Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake. Nashauri...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani Mkoani Shinyanga amemuangukia Waziri wa Maji Jumaa Aweso akimuomba maji kwani Amesema Wilaya Majimbo yaote ya Mkoa wa Shinyanga yamefikiwa na Mji ya...
10 Reactions
72 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema hana taarifa za maandamano ya Chadema yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, mwaka huu akisema anachojua siku hiyo ni ya kufanya usafi...
5 Reactions
32 Replies
19K Views
Shehe Kundecha alichangia muswada wa sheria za Uchaguzi anasema alishangaa kumsikia mkuu wa mkoa mmoja kumwambia Rais wa Wakat huo kuwa mkoani Kwake hakuna Mgombea wa upinzani atakayeshinda...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi kimejipanga kutekeleza kufanya maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Januari 24, 2024. Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi...
3 Reactions
8 Replies
798 Views
Mimi bwana sipendi sana kuandika mambo ya siasa hizi za Bongo siku hizi sio kwasababu sipendi ila sipendi tu kuandika kuhusu hizi siasa uchwara. Ok ni hivi, acha niandike kwa ufupi kuhusu tamko...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Maandamano ya Mbowe ni kutaka kujiimarisha CHADEMA. The Moment Mbowe anamuacha Lissu kwenye kamati ya maridhiano 6 x 6 Lissu aliamua kufunga roho yake kwa kutokubaliana na maridhiano hata ndani...
1 Reactions
9 Replies
753 Views
1. Kwamba tunataka katiba mpya? La mgambo limelia, haijalishi nani kaitisha. 2. Kwamba siku za nyuma kuna waliotutenda ndivyo sivyo, hayo yalikuwa mapungufu yao; hayatuhusu! 3. "Mwabukusi...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
CHADEMA imetangaza kufanya MAANDAMANO TAREHE 23. Katika hali ya kushangaza JWTZ nao tarehe hizo wamepanga kufanya usafI ingawa wangeweza kupanga tarehe nyingine ya kufanya huo usafi. Hata hivyo...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Watu huko CCM wameanza kufunguka, Kigwangala anakuambia kuna Viongozi wananunua majumba ya Dolla Million 6 kule Masaki ndani ya kipindi kifupi tangu wawe Viongozi.Hajawataja ni wakina nani hasa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Ikiwa Chalamila atafanya hivyo, tafsiri itakuwa hivi:- 1. Serikali haina nia njema kuelekea chaguzi zinazokuja huko mbeleni kwani kama Serikali ingekuwa na nia njema, badala ya kutumia nguvu...
4 Reactions
14 Replies
700 Views
Kipindi cha Kikwete Upinzani wameshinda sana chini ya usimamizi wa Wakurugenzi wa Halimashauri. Ni Magufuri ndio alikuja na vitisho kwa Wajurugenzi na kuwavuruga kabisa. Hawakuwaga na shida kwenye...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Sijawahi kumwona Makonda akifanya mjadala wala mdahalo wowote wenye tija na usio na tija kuhusu chama chake na nchi kwa ujumla. Leo anapoomba mdahalo anataka kutuambia ametambua umuhimu wa...
2 Reactions
7 Replies
644 Views
Kuna Mdau mmoja wa Kitengo aliwahi nitonya kwamba wakati wa Kampeni zile nguo za kuhonga wapiga kura, Tshirt, Kofia na Kanga huwa zinafanyiwa mazindiko makubwa sana ambayo anaye Vaa husahua kila...
1 Reactions
6 Replies
633 Views
Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana Pia, Soma: Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Tusaidiane wananzengo, ilikuwa sahihi kwa Chalamila kusimama kanisani na kutoa tangazo la kisiasa kanisani? Anatamka mbele ya kanisa kwamba askari polisi 5000 watakuwa barabarani, anawaleta...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Sun Tzu ni mwandishi wa sanaa ya vita na mikakati ya kijeshi ninayempenda na anayesifika kwa falsafa na mawazo yaliyoathiri majeshi mengi ya magharibi na mashariki ya bara la Asia. Miongoni mwa...
2 Reactions
3 Replies
553 Views
Sasa saa imefika kwa viongozi wetu wa Dini kutotenganisha Dini na Siasa. Wakati umefika viongozi wetu wa Dini wasikubali tena kuambiwa eti Siasa haiwahusu wao kama viongozi wa Dini kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
362 Views
Kwema Wakuu! Sina uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa za nchi hii. Lakini kwa akili zangu hizi ndogo nadiriki kusema kuwa kile alichotangaza Mhe. Mbowe kwamba wataandaa maandamano ya Amani januari 24...
18 Reactions
89 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF. Husikeni na mada tajwa hapo juu. Kwa kweli haihitajiki kutumia nguvu kubwa sana kujua kwamba CHADEMA na Mbowe wamekuwa sauti ya Watanzania kulingana na hali ilivyo. Kuanzia...
5 Reactions
9 Replies
642 Views
Back
Top Bottom