Habari zilizonifikia sasa hivi ni kwamba Mbunge wa Mufindi Mashariki Bwana Malangalila yuko mjini Iringa akihaha kujaribu kuzuia kesi ya kaka wa hawara yake mmoja wa Ifunda isipelekwe mahakamani...
Wakati wa chama kimoja, CCM iliweka utaratibu wa kuwajuimuisha na kuwashirikisha wananchi katika ngazi zote, kuanzia juu mpaka chini kabisa. Utaratibu huo ulileta kuwepo kwa Wajumbe wa Nyumba...
Kuna member ana nick ya "Sikazi" amekuja na njia moja ya Spamming ambayo niwafahamishe members wengine kuwa ikitumika kwenu bila hiari yenu tufahamishe HARAKA iwezekanavyo.
Ujumbe huo unakupa...
Wakulu;
Leo kuna Tender imetoka katika Gazeti la Daily News kwa ajili ya Management ya Uwanja Wetu Mpya wa Taifa (Naambatanisha Tangazo katika PDF Format). Kwa waliofuatilia miezi michache...
Ni baada ya wale wafanyakazi 8 wa halmashauri hii kutimuliwa na madiwani wakidhaniwa kuwa walihujumu sh, bilion 1, pesa za walipa kodi, sasa serikali imeamuru warudishwe kazini,hiyo imethibitika...
Ni baada ya wale wafanyakazi 8 wa halmashauri hii kutimuliwa wakidhaniwa kuwa walihujumu sh, bilion 1, pesa za walipa kodi, sasa serikali imeamuru warudishwe kazini,hiyo imethibitika baada ya...
kama kuna mtu ana address yake anipe maana hii credit crunch itanua jama
yaani hata LIDL chakula bei juu
BREAKING NEWS!!!!!!
Landmark domestic trial victory as Tanzanian Domestic Worker...
Ndugu Watanzania wazalendo wenzangu.
Tumefika pahali ambapo taifa linapotoshwa sana kwa kiasi ambacho tusipokuwa makini tutazalisha taifa la walalamikaji, watu wa michapo... wajadili watu tu...
Nchi yetu iko kwenye kipindi kigumu sana, pengine kuliko awamu zote zilizotangulia; kwa bahati mbaya ni katika kipindi cha awamu ya JK ambaye kwa bahati mbaya au nzuri (sijui nitumie ipi kati ya...
Original story posted by Mzee Mwanakijiji
Yawezekana umeshasikia hili kwenye mtandao. Kuna jamaa ambaye for whatever reason anaamini na kutangaza kuwa hujasomea upasuaji wa moyo. This is what...
Habari Leo
Serikali hadi sasa imekwisha kutoa udhamini kwa mashirika mbalimbali wenye thamani wa zaidi ya Sh bilioni 350, imeelezwa.Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Jeremiah Sumari alikuwa...
Tarime North Mara Gold Property Summary Report
Property Description.
Kilimanjaro Minings North Mara Gold property is in northern Tanzania, eastern end of the Lake Victoria Greenstone...
WANANCHI wa Wilaya ya Njombe, Mkoa wa Iringa, wameeleza kukerwa kwao na kauli ya Rais Jakaya Kikwete, kwamba hakutembea na fuko la fedha za kuwagawia.
Wakielezea kuhusu kauli hiyo ya Rais...
Inasikitisha lakini CCM ndiyo ilivyo hivi sasa na hizi hapa chini ndiyo zingestahili kuwa ahadi za wanachama wa CCM kwa jinsi wanavyoiongoza nchi yetu
(1) Mafisadi wote ni ndugu zangu na...
Inaskikitisha kwamba Polisi hawana risiti za kupokea malipo kwa ajili ya silaha.
Hali hii ipo kwa muda wa zaidi ya wiki tatu pale oysterbay polisi, kila uendapo unaelezwa kwamba risiti bado...
Mchungaji Lwakatare kizimbani kwa utapeli
MOROGORO
Na Ramadhan Libenanga
MCHUNGAJI Israel Lwakatare (63) wa Kanisa la Assemblies of God Madizini kata ya Boma mjini hapa...
Date::8/11/2008
Serikali yamnyang'anya Tibaigana gari linalotuhumiwa
Na Mwandishi Wetu
Mwananchi
SAKATA la mauaji yenye utata ya vijana wawili, wakazi wa Dar es Salaam, Mine Chomba na...
Waheshimiwa Wabunge,
Naomba kuwasilisha ombi rasmi kwenu na kuwataka muwe sauti za Wazee Wastaafu na Wafanyakazi wa Tanzania.
Wazazi wangu ni wastaafu, kutoka ajira za mashirika ya Serikali...