rais Kikwete ateua Majaji Mahakama ya Rufaa ---- RAIS Jakaya Kikwete amewateua Jaji Salum Abdallah Legho Massati na Jaji William Steven Mandia kuwa majaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
WAKATI Bw. Kagame huko Rwanda kafunga soko la serikali kuhodhi magari yanayokula mabilioni ya fedha za umma bila kuwa na manufaa ya moja kwa moja kwa raia wa kawaida ila tu kwa wale wanaoyatumia...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
KUNA namna mbili kwa mtu kusafisha chumba chake; unaweza kufagia chumba, ukazoa takataka na kuzitupa. Lakini waweza pia kuzifagilia takataka chini ya jamvi. Ukifanya hilo la mwisho bado...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ii Habari baada ya kuisoma nimeona ni vema . Tupige kelele ili chama cha CCM kiwangalie matajiri wake kwa macho mawili!! Na siyo tu kukimbilia michango yao mikubwa at the expense of our people...
2 Reactions
21 Replies
10K Views
FINN'S FACTS: Why TRA needs a clean up similar to that of BoT FINNIGAN WA SIMBEYE THIS DAY DAR ES SALAAM A CLOSE friend of mine last week had to part with a cool 70,000/- to facilitate...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…