2008-12-19 07:30:00
Gold firm revises loss estimates
By The Citizen Reporter
Barrick Gold Tanzania said yesterday it overestimated losses incurred when villagers recently invaded its...
Dear World,
We, the United States of America , your top quality supplier of the ideals
of liberty and democracy, would like to apologize for our 2001-2008
interruption in service.
The...
Wakuu hii habari imenipa huzuni kweli......muangalie askrai huyu na mshahara wake wa elfu 70 kaamua kujikimu na biashara ya mihogo nayo wameona atafaidi sana wakamtimua kambini........
Nimetokea...
...bila kujali kama zimelipiwa au la, maana ziliuzwa katika mazingira ya kutatanisha
Posted Date::10/15/2007
Wasiolipia nyumba za serikali kunyanganywa
Na Ramadhan Semtawa
Mwananchi...
Heshima yenu wakuu,
Kila nikisikia na kusoma sakata zima la BOT na jinamizi zima la ufisadi jinsi linavyotishia uhai wa Taifa letu Tukufu Tanzania na wananchi wake,huwa ninapata uchungu mkali...
From: Ratio Magazine
Andrea Bohnstedt accompanies the visit of a German trade and investment delegation to Dar es Salaam and wonders how attractive Tanzania for German firms.
At the...
Habari zinaingia sasa hivi wananchi huko Tarime wamevamia mgodi wa North Mara kwa kile walichodai kutokufaidika na uwepo wa mgodi huo hapo na yaa kuwa maisha yao "hayajaboreshwa". Pia habari hizo...
nDUGU WANANCHI,KUMEKUWA NA MAWAZO YA WATU MBALIMBALI AMBAO KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE WANAPEWA MADARAKA YA KUONGOZA NCHI MAKAMPUNI AMA MASHIRIA MBALIMBALI KWA KUPEANA AMA KUJUANA KINDUGU,,SASA...
Hatimaye serikali imeamua kutonunua mitambo ya Dowans SA kwa mujibu wa waliosikiliza BBC. Tovuti ya GlobalPublishers katika taarifa yao leo iliyoambatana na picha wamesema kuwa:
My Original...
Mod,unaweza kuiweka hii mahala inapofaa.
Nimeshtushwa na taarifa katika habari ifuatayo kwamba Jenerali Robert Mbona alikuwa mwanachama wa CCM tangu mwaka 1981.Labda sielewi vizuri kuhusu sheria...
Date::12/15/2008
Mikataba ya madini inachangia vurugu
Mwananchi
VURUGU zilizotokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Mgodi wa Dhahabu North Mara, ulioko Nyamongo, mkoani Mara kwa wakazi...
Wanabaraza wenzangu , nimekaa na kutafakuri kwa kina. Nimesoma na kusikiliza wengi humu jamvini. Sasa naomba kuuliza wote wale wanaoshangilia kukamatwa kwa mafisadi, nipeni sababu za msingi za...
Katika utendaji wa serikali, ninavyoelewa, mawaziri majukumu yao ni uanasiasa zaidi ya utendaji maana wao kama political commisars wa wizara zao wanatakiwa kusimamia sera na ilani ya uchaguzi wa...
Yona calls it a day: Leaves UK oil company in limbo
-Result of abuse of office case brought against him
FINNIGAN WA SIMBEYE
THIS DAY
Dar es Salaam
THE former minister for energy and...
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametoa nishani kwa waandishi wa habari mbalimbali ambao walifuatana na vikosi vya JWTZ kwenye Operesheni...
INAELEKEA ajira katika nafasi za juu ikiwemo zile za washauri na waandishi huko Ofisi za juu hazifanyiwi utafiti wa kutoshq na sasa kuna madai kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Richmond na Kigoda...
Katika utendaji wa serikali, ninavyoelewa, mawaziri majukumu yao ni uanasiasa zaidi ya utendaji maana wao kama political commisars wa wizara zao wanatakiwa kusimamia sera na ilani ya uchaguzi wa...
Tumekuwa tukiandika mara nyingi lakini watu wanatupuuza wakifikiri sisi ni wachonganishi lakini ukweli ni kwamba TAKUKURU inaenda pabaya, morale ya wafanya kazi ipo chini.
Sasa twende kwenye...