Kwa kawaida Kiongozi wa serikali akitembelea jimbo basi Mbunge na madiwani ndio huwa wenyeji wake
Mbunge asipokuwepo basi Katibu wa mbunge ndio atatoa salamu za Mbunge kwa mgeni na kwa Wananchi...
Kinana amesema uwongo kuwa eti CCM imekuwa na utaratibu wa kutoruhusu kuwepo na ushindani ndani ya CCM wa kumpata mgombea wa chama kwenye kiti cha Urais pale ambapo Rais aliyepo madarakani...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na wafanyabiashara wa Ukonga, aliwaambia wananchi hao kuwa wanasalimiwa na Mbunge wao, ambaye pia ni waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, lakini...
Kumekuwepo na kelele za mda mrefu za uhuru wa tume ya uchaguzi. mambo yanayoguswa ni :-
inavyoundwa
watumishi wake
Kwa mswada uliopelekwa bungeni na inavyopendekezwa inalekea suala la namna...
Chawa hupenda kukaa sehemu chafu Sana na huzaliana kwa wingi na hufyonza damu na kiumbe kudhoofika. Hivyo chawa sehemu Safi hawapendi kwani chawa NI adui wa usafi.
Hapa namkumbusha mama...
Kuna Madai ya Mbunge wa Jimbo la Busega bwana Simoni Songe hivi karibuni mwezi December mwaka 2023 aliwaita wajumbe wa CCM 800 na kuwahonga kila mmoja elfu thelathini alitumia kama million25...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha
Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa...
Binafsi nilishangaa sana kumsikia Komredi Kinana akizungumza suala la Fomu Moja kana kwamba ndio anatoa Mwongozo
CCM kupitia mkutano mkuu wa taifa ilishamchagua kwa Kura Dr Samia kuwa Rais wa JMT...
Mbunge Lugangira: Matumizi ya Mitandao Katika Uchaguzi Yaingie Katika Sheria
MBUNGE wa Viti Maalumu, Neema Lugangira ameshauri Mswada wa Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi uwe na Ibara inayoongelea...
Kwa sasa ili CCM ishinde uchaguzi wa 2025 ina mambo matatu tu ya kuzingatia.
1. Samia azidishe asali kwa wapinzani.
2. Ihakikishe uchaguzi hauko huru.
3. Samia ahakikishe wapinzani hawasimamishi...
Kuanzia wakuu wa vyombo vya usalama, idara, wasomi wabobevu plus thinktanks na manguli wa hoja mitandaoni na jamii wamejikita kwenye vision ya NANI ATAGOMBEA 2025, wengine akina Pascal Mayalla...
Kama ulikuwa hujui basi nakujuza Rasmi kwamba , Chadema haisubiri mwaka upauke, tayari wameanza kwa kasi mipango yao.
Wanachonifurahisha ni kwamba, hawana kiherehere na Mgombea urais wa 2025...
NI wazi kwamba Samia Suluhu Hassan alirithi kiti cha urais baada ya Hayati Magufuli kufariki dunia huyu ndiye aliyepitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu na vikao vya chama hadi akawa rais.
Kinana...
Kassim Majaliwa ulijijengea heshima yako kwa muda mrefu Sana ukaonekana ni mtu usiyekuwa masihara na hauna utani lakini naona unaanza kuambatana na kundi lisilo na mvuto nakuhakikishia heshima...
CHADEMA wameona haina haja ya kusubiri mawe yaseme, wanasema wenyewe, ilikuwa Mbowe, sasa ni zamu ya Salum Mwalimu. Kuliko abane kikohozi kimpalie, kaona bora aseme.
Kiongozi huyu wa ngazi ya...
Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata...
Kwema Wakuu!
Wanaoshauri timu moja itolewe wanajaribu kueleza na kumpa taarifa Rais kuwa hakubaliki. Au tuseme wanajaribu kumtisha Rais kuwa kwa hali ilivyo hakubaliki.
Katika lugha za...
Nauliza tu kwa wabobevu wa siasa je, 2025 Mh. Waziri Mkuu atagombea tena Ubunge?
Na kama atagombea na Mh .Rais akamteua mtu mwingine kuwa Waziri Mkuu, hadhi yake itakuwaje Bungeni?
Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Bunge Sera na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amepongeza juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya nane ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuboresha mazingira ya...
Wakuu heri ya mwaka mpya,
Kweli tunategemea mwandishi kama huyu atasimama imara kuibua maovu nchini? Kweli mwandishi wa hivi atakuwa mstari wa mbele kuibua kero zinazowakumba wananchi kama nyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.