Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amekosoa hatua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutaka kufanya maandamano kupinga miswada ya sheria za uchaguzi na...
Wapiga kura huu ndio ujumbe wenu kutoka Kwa Rais kipenzi chenu ambae anawajali
==
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi kupima viongozi kwa vitendo...
Wakati zikiwa zimesalia siku sita kabla ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufanya maandamano, vyama vya ACT Wazalendo, CUF, NCCR Mageuzi, AAFP, ADC na Demokrasia Makini vimesema...
Akiwa kwenye mahojiano na mwandishi wa waandishi wa habari, Askofu Mwamakula amesema anafananisha mazungumzo ya CCM na CHADEMA kama wapenzi walioingia kwenye mahusiano bila kufata utaratibu, sasa...
Hashimu Rungwe atoa maoni yake kuhusu maandamano ya CHADEMA, asema ni haki ya dunia nzima kufanya maandamano ikiwa kuna mambo wanaona hayaendi sawa.
Katiba ya nchi inaviwezesha vyama dunia...
Rais Samia, amekitaka chama chake kuweka mchujo kwa wawakilishi ili ambao wamekuwa hawafanyi vizuri kwa wananchi, wapigwe chini.
Kwenye hili nampongeza sana, hii itawafanya wabunge wetu wafanye...
Maswali muhimu kujiuliza na utakayoyatumia kama msingi wa majadiliano katika mada hii:
1. Kikatiba Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama anaweza kukasimu mamlaka yake...
Salaam, Shalom.
Askofu Shoo ametoa kauli iliyojaa HEKIMA na BUSARA, akitoa maoni Kwa niaba ya CCT, amesisitiza kuwa maoni ya wananchi yatolewayo kuhusu namna Gani uchaguzi huru na HAKI ufanyike...
Hii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka...
Viongozi wa Dini kwa kauli Moja wameitaka Serikali kusikiliza maoni ya Wananchi kuhusu Miswada
Mkuu wa Kikosi Kazi cha Viongozi wa Dini Askofu Dr Shoo amesema wao wataendelea kutoa Elimu ya Uraia...
Za chini chini ni kwamba ndani ya ccm k
Kwa sasa kuna makundi kama matatu.
Kundi la kwanza
Hili kundi lina amini mama anatakiwa kupigiwa kura upya na wana ccm kwa sababu hakupitia mchakato wa...
"Usibeze mtu kesho anaweza kuwa boss wako"
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 16,2024 ameongea na Waandishi wa Habari katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar...
Muda wowote kuanzia siku ya leo Freeman Mbowe atatangaza kusitishwa kwa maandamano na kurejea kwenye meza ya mazungumzo. Why..?
Yapo mambo matano utafiti wa kisayansi ambao ulionyesha wazi...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya makada wa CCM wameanza kutoa kauli tata ambazo zinaashiria kuwa vyovyote itakavyokuwa lazima CCM ibaki Madarakani...
Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam RC Albert Chalamila, jana alitangaza kuwa mkoa wa Dar es salaam utakuwa katika operation ya kufanya usafi siku ya tar 24/01/2024, siku...
Ukweli ni kuwa hakuna mtanzania mwenye akili timamu atashiriki maandamano ya Chadema tarehe 24
Kwanza hayo sio maandamano ya kumsaidia mtanzania bali ni maandamano ili viongozi wa Chadema waweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.