Wasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa...
Kafulila asipozibitiwa anaudanganya Umma kupitia PPP, akilenga kueneza uelewa potofu kuhusu mfumo wa ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi. Katika kipindi hiki, ni muhimu kuelewa kwamba PPP...
Mradi mkubwa wa ujenzi wa Bwawa la Kidunda linalojengwa mkoani Morogoro litakuwa na uwezo wa kuhifadhi zaidi ya lita bilioni 190 za maji na kugharimu kiasi cha Shilingi bilioni 336, umefikia zaidi...
Meli ya Kitalii ya Ledumont D'urville yaweka Nanga Kilwa
Februari 3, 2025 Meli ya kifahari ya Ledumont D'urville ikiwa na watalii 146 kutoka nchi za Marekani, Uingereza, Australia, Ufaransa, na...
Mbunge wa Jimbo la Bunda Vijijini (CCM) Boniphace Mwita Getere amewataka baadhi ya Mawaziri kutimiza wajibu wao kwa weledi ili kuweza kutatua changamoto za wananchi.
Getere ameyasema hayo Ijumaa...
CCM ndio chama kilichoamoniwa kutupa mwelekeo wa taifa. Hata wananchi walipoulizwa kama wanataka vyama vingi miaka ya 90 walisema kwa zaidi ya 80% CCM iendelee.
Huwa sijui kwa Mujibu wa CCM na...
Wakuu,
Feb 6 Mkurugenzi Mkuu TCRA Dkt. Jabir Bakari alisema dhima ya serikali ni kuhakikisha jamii inanufaika kwenye uchumi wa kidigiti, uchumi ambao shughuli zote zinategemea TEHAMA, na kwamba...
Anaandika Martin Maranja Masese, Mtikila
Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Mwanasheria mkuu wa serikali, Spika wa bunge, Naibu Spika wa bunge, Mawaziri na Wabunge wote, wanalipwa posho ya kujikimu...
DOROTHY Semu Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ametea Kamati ya Kuunda ilani ya chama hicho ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Kiongozi huyo ameyatangaza majina hayo leo tarehe 6 Februali 2025...
Uwenda watu wengi hawajuwi na huwenda wengi tunafikiri baada ya Rais wa Taifa kufa basi wakisha fukia na kupiga mizinga basi kazi imeisha. Na sasa kila mtu anaona kuna fursa basi aanze kupiga...
Ukiangalia waarabu majority identity yao ni Uislam na inawaunganisha.
Ukiangalia wazungu, majority ni Christianity, ni kiunganishi cha umoja wao.
Wa China wana imani zao ambazo ndio kitambulisho...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea...
Kilichokuwa kiinua Mgongo cha wabunge kimeota mbawa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa wabunge wa UKAWA kususia Bunge.
Jambo ambalo limefanya kiinua mgongo kufutwa kwa wabunge wa UKAWA, na hii...
Kifungu hiki kinataamka: "Mshahara na malipo mengine yote ya Raisi havitapunguzwa wakati Raisi anapokuwa bado ameshika madaraka yake kwa mujibu wa Katiba hii."
Hicho ni kifungu cha Katiba ya...
Wakuu
Itoshe kusema kuwa CHADEMA inapendwa, jambo linalodhihirishwa na hamasa kubwa ya wanawake hawa wa Nkasi, Kasikazini, katika Kata ya Kirando wakijiandaa kwa maadhimisho ya Siku ya Wanawake...
Magufuli alimpa nafasi mgombea ubunge kupitia CCM Jimbo la Chalinze ndugu Ridhiwani ataje matatizo sugu Chalinze yatakayokuwa vipaumbele jimbo la Chalinze. Hapo Ridhiwani akataja "maji". Kwa...
Kesi ya kusambaza taarifa za uongo kwenye Mtandao wa X inayomkabili wanasiasa mkongwe nchini, Dkt. Willibrod Slaa (76) itatajwa leo Februari 6, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini...
Jana katika "press briefs" ambazo zinaingia KLHN kila siku nilipata ujumbe toka Ubalozi wa Marekani kuelezea mradi wa kliniki iliyofunguliwa Mpwapwa leo. Sehemu ya ujumbe huo (kama note kwa...
Kuna mbughi inaenda kuchezwa hapo July - Oct 2025.
Nchi inaenda kusimama kushuhudia kimbembe.
Wambea wa baa ile wanasema TL anamkabidhi kijana wa Kisukuma mwenye ushawish Lake zone kupeperusha...