Unapokuwa na kiongozi wa kidini asiyejali malengo ya Mungu kuwaleta wanadamu Duniani ni hasara kwa kanisa.
Ukimsikiliza Askofu Malasusa na ukifuatilia namna ambavyo amekuwa akitekeleza majukumu...
Ina maana wananchi wameshindwa kuelewa nini Rais wetu anafanya hadi watangaziwe kwenye mabango?
Ina maana raia hawamjui rais wao hadi afanyiwe kampeni kwenye mabango ilihali yupo madarakani...
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana, si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake...
"...ifikie hatua CCM kisitegemee wasanii kuleta watu wa kukisikiliza kwenye mikutano yake. Kusema hivyo si kwamba CCM hakiwahitaji wasanii tena bali ni muhimu sasa CCM kitimize wajibu wake wa...
Askofu Malasusa akiwa katika sherehe ya kuingizwa kazini amesema;
"Tukio hili la kuingizwa kazini linatokea wakati Dunia inashuhudia vita mbalimbali ikiwa ni pamoja na vita kule Ukraine, sasa...
Akizungumza leo Januari 20, 2024 jijini Dar es Salaam wakati wa mapokezi yake baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo, Nchimbi amesema hakuna mtu asiyejua CCM ndio chama kinachoongoza Serikali...
Raisi Samia leo anasema kuna tofauti ya wana demokrasia na wana harakati. Hiyo tofauti kwa sasa ni wewe tu mnufaikaji na genge la watawala mnalo liona hilo. Ukweli ni kwamba kwa watu wa kawaidia...
📌📌 SIFANYI MIKUTANO YA KUJAZA WATU KWA KUTUMIA WASANII KWASABABU TUNATAKA KUONA UHAI WA CCM NA JUMUIYA ZAKE - MWENEZI MAKONDA
Asema CCM Inawapenda na Kuwajali Wasanii lakini kwasasa ni muhimu...
Ndugu wanajamvi poleni na mafuriko hapo Dar es salaam kufuatia mvua kubwa zilizonyesha.
Mvua nyingi na kubwa zimenyesha siku mbili jana na leo na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu na...
Huu ndio ukweli mtupu.
Huwezi kuibuka na hoja zako za maslahi yako halafu ukataka uungwe mkono.
Watu wanataka Elimu bora na shule zinajengwa.
Watu wanataka Zahanati nazo zinajengwa.
Ajira...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Nchimbi akizungumza na Wanachama na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaan Leo amesema.
Mkiwaona CHADEMA wana Andamana Mjue wameamua kutumia Miguu Kufikiri...
Wana laana isiyoisha au tuseme hawajui wanachotaka Mkapa walimwita dikteta na kumtukana Kila aina ya matusi, amemaliza salama amelala!
Kikwete alipoingia alikula matusi Kila mahali yaani huyu...
Majukumu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzanua, na maheshi mengune yote, yameainishwa kisheria.
Ni Amiri Jeshi Mkuu pekee ndiye anaweza kulielekeza Jeshi la Wananchi wa Tanzania kufanya shughuli...
Wakati wote, sheria hubadilishwa ili kujibu matatizo ya wakati fulani.
Sahizi mjadala mkubwa umekuwa marekebisho ya sheria ya Uchaguzi kutokana na uhuni wa kupindukia ambao umekuwa ukifanyika...
Mvua za ELNINO ni janga la Kitaifa. Hali ya miundombinu ya barabara ni mbaya kuanzia za mitaani mpaka barabara kubwa. Ningekuwa na uwezo ningefuta uchaguzi wa serikali za mitaa na kutumia pesa...
Nimeambiwa kuwa nafuatiliwa - sijui kwa lengo gani, lakini naamini niko salama. Mnaoniuliza msiwe na shaka. Kama nikiitwa TAKUKURU, Tume ya maadili, polisi n.k. siyo mambo ya ajabu, huko ni mahala...
Kumbe waungaji mkono wa maandamano Wana ajenda mbalimbali siyo ile miswada ya sheria za uchaguzi pekee
Jana bwanamdogo mmoja amenihakikishia piga ua 24 January Lazima aandamane kupinga kulipwa...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amebainisha kuwa Tundu Lissu ni mjanja ndio maana ameamua kuwakimbia CHADEMA baada ya kuona hakuna haja ya...
Mambo siyo mambo mtu wao hakubaliki na wenye dunia 2025 ndiyo mwisho sasa chadema wanapashwa kufanya mapinduzi kama ya akina raila na uhuru kenyata, 2025 tuna raisi mpya.
its just too complicated...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amempatia kijana wa kiume mjasiriamali mwenye ulemavu kiasi cha Tsh Milioni 2 kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.