Ilikuwa ni mbwembwe na vifijo baada ya kupata kiti kimoja cha udiwani kati ya 16 vinavyogombaniwa.
mkuu zitto alitinga na heading upinzani1 ccm 0 na kutuahidi kuwa hii yote ni dalili za nyakati...
Malecela aitikisa CCM mara nyingine
na Martin Malera
Tanzania Daima
SASA ni dhahiri kuwa John Samuel Malecela ndiye mwanasiasa anayeshikilia kwa nafasi kubwa hatima ya mshikamano na uimara...
Posted Date::10/31/2007
Uchaguzi CCM:Nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM moto
*Ngeze, Kimiti wapewa nafasi kubwa
*Malecela, Lowassa, Sumaye nao wamo
* Kiti cha Katibu Mkuu pia kitendawili...
NASAHA ZA MIHANGWA
Nakala chapishi
Mtumie mwenzio
Raia mwema anapoamua kutafuta haki na Paradiso iliyopotea
Joseph Mihangwa Oktoba 31, 2007
Raia Mwema
NI Rais wa...
This place is turning me into a politician. Kwa kweli, nilikuwa sina interest kabisa na mambo ya siasa, but I can feel something burning inside me. Natamani kila Mtanzania anayejua kusoma angeweza...
Ndugu Rashid Hamad Mbuge kupitia Chama cha CUF sasa anaendelea vyema baada ya kufanyiwa OPeration huko Nchini India. Kwa kuwa ndugu Hamad amekuwa mtetezi wa Taifa la Tanzania, na sasa anaumwa...
Tukaambiwa wale 27 wa ajali ya Mbeya ni kafara ya saidia Taifa Stars iwafunge Machinga, Huko Singida wamefariki watatu sijui ilikuwa ndio kafara ya kumtafuta aliyemlawiti mtoto mdogo?
Waswahili...
Baadaye leo kwenye majira ya saa saba EST sawa na saa sita CST ambayo ni saa mbili za usiku EAT, nitapata nafasi ya kuzungumza na kiongozi mmojawapo wa ngazi za juu wa CCM. Kama hakutatokea...
Kuna habari ifuatayo iliyojiri hivi mapema kuhusiana na mfumo wa siasa yetu nchini, tafadhali soma hapa chini:
Wapinzani watinga kortini
2007-10-05 17:38:14
Na Sharon Sauwa, Mahakama Kuu...
Nimeona kwenye habari za magazetini kupitia Channel 10 ... Gazeti la RAI linadai kwamba mabadiliko makubwa ya uongozi serikalini yanakuja na yatafanyika mara baada ya Uchaguzi wa CCM ambao...
Posted Date::10/25/2007
Ajali za viongozi sasa zawatisha wabunge
Na Ramadhan Semtawa
Mwananchi
HUKU wakiwa na nyuso za huzuni baadhi ya wabunge na mawaziri wameshutushwa na kutishwa na...
Gazeti jipya kabisa la Kiswahili linatarajiwa kuingia katika vibanda, maofisi, na mitaa ya Tanzania kuanzia tarehe 31 Oktoba mwaka huu. Jarida hilo la "Raia Mwema" litakuwa na habari mbalimbali...
Je, Muungwana alichukua bulungutu toka kwa wafanyabiashara hawa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mgombea wa CCM? Alichukua kiasi gani na toka kwa akina nani? Na hao walioshindwa nao...
...Wabunge watatafuna pesa na hakutakuwa na ufuatiliaji wa maana kuhakikisha kama kweli pesa zimetumika jimboni
Posted Date::10/16/2007
Miswada mipya saba kusomwa Bunge lijalo
Na Tausi...
Baada ya kuona hii habari hadi sasa sijaona tamko la watu kushitakiwa wala kukamatwa naingiwa wasi wasi na juu ya mwenye magogo haya . Je huu si mtego kwamba wanataka kuziba issues za Zitto na...
Kwa kuwa huwa nascan sana vyombo vya habari ambavyo vinaandika kuhusu TZ lakini hawa jamaa wa INDIAN OCEAN NEWSLETTER wananiacha hoi maana wao wanachaji kwa article badala ya subscription ya mwaka...
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTERIAL TENDER BOARD MINISTRY OF FINANCE
TENDER NO. 7 OF 2007/2008 FOR SUPPLY OF INFORMATION TECHNOLOGY HARDWARE AND CONSUMABLES ACCOUNTANT GENERAL'S OFFICE...
Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni amezindua Tanagazo mjini New York kutangaza vivutio vya Utalii vilivyoko nchini Tanzania jamani kwa wale walio liona tusaidiane ushauri tangazo hilo...
Kwa: Katibu Mkuu
Chama cha Mapinduzi
Yah: Uamuzi wa Spika wa Bunge kuhusu suala la
Mheshimiwa, Malima (Mb) na Bwana Mengi Mwenyekiti wa
IPP
Suala lilitajwa hapa juu la husika...