CHADEMA wanaojiita watenda haki Leo uchaguzi wavurugika Njombe washindwa kufikia mwafaka kupata viongozi wanaowataka.
---
Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliokuwa ufanyike...
Kiongozi mmoja wa CHADEMA anasema Kampeni na Uchaguzi ni vitu viwili tofauti kwani Wagombea Wengi hutumia kampeni kilaghai tamu tamu lakini wakishachaguliwa hawatimizi ahadi
Nakubaliana naye kwa...
Wakati unaomba ubunge ulituahidi mambo mengi sana.
Tulikuamini kwa kuwa wewe ni mchungaji yaani mtumishi wa Mungu hivyo hatukujua kama wewe utakuja kutugeuka.
Ulituahidi kutuletea boti za...
Wadau hamjamboni nyote?
Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.
Mama huyu...
Upendo Furaha Peneza (amezaliwa mnamo 1989) ni wamasiasa mtanzania na mwanachama wa CCM alipohamia kutoka CHADEMA tarehe 22 Januari 2024. Alichaguliwa kuwa mbunge wa viti maalum kwa miaka...
Dhamira na malengo ya kufanya mchakato wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi chini ya Serikali ya awamu ya sita ilikuwa ni kuboresha mazingira ya kiuchaguzi nchini kupitia mabadiliko ya Tume ya...
MWENYEKITI wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema (BAVICHA), John Pambalu ameeleza kuwa upande wa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara Tundu Lissu katika kupiga vita...
Asubuhi hii, nimebahatika kuona mjadala wa wanasiasa kupitia UTV ambapo mwenyekiti wa ngome ya vijana ya ACT wazalendo, amemvaa vilivyo naibu katibu mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mobeto.
Katika...
Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke.
Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake.
Tangu mama ameshika nchi...
Sasa ni muda wa Tundu Antipas Lissu kukusanya takwimu ili 2025 tusilaumiane. Maana wakiwa kwenye KeyBoard huwa wanatamba mko pamoja.
Muda huu ndio kura za maoni za uchaguzi, tinajua kwenye ile...
Kumekucha! Maguzu masese.
Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.
Upendo Peneza anasema, kwa kuwa...
Hakika sasa ndio nimejua kwanini Wajinga wengi wapo CCM. Hali ya Ugumu wa Maisha ya wananchi waathirika wakubwa ni Wanachama wa Chadema na ndio maana viongozi wao wanataka Mabadiliko makubwa ya...
Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema Jimbo la Kongwa halina Mbunge na yule Ndugai alipachikwa tu
Ndugu zangu hapa Kongwa jimboni hakuna Mbunge hivyo nawaomba anzeni safari ya kuchagua viongozi wa...
Huu ni Wosia kwa Vijana wote wa Tanzania uliotolewa na mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala
"Ukiwa Juu Epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna Kupanda na Kuanguka"
Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda...
KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la Mh. Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa.
Zitto Kabwe amekubaliana...
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti...
Kutokana na kupanda kwa joto la siasa nchi, hasa ukizingatia ujio wa chaguzi, mabadiliko ya Sheria ya uchaguzi na madai ya tume huru kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa.
Pia mfupa mgumu ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.