Inapotoa toa fedha kwa jina la taasisi maana yake hizo ni fedha za taasisi.
Kumeibuka kauli kila kona ya nchi kwamba chama cha waalimu Tanzania kimetoa fedha za fomu baadhi zikienda kwa Mhe...
Ulevi wa madaraka ni mbaya sana kuliko hata wa kubugia ugoro.
Eti anawasemea Wamaasai kuwa hawataki katiba mpya?
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kweli shibe ni ulevi pia.
Nimeamini kuwa mtu anayefaidika...
Kundi la Katibu mkuu aliyejiuzulu kwa Kashfa Daniel CHONGOLO na makundi ya wasaka URAIS 2025 na 2030 yanafanya minyukano ya kuhakisha Samia hapati.
Katibu Mkuu mzuri kila kundi linapambana...
Mapendekezo ya jumla na msimamo wa CHADEMA juu ya miswada ya sheria iliyowasilishwa bungeni 10, Novemba 2023 inayohusu masuala ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa
NB; maoni haya...
Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi.
Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa...
Wadau naomba kuuliza hivi huyu Joeseph Mhagama ni nani...!!? Binafsi ndiyo nimemsikia kwa mara ya kwanza. Imekuwaje akapewa kazi kubwa kama hii...!!?
Binafsi sikuwahi kumsikia mpaka sasa kwenye...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA ni watu wenye uroho na uchu mkubwa sana wa madaraka.ndio maana kwa kila jambo linalojitokeza mbele yao wao huangalia ni vipi watapata na kufaidika zaidi na kupata...
Na hapa ifahamike kuwa, Kuwa Chama chochote cha upinzani, ni njia nzuri ya kukataa ujinga na kuwa sehemu ya furusa ya maccm
Ujinga ni pamoja na kukubaliana mambo yenye kinyume na ukweli
Hii...
..Hicho ndicho alichokutana nacho Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika alipokwenda Bungeni kuwasilisha mapendekezo ya chama chake.
..Msikilize hapa chini akieleza kilichomtokea alipofika Bungeni...
Ndivyo inavyofanyika duniani kote hata hapo Kenya
Kwa sasa hapa Nchini Wanasheria wenye ubobezi kivitendo kwenye Siasa za Uchaguzi ni Tundu Antipas Lisu na Peter Kibatala hivyo Serikali isione...
Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu...
Rais Samia amewataka vijana wa CCM kujibu taarifa na hoja za Wapinzani kwa takwimu na ushahidi wa kazi nzuri ya Serikali badala ya kulumbana, kubishana na kutukanana na Wapinzani ambao wamejaa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , John Heche leo tarehe 10/01/2024 , amefika Kilombero na kuhutubia Maelfu ya Wananchi , ambao kwa Kauli moja wamekubaliana kuing'oa CCM madarakani kwa Udi na...
Sitaki kuwapotezea muda, naingia moja kwa moja kwenye mada .
1. Tamisemi isijihusishe na lolote kwenye uchaguzi, hii ni kwa sababu ndani ya Tamisemi wamejaa wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti...
Kwa sababu CCM ni chama Tawala basi UVCCM wameona silaha yao Kuu ni Nguvu na Vitisho badala ya kujenga hoja
Hii hali ilishalalamikiwa na Mzee Kikwete, hayati Magufuli na sasa Rais Samia...
Mambo yakiendelea hivi na iwapo BAKWATA watapigilia msumari wa mwisho basi miswada ya sheria za Uchaguzi itabidi ikafanyiwe marekebisho Makubwa.
Hadi sasa Kanisa Moja Takatifu la Mitume na Kanisa...
USHINDI WA RAIS SAMIA 2025 NI ASILIMIA 95.
Tanzania tumezoea Siasa za Ushawishi kufanya siasa bila ya ugumu wa kuhasimia au kugawana hizi ndiyo siasa tunazozitaka. Mawazo tofauti si chuki si...
Baruani Mshale ambaye ni Mkurugenzi wa Mikakati na Mafunzo kutoka TWAWEZA amesema kitendo cha Watu na hasa Vijana kutoshiriki katika masuala ya Uchaguzi kinasababisha maamuzi yanayofikia...
Hayo ndio mapito waliyopitia Chadema awamu iliyopita
Tulishuhudia Kikundi cha wabunge na Madiwani waliounga mkono Juhudi, tulishuhudia akina Sugu walifungiwa Jela lakini zaidi tulishuhudia...
Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama.
Wote tunakumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.