Wana JF,
Nadhani wengi wetu tumeshawahi kukumbwa na mateso au adha na karaha zilizotokana na majaribio ya wanasiasa na viongozi wetu toka tupate uhuru hadi leo. Nadhani kama tungepata wasaa wa...
HIVI leo kina Masanja, Joti, Mpoki na wenzao wanaanza KUTUMIWA na Tanganyika Broadcastinga Corporation katika medali ya kejeli na vichekesho.
Tofauti na walivyokuwa wakiigiza katika...
UPEMBUZI unaonesha kwamba marais Kabila na Kikwete ndio wanaoongoza Afrika kwa kutoa ahadi zisizotimizwa.
Kabila aliahidi kuunganisha nchi; kupiga vita wizi wa madini; kuwaondoa askari mamluki...
Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini ni mfuatiliaji wa masuala ya siasa na ni mwanademokrasia na ni muumini katika haki na usawa na napenda kuona wanasiasa na vyama vyotevya siasa...
Tanzania itajengwa na watu wenye moyo. Elimu ni ufunguo wa Maisha. Akili ni nywele, kila mtu anazo. Elimu ni bahari, haina mwisho.
Tuna wasomi, lakini hawajaelimika- Ali Hassan Mwinyi 2008...
MAMIA ya askari wa FFU na magari yaliyomwagwa majiani hivi sasa (asubuhi hii) inaonesha kama vile Tanzania inayodaiwa kuwa kisiwa cha amani Afrika ghafla bin vuu imegeuka Soweto au Guguletu...
VIVA UDA! In this day and age when private bus operators and schoolchildren appear to be at constant loggerheads, the erstwhile state-owned commuter bus company seems ever-ready to put social...
EDITORIAL: The war against corruption in Tanzania losing steam fast?
EDITOR
DAR ES SLAAM
THE corruption cankerworm tearing our countrys social fabric apart has reached such grave...
HIVI leo kina Masanja, Joti, Mpoki na wenzao wanaanza KUTUMIWA na Tanganyika Broadcastinga Corporation katika medali ya kejeli na vichekesho.
Tofauti na walivyokuwa wakiigiza katika...
Lipumba aishangaa IMF
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amelishangaa Shirika la Fedha Duniani (IMF), kummwagia sifa, Rais Jakaya Kikwete, kwa jinsi...
Power shedding is back
2008-10-08 13:30:10
By Guardian Reporter
The Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) has announced fresh load shedding countrywide following yesterday`s collapse...
Haya jamani thats what Mo Ibrahim would like us to belive! Kungekuwepo na Index ya Usanii in Governance, then Tanzania ingekuwa nambari wani. But not one!!! jisomeeni wenyewe!
Ibrahim Index of...
Katika hali hii ya kiuchumi ambayo imeathiri Marekani na dunia nzima vile vijisenti vilivyodaiwa vina umuhimu mkubwa kwa Tanzania kutokana na safari za JK kwenda kuombaomba nchi mbali mbali hasa...
08.10.2008 @01:39 EAT
Police: Chadema has declared war on us
By Mussa Juma, Tarime
THE CITIZEN
Police in Tarime yesterday defended the use of rubber bullets and tear gas to disperse...
Tarime waiadhibu CCM, kwa niaba ya Taifa!
Lula wa Ndali-Mwananzela Oktoba 8, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
SIJUI kitabu wanachotumia Chama cha Mapinduzi (CCM) kushinda uchaguzi...
Date::10/7/2008
Mgomo wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini waandaliwa
Na Jackson Odoyo
Mwananchi
UMOJA wa Vyuo Vikuu nchini (Tahiliso) umepanga kufanya mgomo wa wanafunzi wa vyuo vikuu vyote...
Kuna habari kuwa rc wa mbeya amewaita wafanyakazi walioko chini yake akiwaonya wajiepushe kumsema rais wa awamu ya tatu bwana mkapa kwa kuwa watamletea shida,
mama ana mkapa anatuhumiwa kuuziwa...
Nikiwa njiani kuelekea Tarime, naomba kutoa rambi rambi kwa kifo cha Wakili Ndyanabo.
Namkumbuka marehemu kama mmoja wa wakazi wa jimbo la Ubungo aliyekuwa mstari wa mbele kutetea demokrasia...
Kila mara hupenda kufanya reality check kujua kama ninalofanya ni sahihi au si sahihi, kama ninayoyapanga yanatimilika au hayatimiliki.
Leo naomba nifanye reality check ya Jamii yetu JF, je...