Wiki iliyopita Whaahri wa magazeti mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wao Sakini Datoo walitutangazia umma kupitia vituo tofauti vya Televisheni kuwa Jumapili 14 Oktoba 2008 watatoa hadharani...
Serikali yaiwakia MwanaHalisi
Maulid Ahmed
Daily News; Wednesday,October 08, 2008 @20:03
Serikali imelitaka gazeti la MwanaHalisi kutoa sababu za kujitetea ili lisichukuliwe hatua kutokana...
Dar won't give land to outsiders
By JOINT REPORT
THE EAST AFRICAN
Posted Sunday, October 12 2008 at 11:40
The East African Community partner states have for the third time suspended...
$20b capital fleeing Africa yearly - report
Road construction underway near Naivasha. The report asks, ‘Why does so much money flow from poor countries to rich ones, when, for both...
CCM wadhibitiwa Arusha kwa kuandamana bila kibali
John Mhala, Arusha
Daily News; Saturday,October 11, 2008 @20:09
Viongozi kadhaa wa CCM Wilaya na Mkoa wa Arusha juzi jioni walidhibitiwa na...
Habari zilizonifikia leo kutoka chanzo changu cha uhakika zinasema muda si mrefu kuanzia sasa Muungwana atafanya reshuffle nyingine na atamuondoa pinda katika nafasi ya uwaziri mkuu kwavile...
Date::10/11/2008
Uchakavu wa mabehewa, hujuma vyasababisha usafiri TRL vurugu tupu
Usafiri wa reli ya kati baada ya kuwa mikononi mwa wawekezaji toka India bado umekuwa wa mashaka has...
Date::10/10/2008
Mawaziri wapishana mgodini kutatua matatizo Kahama
Na Mwandishi Wetu
Mwananchi
WAKATI Waziri wa Nishati na Madini, Wiliam Ngeleja akiondoka jana wilayani hapa kumaliza...
Power grid to lose 40MW
CHARLES KIZIGHA
Daily News; Friday,October 10, 2008 @20:20
One more of the five independent power projects (IPPs) will fold up business next month, taking away with...
Hayawi hayawi yamekuwa..........yale yaliyokuwa yakisemwa na Kina Mar. Prof Seth Chachage sasa yanaanza kujionyesha.
Wageni wanaanza kuleta "ubaguzi wa kimatabaka" kwa watanzania.
Jana...
Usajili wa magari kufanyika mara mbili kwa mwaka
Halima Mlacha
Daily News; Sunday,October 05, 2008 @20:04
KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani, James Kombe, amesema katika kutatua...
Did kikwete protect mwakyembe enough pale alipojilipua? au amemtelekeza, mshikaji ndo anadondoka hadi bungeni kwa mawazo, mafisadi wanamtafuta, na raisi amemtelekeza. kama angejua haya, mwakyembe...
WAKIMALIZA WATUELEZE
Wakati kampeni za uchaguzi mdogo wa Tarime ulipoanza kushika kasi chama tawala kilitoa makadirio yake na fedha ambazo watatumia katika uchaguzi huo ilikadiriwa kama...
Unajua nani alianzisha na kulipeleka wazo la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ?
Katika pekua pekua zangu kwenye majalala ya historia zinakokaa historia takataka za watu maarufu ambao hawako...
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sana kwanini watendaji wengi Serikali hawakai katika ofisi zao ili kusukuma gurudumu la maendeleo?Mara nyingi wanaingia na kusign attandance kisha wanaenda...
Na. M. M. Mwanakijiji (Tanzania Daima)
MARA baada ya Rais Kikwete kumaliza kuhutubia hotuba yake iliyokuwa inangojewa kwa hamu na Watanzania, nilijikuta katika mawazo yangu yaliyopotoka...
Helikopta za CCM na Chadema zaleta maafa
Makubo Haruni, Tarime
Daily News; Thursday,October 09, 2008 @20:02
WATU watano wamelazwa baada ya kukatwa mapanga katika ugomvi wa kugombea uwanja...
Date::10/10/2008
CUF: Kikwete asibweteke kama Musharraf
Salim Said na Edson Kamukara
Mwananchi
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimemtaka Rais Jakaya Kikwete asibweteke na sifa anazomwagiwa na...
Kuna habari ambazo hazijathibitishwa ambazo zinasema kwamba 'Mwekezaji wa Kimarekani" ameamuru ng'ombe wauawe na Land Cruiser huko Sengerema hatima yake ndiyo hao ng'ombe 65 kuuawawa. Kama kuna...
09.10.2008 0025 EAT
Korti yazuia EWURA kudhibiti 'ufisadi'
Na Ramadhan Libenanga, Morogoro
Majira
MAMLAKA ya Usimamizi wa Nishati, Madini na Maji (EWURA), imezuiwa kufunga vituo...