US ndo nchi yenye strong army and battle nyingi duniani.
Haijawai kutokea Kwa Governor au Senetor yeyote kuliamrisha jeshi la Marekani kuzibua vyoo,mitaro na kuzoa takataka. Ata hapo jirani Kenya...
Famchezo nini!! Ukinyukwa kirungu cha ugoko lazima utoe gesi kwa mkupuo.
Historia inaonesha watanganyika wanaogopa matokeo ya maandamano kuliko maandamano yenyewe.
Mwaka 2018, Bwana Mbowe...
Ndugu wanajamvi Mwanzoni Nilipopitia mapendekezo hayo akili yangu iliwaza kuwa Mnyika pamoja na Chadema yake wanataka Kutuongezea Wabunge ili Kuongeza Gharama ya Nchi hii na nikawaza kwa Sasa...
MAANDAMANO HAYANA TIJA KATIKA SIASA ZA SASA - (SIASA KAZI NA MAARIFA)
Na Comrade Ally Maftah
Moja kati ya jambo ambalo halitaungwa mkono na vijana wa kileo ni suala la kuandamana.
Kuandamana ni...
Uongozi huwa ni kuonyesha Njia uongozi huwa ni pamoja na kusimamia yale mnayowaaminisha mnaowaongoza kwa vitendo.
Sasa Chadema kupitia mwenyekiti wake Ndugu Aikael Freeman Mbowe Mmewatangazia...
Huyu RC wa hapa dar namshangaa sana kwa ukurupukaji wake . Unatangaza kuweka vikosi 8000 vya majeshi mtaani na magari ya kijeshi hivi huyu yupo sawa kweli?
Kwani maandamano yana shida gani watu...
NEEMA YA MAJI KATA YA MAGADU
Wananchi wa mitaa ya Kidondolo, Forkolend na Kididimo Kata ya Magadu kwa nyakati tofauti tofauti wameongea na kuishukuru Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na...
Watanzania wengi wanazidi kukata tamaa na siasa hususan za uchaguzi. Kiwango cha hamasa kinazidi kushuka kila baada ya miaka 5. Usambazaji elimu ya uraia pekee hautoshi kusahihisha kasoro hii...
1. Jeshi la uhifadhi linaua raia kila siku na rais Samia yupo kimya. Wananchi wanauliwa hata wakichanja kuni hifadhi.
2. Ufisadi umetamalaki kila kila mahala serikalini. Hii ni baada ya mkuu wa...
Mwanafalsafa wa JF bwana Teikon alishasema usimuonee huruma wala kumtetea masikini na mpumbavu maana unapoteza muda na huenda ukapoteza Uhuru na maisha yako bure na kusiwepo mabadiliko yoyote...
Kwa leo nilikuwa bize na kazi za kujenga Taifa na kumsaidia Mh Rais Dr Samia kukuza Uchumi wa Nchi kwa kuzalisha kwa level ya mtu mmoja mmoja. Nami kama mwananchi na raia mwema nikaona baada ya...
Samia chunga sana hii, itakugeuka in the long run! Utafika wakati watatamani urais, uwaziri and the like! waache wanajeshi wakae kambini.
Tabia hujengwa taratibu na baadaye kuwa mazoea.
Shyster...
Kama jeshi watafanya usafiri tarehe 24 basi siku kabla ya maandamano tarehe zibadilishwe
Dawa ya hawa wanasiasa kama chalamila ni kuwapeleka mperampera tu, kama kaamuru jeshi lifanye usafi tarehe...
Na Dr. Sisimizi
Imekua kawaida sasa kwa Chadema kupiga mikwara ya Sisimizi kwa Tembo ya kutishia kufanya maandamano ilihali miaka yote hawajawahi kufanikiwa sababu ya kukosa ushawishi na uungwaji...
Tar 24 mwezi huu ataandamana kupinga dhuluma za CCM
Ila alipotolewa jela kwa makosa ya kufadhili ugaidi alisahau habari za kuandamana.
Aliitwa ikulu akala chakula na juizi za ceres
Leo hii...
1. Nani asiyejua hatari ya kuonja sumu kwa ulimi?
2. Upo wito halali wa kutelemka mabarabarani 23/24.
3. Pamoja na kuwaita ndugu wa damu tena wale nguli washindao mitandaoni 24/7 kwa majina yao...
Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo.
Akiongeza...
OFISI YA MBUNGE JIMBO LA MOROGORO MJINI.
NEEMA KATA YA MAGADU.
MHE. ABOOD AHAIDI TSH. MIL. 15,000,000/- ZAHANATI KATA MAGADU
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdulaziz. M.Abood leo tarehe...
Utaratibu wa kuleta vurugu na maandamano ili kuvunja amani na kuleta mifarakano isiyo ya lazima haikubaliki na ni lazima raisi asimame kidete kwa watu wanaotaka kuleta fujo na vurugu.
Hali ngumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.