Aliyekuwa rais wa Botswana, Festus Mogae, ameshinda tuzo yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 5 itakayohamasisha utawala bora barani Afrika.
Bw Mogae aliachia madaraka mwezi Aprili baada...
Heshima mbele,
Kwa tarifa ambazo nimezipata mchana wa leo ni kuwa,ile ndege yetu ya Air bus jana ilipata itilafu na kushindwa kutoa matairi kabla haijaruka kwenda Mwanza ,na hivyo kuwalazimu...
Kama kuna ujinga uliokubuhu na kupata PHD, ni kutoka kwa Serikali yetu na Wanasiasa wetu.
Ni vipi leo tudai Blackberry simu yenye uwezo wa kupata mtandao wa intaneti ndio iwe kichocheo cha...
Imetolewa mara ya mwisho: 21.10.2008 0004 EAT
• Rasilimali zilizopo zinavyoweza kulikomboa Taifa
Na Glory Mhiliwa
Majira
BALOZI wa Marekani hapa nchini Marc Green na...
Kiama cha mafisadi chafikia ukingoni
2008-10-20 11:29:33
Na Simon Mhina
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, ametangaza kiama cha vigogo...
Christopher Nyenyembe, Mbeya
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
WAFANYAKAZI waliopunguzwa kazi katika mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira (KCM), mkoani hapa mwaka 2005, wanaoidai serikali zaidi ya sh...
University don calls for lesser presidential powers
ALVAR MWAKYUSA
THIS DAY
Dar es Salaam
A UNIVERSITY of Dar es Salaam scholar, Prof. Haroub Othman, has called for reduction of the...
Dmitri Tsafendas alikuwa karani wa bunge la Afrika Kusini wakati wa utawala wa makaburu waliokuwa wanaendeleza ubaguzi wa rangi, chini ya waziri mkuu wa wakati huo Dr Verwoerd. Huyu Dr Verwoerd...
Mbowe: Kikwete ameelemewa
na Salehe Mohamed
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema Rais Jakaya Kikwete anahitaji...
Hivi mkuu wa Trafiki tuseme ndiyo hajui kinachotokea siku za Jumatatu kila wiki, mara 52 kwa mwaka katika barabara ya Buguruni-Kwa Nyerere?
Invyoelekea usalama au uchafuzi barabarani katika...
Ndugu wadau,
Hivi karibuni nimepata kupokea ujumbe huu kwenye inbox yangu toka kwa watu tofauti tofauti,nikatafakari yale yaliyomo na yale tunayojadili hapa jf,nikahisi kwamba labda kuna kuna...
JK: Watakaothibitika kuua albino kunyongwa
na Esther Mbussi
RAIS Jakaya Kikwete amesema wale wote watakaobainika na hatia ya mauaji ya maalbino nchini watakabiliwa na adhabu ya kifo...
Ndugu wanabodi,
Tanzania sasa tunahujumiwa hata na balozi zetu, hii sasa inatisha kisa chenyewe kiko hivi.
Mimi ni Mtanzania ninaishi Denmark ingawa sio mwanachama rasmi wa umoja wa...
Jengo la kale Bagamoyo nusura limmalize Mchina
2008-10-17 22:22:34
Na Daniel Mkate, Bagamoyo
Mchina mmoja ambaye alikuwa msimamizi wa kampuni ya ujenzi ya CHICO inayobomoa jengo la kale...
Risasi zarindima Kariakoo
POLISI Dar es Salaam jana walilazimika kufyatua risasi hewani baada ya kutokea mtafaruku kati ya wafanyabiashara ndogondogo, mgambo wa jiji na maofisa wa Taasisi ya...
Ufisadi wazua balaa kongamano la siasa
2008-10-18 10:32:03
Na Simon Mhina
Kimbunga cha ufisadi bado kinakitesa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasi kwamba, sasa hali ya mgawanyiko...
Wakuu heshima mbele,
Naomba kuuliza, kabla Ali Hasan Mwinyi hajateuliwa kuwa Rais wa Zanzibar Baada ya kujiuzulu Aboud Jumbe mwaka 1984, Mwinyi alikuwa na wadhifa gani mwaka huo wa 1984?
Kesho Ijumaa aliyekuwa Mwandishi wa ITV huko Mara Bw. George Marato anatarajiwa kuwa na mkutano na waandishi wa habari kujibu madai yaliyotolewa na Jukwaa la Wahariri kuwa alihusika katika...
Lipumba: Tumkumbuke Mwalimu Nyerere Siku ya Kuzaliwa
Mwandishi Wetu Oktoba 15, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
Asema aliowaamini ndio waliovuruga nchi
MWENYEKITI wa Chama cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.