Enzi za utawala wa Mzee Ruksa bila kujua athari zake alimwachie Late Mrema madaraka makubwa kupitiliza.
Awamu ya Sita namwona Mama akirejea makosa yale yale ya kumwachia maradaka makubwa Bashite...
Wapo watu wengi wenye sifa za kupiga kura, lakini wamekuwa wakijiandikisha na baada ya hapo hawaendi kupiga kura kuwachagua viongozi wa kuwaongoza, na wengine hawajiandikishi kabisa licha ya kuwa...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Dkt. Joseph Mhagama amesema maandamano sio suluhu ya kupata muafaka wa maoni ya Muswada wa Sheria ya Uchaguzi na kuongeza kuwa...
Mjane wa aliyekuwa mwanasiasa maarufu wa upinzani wa miaka mingi, Augustine Lyatonga Mrema leo amerejea CCM kwenye mkutano wa katibu mwenezi wa chama hicho, Paul Makonda. Doreen Mrema amekadhi...
Wadau nawaomba kufahamu TOFAUTI ya MAANDAMANO anayofanya MAKONDA yakiwa na MISULULU ya Watembea kwa miguu bodoboda Bajaji na magari wakiwa na Bendera za CCM na yatakayofanywa na CHADEMA?
Naamini...
Wakuu,
Kwanini unashibikia chama hicho cha siasa? Kuna watu huwaambii kitu kwenye vyama vyao. Hata chama kifanye madudu gani kwao chama ndio kinakuja mwanzo kuliko kitu chochote, na yuko tayari...
Wakuu,
Msikilize kiongozi huyu aliye ambiwa amkaribishe Makonda, yaani ni kampeni kabisa zimeanza.
"Wilaya ya Hai sasa imepata maendeleo makubwa, ninachotaka kuwaomba msifanye makosa, kina...
Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!!
======
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano...
Dkt Emmanuel Nchimbi ameteuliwa na chama chake kuwa Katibu Mkuu , kwa kadiri ya kumbukumbu zetu , kwa mtu yeyote kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM ni jambo kubwa linalopaswa kuzagaa midomoni mwa...
Mbunge viti maalum Arusha Catherine Magige amvaa kwa matusi mbunge mwenzake.
Amemshambulia kwa matusi mbunge Mpina utadhani wapo vyama tofauti.
Hii ni dalili tosha kuwa CCM sasa hivi kuna moto...
Katika ziara ya Mwenezi wa CCM, Paul Makonda Wananchi jimbo la Same wameonesha kutokuwa na imani na mbunge wao, ambapo wamedai kuwa mbunge huyo amekuwa akirudisha nyuma maendeleo ya jimbo hilo...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amelazimika kukatisha kuangalia Afcon huko Ivory Coast ili kuwahi maandamano ya Amani yaliyotangazwa na Chama...
Ponda Issa Ponda , ambaye ni miongoni mwa Mashehe Wachache wa eneo la Maziwa makuu wanaopigania haki , leo amejitokeza hadharani kuunga mkono maandamano ya Wananchi ya kupinga miswada mibovu ya...
Tunakumbushana tu kuwa mchakato wa Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ndio Umeshaanza kwa Miswada ya marekebisho ya sheria za Uchaguzi kupelekwa bungeni
Hivyo basi agizo la...
Baada ya Mkuu mpya wa KKKT, Askofu Malasusa kutoa kauli kwamba hajalelewa kuwa kinyume na serikali kuliibuka maneno makali na shutuma kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA. Askofu Shoo mkuu aliyestaafu wa...
".....Nakufuatilia sana na upo Kilimanjaro. Habari za Machifu pia nimezisikia. Mwenezi chapa kazi na nipo nawe pamoja na Wananchi nipo pia nanyi kuwatumikia."
"...Endelea kutatua changamoto za...
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya momba, Mathew Chikoti, akinyeshewa na mvua wakati wa ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Naming'ongo, na kuagiza mhandisi kuhakikisha...
Hakika wale wabunge 19 wa tume ya uchaguzi na bunge(halima na wenzake 18) naona wanatumia njia ndefu sana kujiunga na ccm.
Wabunge hao kwa mujibu wa katiba iliyopo walipaswa wasiwe wabunge kwani...
Mbowe na CHADEMA wana lengo la kupeleka ujumbe duniani juu ya demokrasia ya Tanzania na watatumia maandamano kufikisha ujumbe huo.
Kwa kuwa CHADEMA kinakabiliwa na kutokukubalika na wananchi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.