Watanzania wamehamasishwa kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ili aweze kutekeleza na kukamilisha miradi ya maendeleo anayotekeleza.
Rai hiyo...
Katika kuhakikisha Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linapata vitendea kazi vitakavyo tumika katika kutimiza majukumu yao,Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Priscus tarimo amewezesha Jeshi hilo kwa...
Huu ni sehemu ya Mchango alioutoa Emmanuel Masonga Bungeni Dodoma alipokuwa anachangia kwenye Muswada wa Sheria za Uchaguzi .
Sheria ya sasa inataka aliyeenguliwa akate rufaa kwa Tume yenyewe ...
Anapendwa na anakukubalika na wengi, bara na visiwani. Anaahidi anatekeleza. Anasema na anatenda, matokeo yanaonekana kwa uwazi.
Mbegu bora za mazao na mifugo, mbolea na madawa ya wadudu...
Jamani naomba niulize hivi ni wapi ambapo ni mjini ambapo Kuna taasisi za serikali na makazi ya watu na usafiri na uwepo wa taasisi za kifedha ambapo unaweza kufidiwa square mita moja kwa Tsh...
Wakuu mko vyede,
Kukutana na manyuzi kibao kusema zinaunga mkono juhudi za mama inakata stimu, halafu unakuta ka uzi kenyewe kana mistari mitatu iliyojaa kusifia mwanzo mwisho.
Nyuki wa mama...
Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake.
Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa...
Wanabodi,
Sina uhakika sana humu JF, lakini kati ya JF members wanaozungumzia sana, Katiba, Sheria na Haki, mimi ni mmoja wao.
Nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki toka enzi za JPM...
UZINDUZI WA MAMA SAMIA LEGAL AID KAMPENI - SINGIDA
Kampeni hii ni mahususi kwaajili ya kuwafikia na kutoa msaadabwa kisheria kwa Wananchi wote buree
Kampeni hii itahusisha utoaji wa Elimu ya...
Kwa mara ya Kwanza tangu atenguliwe kwenye Ukuu wa Wilaya , Ndugu Jerry Murro ameonekana hadharani .
Amekutwa ndani ya Bunge huko Dodoma akichangia kuhusu Miswada ya Sheria za Uchaguzi (...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduz (MNEC) na Mfanyabiashara wa Makampuni ya ASAS, Salim Abri Asas amechangia zaidi ya Tsh. milioni 15 kwa ajili ya ujenzi wa bweni la Wanafunzi wa...
Nashindwa kuelewa nini hawa wenzetu wanakuwa wanamaanisha.
Utawasikia lazima tupate 50/50 maana binadamu wote ni sawa na tunaweza kufanya kazi zote zinazofanywa na wanaume.
Lkn wakati huo huo...
Wakazi wa mkoa wa Shinyanga wametoa kauli yao kwamba pamoja na majukumu aliyonayo ya serikali Naibu waziri bwana patrobas katambi hakuna anachofanya kwani ameshindwa hata kuomba fedha serikalini...
Kwanza Kabisa niwatakie Heri ya Mwaka mpya Wakongwe hawa wa Vyama Vya Upinzani
Pili niwaambie Kuwa Taifa zima linawategemea katika kutuongoza kuipata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi
Ninyi...
Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Waziri wa fedha Mhe. Dkt. Mwigulu L. Nchemba anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya kukabidhi mitungi ya gesi na majiko kwa mama lishe baba lishe, VEO...
Sheikh Hasina ni Rais wa Bangadesh anayewania kipindi cha nne madarakani huko Bangaladesh. Sheikh Hasina ni mwanamama hodari, mtata kwa wapinzani wake na anayependwa wananchi wa chini.
Mama huyu...
Nchi Yenye Matatizo makubwa ya umaskini, huduma na mifumo mbalimbali, kama ilivyo Tanzania, ili iweze kutoka ilipo, inahitaji viongozi wenye ubunifu zaidi, akili zaidi, uadilifu zaidi na uzalendo...
Yani CHADEMA sijui wanalogagwa na nani, yaani wakati wa kufanya mapambano ili kushinda uchaguzi unakuta wametulia na wakati wa kutulia ili kuunga gurudumu la maendeleo unakuta wanapambana.
Yani...
Baada ya mkutano wa Beijing, kuliibuka misemo mingi sana ya kuuaminisha ulimwengu kwamba mwanamke akiwa kiongozi mambo yatakuwa mazuri.
Ndipo tukaja na sera ya kumuwezesha mwanamke kielimu na ile...
Naomba tumsikilize Naibu katibu mkuu bara Mhe. Kigaila.
Anamwaga madini ya uhakika hadi wahusika waandaaji wanatingisha vichwa kukubali hizo nondo.
Hakika CHADEMA ni chaguo la Mungu ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.