Kuna wana JF waliosikiliza majadiliano kati ya Mzee Mwanakijiji na Mama Anna Kilango Malecela wakavutiwa kuangalia profile ya Mama Malecela kwenye tovuti ya Bunge. Kwa bahati mbaya kuna...
Ndege ndogo ya idara ya wanyama pori inasemekana imepotea na haijaonekana tangu ilipoondoka uwanja mdogo wa ndege wa Arusha kuelekea Loliondo.
Inasemekana ndege hiyo ilikuwa imebeba vigogo wa...
Inawezekana wengine mmeshaisoma hii essay ilipotoka miezi kadhaa au kusoma kitabu cha huyu mkongwe wa Uchumi.
Si vibaya sisi kama Jamii na Taifa tukipitia yaliyoandikwa na kujiuliza tupo wapi...
Baadhi wa wakazi wa Dar es Salaam wakiwa na bidhaa walizonunua katika maonyesho ya kimataifa ya biashara yaliyoanza Jumanne Jijini.
Utekelezaji umeanza rasmi jana
Majengo yote kuthaminiwa...
Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Hamad Rashid ametaka viongozi wanaoua watu waobarani Afrika wakamatwe na kufikishwa katika mahakama za kimataifa kama njia ya kuhakikisha utawalabora unazingatiwa...
Mimi Asha Abdala, nawaomba watanzania wote wenye mapenzi mema muweze kuwachangia wabunge mahiri Dr Slaa na Zitto Kabwe ili waweze kuwa na vijana wa kutosha pale bungeni Dodoma wawasadia katika...
Kama ilivyosemwa kuwa 'Nyani haoni ..............'
Pinda arushiwa kombora la Zimbabwe
2008-07-03 19:13:27
Na Waandishi Wetu, Jijini
Waziri Mkuu Bwana Mizengo Pinda leo amejikuta...
Mkuu Mzee Mwanakijiji nashukuru sana kwa hii kitu maana nimecheka mpk basi naomba na wengine ambao hawajachungulia KLH News kule waone madaraka yalivyo matamu. Swali linakuja : Je kwa Mpango huu...
Heshima mbele wana JF
Nimekereka mpaka nimeona ni bora nije mbele yenu ile tujadili hili,
Bahati nzuri nna kalikizo kadogo na kamenisaidia kuweza kupata muda wa kuangalia bunge moja kwa moja...
Sera mpya inayoonekana kuundwa na Serikali za Kiafrika ambazo baadhi ya viongozi wake wakuu wamekuwa wagumu kuachia madaraka ni kutokubali kuondoka madarakani wakiweka lengo la kuunda serikali ya...
Ukifanya kazi McD hasa kwenye cashier register hawaruhusu cash register yako iwe na upungufu wa zaidi ya dola mbili mwisho wa mauzo ya siku. Ukiwa na upungufu huo mara tatu wanakutimua!
Kwa...
Masikini Pinda...hajui hata nini kinachoendelea ndani ya siri kali
`Pinda aombe radhi Bunge`
2008-07-02 16:57:55
Na Emmanuel Lengwa, Jijini
Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinda...
EDITORIAL: The clout of national security
EDITOR
DAR ES SALAAM
LATELY Tanzania is witnessing Parliaments blossoming new democracy where parliamentarians, irrespective of their party...
No hanky-panky in Dar street name changes � deputy mayor
SEBASTIAN MRINDOKO
Dar es Salaam
THE Deputy Mayor of Ilala Municipality, Mohamed Yakoub, yesterday defended the increasing...
Are assets declaration forms being doctored?
-Minister says will investigate these latest allegations
THISDAY REPORTER
Dodoma
A NUMBER of prominent politicians are alleged to have...
2008-07-02 09:52:45
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Mbunge mmoja ambaye ni miongoni mwa watuhumiwa katika kashfa ya mkataba wa aibu wa Richomond ambayo baadaye ilikabidhi shughuli za kufua umeme...
French-Colombian politician Ingrid Betancourt and 14 other hostages have been freed after rebels holding them were tricked into handing them over.
Colombian soldiers - apparently posing as...
Kulinga na taharifa ya habari ya BBC leo asubuhi, kiongozi wa alijitangazia ushindi katika kura ambayo imekuwa ni aibu kwa africa Robert Mugabe amesema kiongozi yeyote aliye msafi africa na...
LOWASA ALICHAFUKA WAPI WAPI MPAKA ASAFISHWE?
Nilisoma uzushi mkubwa katika moja kati ya magazeti yatolewayo mara moja kwa wiki siku chache zilizopita.
Pamja na mambo mengine...
Wajameni sio vibaya kupitia pitia kwenye hiki chama cha NCCR-Mageuzi; katika pitapita zangu nimeona tovuti hii ya NCCR-Mageuzi
Angalizo: Naomba kuwaeleza chama chetu makini cha CHADEMA kwamba...