Ikumbukwe kwamba leo 06/01/2024 kuna kongamano ndani ya Bunge la Tanzania kuhusiana na masuala ya Uchaguzi , na muundo wa Tume huru ya Uchaguzi .
Kwa muda fulani Dodoma ilijaa bashasha na shangwe...
Najua sitamkwaza Mzee wangu Filipo, ila namshauri tu, kama ataona bado ka afya kanaleta leta shida, amfate mama amwambie kwamba atafute mtu mwingine wa kupiga naye jaramba 2025. Afya ni muhimu...
Comrade Makonda hakuongea kwa bahati mbaya wala kukurupuka, aliongea ukweli mtupu. Freeman Mbowe, Ntobi, Salim Mwalimu, na Bonifas Mwita ni baadhi tu, ya watoa taarifa ndani ya Chadema. Imefika...
Haya mambo ukiyaangalia kwa juu juu unaweza kudhani ni mepesi Kumbe Siyo
Kumpata Mtu wa Kuvaa Viatu Vya Kiongozi makini anayeondoka Siyo jambo jepesi
Kama unabisha kawaulize Manchester United 🐼...
Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara.
Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa...
Mbunge wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema Wapinzani ni watu wa kushindwa tu tangu 1995, Wananchi wamewakataa
Gambo amesema kwa sasa Wapinzani wameomba sheria za Uchaguzi zirekebishwe tumewapa...
Kwanza nampingeza sana Mrisho Gambo Kwa kazi nzuri ya kuleta maendeleo Jimbo la Arusha.
Pili naunga mkono hoja yake kwamba Wana Arusha sio wapumbavu kiasi Cha kumchagua Lema badala ya Gambo ambae...
MAPITO HAYA NI MAGUMU, TUWAOMBEE Pamoja na kwamba siwapendi Chadema lakini haya waliyokutana nayo katika ziara yao mpaka wakaamu kuikatiza njian kwa madai ya kuishiwa mafuta ni mambo magumu mno...
Ikumbukwe kuwa huu ni Mwaka wa Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA kuanzia Primary hadi Taifani.
Tusiache kuwaombea kwa Mungu wa Mbinguni awape wepesi.
Mungu Ibariki CHADEMA.
Watu wanasema zitatokea vurugu katika Chaguzi za 2024 na 2025 ndani ya CCM. Watu wanasema Rais Samia akipata nomination 2025, hawezi kupata 2030.
Wengine wanabisha kwamba Rais Samia atapata...
Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi
Waheshimiwa Mnyika, Makonda na...
Chatanda Ataka 20% ya Wagombea Nchini Wawe Wanawake
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda, amesema kutokana na hali ilivyo wanataka asilimia 20 ya wagombea wa majimbo...
Ndugu wanajukwaa. Nimewaletea maoni yangu juu ya Tume Huru ya Uchaguzi inavyopaswa kuwa. Hapa chini nime - Upload pdf ambayo kila mmoja anaweza kupitia. Kwa machache nimependekeza kama ifuatavyo...
Mbunge wa Arusha Mrisho Gambo naona sasa amekalia kuti kavu pale lumumba.
Migogoro mingi na shutuma nyingi amekuwa akihusishwa ndani ya chama na kwa watendaji wa jiji la Arusha itakuwa ni mwiba...
Sisi wakaazi wa Kawe hadi leo hatumuelewi mbunge wetu.
Hatumuelewi kwa maana yeye ni mchungaji yaani ni mtumishi wa Mungu.
Alituahidi
1.Kutununulia boti za uvuvi tukimchagua.
2.Alituahidi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Awamu ya nane imedhamiria kuimarisha miundombinu ya barabara Mijini na Vijijini Unguja na...
Utashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu wa 2024?
Utashiriki kama mgombea au mpiga kura?
Kama hautashiriki sababu gani za msingi zitakufanya usishiriki?
Tukumbuke serikali ya mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.