Hili Swali nimejiuliza sana bila kupata majibu.
Ni dhahiri Wasanii wa Tanzania ni Tawi la CCM, na kwa vile Vitengo vyote vya Chama hicho vimehamishiwa Dodoma, Sioni sababu yoyote ya Wasanii hawa...
Hili jambo huwa linanishangaza kidogo kwa sababu CCM ni nguli wa Muziki wa Jazz, Kwaya na Ngoma za Kienyeji
Zamani huwezi kuwa mjanja wa Mjini kama hutimbi Mbowe Hotel baadaye Billicanas
Watoto...
Jeshi la polisi [TANPOL] lenye jukumu la kikatiba na kisheria kulinda usalama wa raia na mali zao limekana kuhusika na ukamataji wa watu hovyo nje ya utaratibu wa kisheria kisha kuwapeleka...
Hi there!
Do you remember our history. Here is a story written 27 years ago:
Tanzania Jet Hijacked; 2 Are Reported Killed
Published: February 27, 1982
Hijackers demanding the resignation of...
Ni huduma yenye uwezo wa kuponya ukosefu wa internet vijijini, maporini, milimani, ziwani, n.k. ukizingatia kwamba makampuni ya mitandao ya simu yameshindwa kufikisha huduma katika maeneo ya...
Wakuu,
Mjumbe wa Kamati kuu ya Taifa CCM, Charles Mwakipesile amesema kauli ya Chadema ya "No reform no Election" ni kauli ya kisiasa na kauli hiyo hawawezi kuipa nguvu kwani wao ni Chama...
Siasa za mchakamchaka huzuwezi.
Hujawahi kuwekwa lupango, hujawahi kupigwa kirungu.
Hujawahi kufikia level ya Wenje ktk harakati za upinzani za kwenda ughaibuni
Umechukuliwa kama favor baada ya...
Hakika ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Wakati wa awamu ya tano, nchi ilikuwa busy mno huku miradi ya maendeleo ikirindima kila pembe ya nchi, Kuanzia mradi mkubwa wa bwawa la Nyerere, Mradi...
(1) Akiumwa anatibiwa yeye na familia yake
(2) Watoto zao hawasomi shule za kata
(3) Hawapiti kwenye barabara zetu mbovu
(4) Shopping zao kuanzia nguo mpaka furniture ni Ulaya na Dubai
Sasa...
U.N. peacekeepers were killed in Congo. Here’s what we know.
By Christoph VogelDecember 8, 2017
peacekeepers were killed and dozens more wounded in an attack on the U.N. peacekeeping mission...
Nimefurahi kwa juhudi zako za kisoma na kutambua upuuzi wa NGOs nyingi zinazotuletea mambo ya ajabu ajabu kupitia misaada ya fedha ambazo kimsingi ni fedha zetu walizotuibia kipindi cha ukoloni na...
Najinasibu kwa kuwa consistent on issues!
Kwa muda mrefu nimeulizia na kushawishi juu ya uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote ...ikiwa ni mbinu ya kistratejia kufikia uhuru wa kweli na...
Habari za jioni wadau.
Naomba niweke wazi kuwa mimi napenda nchi kama nchi ijitegemee kwa asilimia mia moja lakini pia natambua jambo hili laweza kuchukua muda kutokana na historia ya Taifa na...
Pale Gerezani walinambia kwamba bora ukili kosa ama unauwawa hapa hapa, anasimulia mtekwaji
"Nakumbuka ilikuwa usiku wa manane wakaja watu nisiowajua wakaingia Nyumbani kwangu, wakakagua simu...
Namshangaa yeyote anayejinasibu kukuza uchumi wakati bado hali ya Watanzania waliowengi ni maskini hawana uwezo wa kununua hata mahitaji muhimu.
PPP ya Tanzania inazidiwa na Kenya, Rwanda, Uganda...
Wakuu,
Nimekutana na interview hii ya Tundu Lissu BBC akiongelewa tukio lake la kupigwa risasi.
Kitu interesting kuhusu hii interview ni namna ambavyo Masilingi alishindwa kupambana na hoja za...
Mkutano wa ccm umempitisha Rais samia kama mgombea wa nafasi ya urais lakin unamlaumuje Samia ilihali mwanzilishi wa haya yote ni magufuli na wapambe wake
Mwaka 2020 polepole huku anacheka kwa...
Kwa vyovyote vile Tanzania inapigania ukombozi wa pili unaolenga kujitegemea kimaamuzi, kiuchumi, kiutamaduni na kihuduma.
Tanzania iliingia uchumi wa kati mapema kabla ya muda iliyojipangia hii...
Iwapo bunge letu litajikita kwenye kujadili hoja basi tunayo hoja ya msingi sana ya kuijadili.Hoja hiyo inahusu bima ya afya kwa watanzania wote yaani universal health insuarance coverage...