Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM.
Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa.
Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d...
Wanajukwaa kumekua na Siasa mpya ndani ya Nchi yetu iliyopewa jina "Maridhiano" umekua ngumu kutofautisha vyama vya upinzani na chama tawala kwasababu ya Viongozi wao kuwa machawa wa Rais...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Antipas Lissu amesema yeye kugombea Urais wa JMT ni hadi ipatikane Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.
Kimsingi CHADEMA tutaonekana Watu wa ajabu sana kama...
Aliye na macho haambiwi tazama,zile zama za pesa kununua nafasi ccm zimerudi
Kijana kama ulikuwa na ndoto kuwa mbunge au Diwani kupitia ccm na huna pesa sahau,kafanye shughuli zingine au tafuta...
Chini ya Hayati Magufuli, tumeshuhudia jamii ya Watanzania ikiwa imegawanyika pasu-pasu kwa misingi ya itikadi kinzani za vyama vya siasa. Mgawanyiko wa jinsi hii haujawahi kutokea kwenye awamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.