Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania , ni miongoni mwa Taasisi za Kidini zilizojitokeza mbele ya kamati ya Bunge kutoa maoni kuhusu miswada ya sheria za Uchaguzi .
Kanisa hilo limewakilishwa...
Tumesikia leo na siku zilizopita kwamba Walimu wa Mahali fulani wamechanga hela Taslimu kwa ajili ya kumchukulia fomu Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha CCM, Samia Suluhu ili agombee Urais 2025...
Wanabodi,
Wiki iliyopita, nimehudhuria Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa kujadili miswada mitatu ya Sheria ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa, na Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Ulifunguliwa...
Wanajamvi actually mimi kama Mwana- CCM nimejisikia Vibaya kuona maoni mengi ya Wadau yanakuwa ni maoni yanayopiganiwa na CHADEMA.
Hii kwa Great Thinkers tafsiri yake ni kwamba CHADEMA ndiyo...
Marekani hata hakuna tume ya uchaguzi, Serikali za majimbo ndizo zinasimamia mchakato mzima wa kupiga na kuhesabu kura laki hakuna Katibu wa jimbo awe Republican au Democrat anayeiba kura za...
Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho...
Kampeni hii ni mahususi kwaajili ya kuwafikia na kutoa msaada wa kisheria kwa Wananchi wote buree, Kampeni hii itahusisha utoaji wa Elimu ya kisheria na kusikiliza migogoro yote ya kisheria ikiwa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Isack Sumbali ametoa ombi kwa Vikao vya juu vya maamuzi vya Chama hicho kuanzia Kamati Kuu...
Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa Habari wa Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi.
https://www.youtube.com/watch?v=rm8wI2pHQ4s
Mabadiliko ya Sheria yanayotaka kufanyika yanapasaswa...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Dimwa amesema kwamba CHAMA hicho kimeanza mchakato wakipeleka mapendekezo hayo baada wananchi wengi wa Visiwa hivyo kumtaka Dr Mwinyi aongezewe muda badala...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na matamko mengi sana kutoka Kwa viongozi wa Serikali wakiji bebisha Kwa Walimu.
Tamko la hivi punde ni la Waziri Mchengerwa akidai kwamba Walimu ni watu muhimu...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu wa TEC Padri Kitima, leo 8/01/2024 Ametoa maoni ya Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki ndani ya Bunge la Tanzania, kama Mchango wa Kanisa hilo kwenye...
JamiiForums, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, na Centre for Strategic Litigation (CSL), wametoa maoni...
Kupigia kura mtandaoni imekuwa njia yenye urahisi mkubwa katika michakato ya kupiga kura kipindi cha uchaguzi, baadhi ya nchi haswa za ulaya, nchi za Baltic kama vile Estonia, zimetumia njia hii...
Ipi ni njia bora ya kupata waliobora ?
Je, ni kuruhusu wajinga wengi wasiojua chochote kuhusu masuala ya siasa na maendeleo kuchagua viongozi?
Au watu wachache/ kijikundi kidogo kijuacho kuhusu...
Video inajieleza.
Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi?
Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025?
Tuanze kukumbushana ahafi...
JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja...
Naibu Waziri mkuu Dr Biteko amesema uchaguzi wa serikali za mitaa uko Karibu hivyo Wananchi wajipange kufanya uamuzi wa busara wa kuichagua CCM
Dr Biteko amewashukuru Wananchi wa Mbogwe kwa...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022-2023 Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.