Ndugu Membe nimetokea ubalozini muda huu kutafuta huduma basi sijakuta mkubwa yeyote wako wadogo tu pale ndani ambao hata majibu ya maswali yangu hawakuwa nayo na nimeondoka bila ya kuhudumiwa...
Watanzania wenzangu wanamikakati wote hapa tunakubaliana na ukweli kwamba Tanzania kuendelea kwa muda mrefu inahitaji elimu. Kuwapiga vita mafisadi ni swala muhimu sana kwa nchi lakini tukikaa...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu na mmoja wa wachambuzi wa masuala la kisiasa hapa nchini, Dk. Azaveli Lwaitama, amesema ingekuwa vema kama serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikawekwa nje ya madaraka...
12/24/2008
DED aliyesimamishwa Ilala aibukia Shinyanga
Zulfa Mfinanga
ALIYEKUWA mkurugenzi mtendaji wa manispaa ya Ilala, John Lubuva, ambaye alisimamishwa kazi kutokana na kuhusishwa na zoezi...
Mimi imenishangazwa kusoma habari, kwenye gazeti la Nipashe, za Mh. Janeth Kahama kuwasilisha tuhuma za Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Utawala Bora Mh. Sophia Simba (M) kutoa rushwa ya sh. 100,000/-...
EAC moves to introduce decision making by majority
By FRANCIS AYIEKO
THE EAST AFRICAN
Posted Saturday, December 27 2008 at 10:33
East Africas justice ministers and Attorneys-General...
Sheria ya Nguvu Kazi ni Muhimu Irejeshwe
Mwandishi Wetu
Daily News; Sunday,December 28, 2008 @20:00
1. Katibu Mkuu Kiongozi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya Baraza la Biashara la...
Ugandans side with Tanzania on land ownership in EAC
By CHARLES KAZOOBA
THE EAST AFRICAN
Posted Saturday, December 27 2008 at 10:29
The majority of Ugandans consulted in the ongoing...
EYE SPY: Bongo wants armymen
ADAM LUSEKELO
THIS DAY
DAR ES SALAAM
HOPE you are having a lovely season. I saw a very rare advert yesterday in some paper. The TPDF is recruiting for men...
Katika kupitia gazeti la Nipashe nimekumbana na habari yenye kichwa cha habari kinachosema-Jeshi sasa laanza biashara ya ulinzi, na baada ya hapo ilinikumbusha miaka ya 1979/80 hivi wakati Dar...
Guinea PM Surrenders to Coup Leaders
By Scott Stearns
Dakar
25 December 2008
Guinean Prime Minister Tidiane Souare (file photos)
Guinea's prime minister has surrendered to coup leaders...
Huu ni wakati wa kuhinua uchumi wa nchi yetu TANZANIA.
Lazima Serilikali hitumie kila mbinu kuhinua hali ya maisha ya wananchi.
Kwa sasa hivi Tanzania uchumi wetu mkubwa unatokana na kilimo...
Polisi waonyeshe vitambulisho, namba zao wanapokamata watu
Maulid Ahmed
Daily News; Friday,December 26, 2008 @00:01
Katika harakati zangu mbalimbali za kila siku katika maisha yangu...
John Nditi, Morogoro
Daily News; Friday,December 26, 2008 @00:02
Umoja wa Makanisa ya Kikristo Tanzania (CCT), umeonyesha hofu ya kile kinachoonekana kuwapo kwa mgawanyiko wa viongozi ndani Chama...
Date::12/25/2008
Vigogo BoT wakatwa posho kwa asilimia 75
Ramadhan Semtawa
Mwananchi
VIGOGO ndani ya Benki Kuu Tanzania (BoT), sasa wamebanwa zaidi, kufuatia hatua ya uongozi wa benki...
Heshima Mbele,
Nipo Hapa Nairobi toka juzi kwa shughuli maalum ya kidunia,na nimebahatiaka kusoma katika magaeti ya hapa kukwa Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete atapewa shahada ya heshima(shahada ya...
Habari katika Mtanzania Daima zinadai kuna uwezekano Msekwa, Lowassa, Kisumo na wengine wakaonja Ukonga kwa kukaidi mahakama. Habari zaidi soma hapa chini:
Lowassa, Msekwa kortini
Wadaiwa...
Kuna taarifa kwamba TRA Uwanja wa Ndege wa Mwanza Idara ya Ushuru wa Forodha, wamezuia makasha kadhaa ya kampuni ya Barick Gold, yaliyokuwa yakipelekwa North Mara, kule Tarime.
Habari zinaeleza...
Sendeka awavaa wanaokingia kifua vigogo
2008-12-24 12:38:07
Na Simon Mhina
Mbunge wa Simanjiro (CCM), Christopher Ole Sendeka, amesema kamwe hakuna kigogo nchini atakayekamatwa na nchi...
JAMII FORUMS CSI at your service. WHAT'S YOUR QUESTION?
"...because outright fronting' and lying should be a crime"
WHY THE jf CSI UNIT?
IF YOU NEED SOMETHING INVESTIGATED LET...