Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

''Msimamo wetu bado ni huo, kutokana na mazingira tuliyopitia mwaka 2019 na mwaka 2020 yalitudhihirishia wazi kwamba hatutashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu (2024) kutokana na yale...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Hatimaye CHADEMA imeamua kukata mzizi wa fitina kwa kuanika hadharani kila neno lililomo kwenye Nyaraka za Maridhiano yaliyovunjika baada ya CCM kuweka mpira Kwapani. Kauli hiyo Thabiti imetolewa...
23 Reactions
52 Replies
4K Views
Ukifuatilia Historia za vyama vikuu vya upinzani Tanzania vingi huwa vinaibuka na kupotea kama mvua za msimu, havidumu. Vyama vikubwa vingi vya upinzani Tanzania viliundwa mwaka 1992. NCCR...
1 Reactions
4 Replies
581 Views
CHADEMA wametangaza kufanya Maandamano ya amani mnamo tarehe 24.01.2024 jijini Dar es salaam. Wakati huo RC wa Dar es salaam inasemekana naye ameamru vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama...
1 Reactions
3 Replies
440 Views
CHADEMA KUSHIRIKIANA NA JESHI KUFANYA USAFI ILI JAN 24 WAANDAMANE SEHEMU SAFI "Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanajamvi sijui kama na nyie mnaona au ni mimi tu,nimekuwa nikifuatilia kwa muda sasa naona Wabunge wanagawa sana Majiko ya Gesi majimboni mwao. Ninachojiuliza ni kwamba wanaigana au...
0 Reactions
13 Replies
894 Views
https://youtu.be/yFvVK6fw03U?si=dn8VnqOvAMFz2yNo Miswaada hiyo ni 1. Tume huru ya Uchaguzi. 2. Sheria ya Vyama vya siasa 3. Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Mi Siongezi wala kupunguza...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA na mbunge wa zamani Mheshimiwa John Heche amesema wao wapo tayari kufanya mdahalo na CCM, kwa kuwa ni CCM yenye majibu ya maswali na mambo...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Kumekua na watu wengi wanaoamini Walimu ndo wahusika wakuu wanaoisaidia CCM na dola kuiba kula wakati ya uchaguzi. Ilihali ukweli upo wazi kabisa,mwl ni msimamiz tu wa kituo ambapo Kuna ma wakala...
1 Reactions
8 Replies
525 Views
Nimestuka sana nilipoisikia kauli aliyotoa mkuu wetu wa mkoa wa Dar tena kanisani, kuwa tarehe 24, "anawaagiza" askari Polisi 5,000 na askari wa JWTZ 8,000 wajitokeze mitaani Dar, ili wafanye...
13 Reactions
80 Replies
21K Views
Kiongozi wa mwisho aliyefanya mdahalo kwa kujiamini bila woga alikuwa ni hayati Benjamini Mkapa baada ya hapo waliofuatia wote waliingia mitini na sababu mbali mbali. Imenikumbusha aibu ya...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Baada ya CHADEMA kutangaza maandamano Jan 24, Mh RC Chalamila nae ametangaza kuwa siku ya tarehe 23 na 24 Januari kuwa siku za usafi utakaofanya na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Mimi nasema...
0 Reactions
4 Replies
920 Views
Suala la maandamano ni la kikatiba na Rais Samia aliapa kulinda katiba tena akishika Quran kabisa. Iweje atake kuvunja kiapo chake tena kwa kulishirikisha jeshi waivunje pamoja. Hivi yeye...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Na; Hamis Abeid Baruani UDASA, UDSM. Kwa masikitiko makubwa leo Mbowe ameushangaza umma kwa kuongea mambo mawili ambayo hadi sasa yamepingwa kila kona ya nchi. 1. Katangaza kususia maridhiano 2...
4 Reactions
112 Replies
22K Views
Salaam Sijapenda Style ya CCM kuiga siasa za Afrika Magharibi za kuwatumia Wanajeshi kwenye Siasa. Wanataka kutuharibia nchi. Nakubali Mwenyekiti wa CCM ni Amri Jeshi Mkuu, ila Kutumia Jeshi...
21 Reactions
62 Replies
22K Views
Tutaandamana tu. Wewe hujui shida zetu. Unalishwa na Serikali, nyumba ya Serikali, Gari la Serikali, umeme, maji nk. vinagharimiwa na Serikali. Huwezi kujua shida zetu sisi Wananchi. Wewe ni...
2 Reactions
5 Replies
501 Views
Jambo ambalo sijalifahamu kwa kiwango kikubwa huwa ni kwanini suala la uongozi ukitaka " madaraka" huwa ni suala la kufa na kupona kwa nchi nyingi za kiafrika. Mtu mmoja aliwahi kuniambia kwamba...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
Kupitia ukurasa wa X Mhe. Mwigulu nchemba ametaja safu itakayoongoza mchuano wa uchaguzi 2025. Amewataja Mh.SSH, Akamtaja Kinana, Mzee Mpango na Nchimbi huku yeye akijitabiria kuwa kiungo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema, ameonyesha kuchukizwa na maneno ya Wanachama wa CCM mitandaoni kuhusu Huruma ya Rais Samia kwa Chadema. Kupitia...
0 Reactions
4 Replies
449 Views
CHADEMA kupitia Mwenyekiti Mbowe wametangaza kufanyika maandamano Dar es Salaam, January 24, 2024. Lakini pia RC wa Dar es Salaam Bwana Chalamila Albert ametangaza Majeshi ya Ulinzi na Usalama...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom