Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, leo tarehe 2/01/2024, Chadema huko Bariadi imeanza rasmi kazi ya kubadilisha uongozi wa Nchi, hawakutaka kusubiri mwaka upauke.
Taarifa rasmi hii hapa.
Mbunge wa Mbogwe, Mhe. Nicodemus Maganga, amemshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kwa kufika Mbogwe kushiriki na wananchi katika Sherehe za kuaga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka 2024...
Kaimu KATIBU MKUU wa CCM Bw. Macha hivi karibuni alipokuwa akihutubia katika Jimbo la UBUNGO alisema kuwa ni marufuku kuanza kampeni za UBUNGE na UDIWANI ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM kabla ya...
Wadau kitendo cha kuanza KAMPENI kabla ya Muda ni ishara tosha kuwa CCM imeshindwa kuwadhibiti wanachama wake waliojiamuliwa kuanza Kampeni kabla ya Muda wake.
Mkoani Rukwa Wanachama wa CCM...
Mzee Kinana amesema chama kitatumia utamaduni na mila kupata mgombea Urais 2025. Amesema pamoja na demokrasia kuwepo ila kwa muda mrefu inapotokea kupata mgombea Urais tamaduni zinaonyesha kwamba...
Mwaka ndo huu ambao shughuli za wanasiasa kuwa bize zaidi kuliko kipindi kingine
Matukio makubwa ambayo yataambatana na shughuli za wanasiasa ni kama ifuatavyo
1,Vikao majimboni vya usiku na...
Kwa mujibu wa maelezo ya gazeti la Mwananchi wakinukuu maoni ya Luqman Moloto anasema Sekretarieti ya CCM Imejaa Watu "Machawa" au Tegemezi ambao wanakitegemea chama kuliko Chama kuwategemea wao...
Makundi mbali mbali hasa feminists wamekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wanawake na usawa hasa katika masuala ya uongozi na wengi wao wamewatolea mfano Rais wa nchi na Spika wa bunge kwamba ni...
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kasimu Majaliwa ametangaza hadharani huko kwao Ruangwa kwamba kwenye Jimbo hilo Rais Samia atashinda Uchaguzi kwa 100%, hapa anazungumzia uchaguzi wa 2025, hata hivyo...
Sisi viongozi wa Jumuiya ya vijana kutoka vyama pinzani vitatu nchini Ngome ya Vijana ACT Wazalendo, Jumuiya ya vijana CUF (JUVICUF) na Jumuiya ya vijana -NCCR Mageuzi ambapo awali tulikuwa pamoja...
Kwenda kwenye ujenzi wa kanisa moja na kutoa milioni 150 wakati wananchi wanaishi maisha magumu, milioni 100 ingepelekwa maeneo hayo ya Moshi bei ya chakula ikashuka, ingesaidia maelefu, hii ndio...
Huyu muandishi kapewa nyama ya mbuzi za kula siku mbili tatu anaanza kuongea maneno ya kusifia huyo mbunge wake Tabasamu.
Je, tasnia ndio inakufa kwa kupata waandishi ambao hawatajua kazi zao za...
Zipo dalili kwamba wanasiasa wenye misuli watatumia sana mbinu chafu kupunguza kasi wapinzania wao. Zipo dalili zote kwamba watu wenye fedha hasa wafanyabiashara watasumbuliwa na kulazimika...
Ndugu zangu watanzania,
Baada ya Rais Samia Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,nuru ya wanyonge,simba wa nyika, komandoo wa vita kusaga saga kila mfupa...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi amesoma Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kutoka mwaka 2020-2023 ambapo ametumia mkutano mkubwa uliofanyika katika...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika kumekucha,kumepambazuka Tanzania. Bendera imepandishwa,imepandishwa na vijana. Ni bendera ya upendo ,upendo kwa Rais samia kipenzi cha vijana aliyeleta na...
Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri...
Jana Jumapili imekua siku nzuri kwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi kufurahi na wananchi wake wa Jimbo la Muhambwe ambapo alipata mwaliko wa uzinduzi wa...
Ndugu Watanzania!
Tumeongea Ahobokile Mwaitenda ikiwa ni siku moja baada ya kunusurika kuuawa au kutekwa na watu wasiojulikana. Mwaitenda ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa CHADEMA na alikuwa ni...
Kauli ya Rais wa Awamu ya 4 Dk. Jakaya Mrisho Kikwete haikuwa ya kubahatisha, huenda kwa jinsi chombo kinavyozidi kuzama mabadiliko makubwa yakafanyika ya kiuongozi mwaka 2025.
Hata hivyo kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.