Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ni muda mrefu sana zimesikaka sauti za watu wakipaza kuwepo na mgombea binafsi, mgombea ambaye hana chama chochote cha siasa. Je, katiba ingeruhusu jambo hili nini kingetokea? Au ni faidi zipi...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Kwa mfano Tundu Lisu uandaliwe Mdahalo na Mgombea Urais wa CCM na iwe live unategemea kuna TV itaacha kuonyesha huo mchuano ? Pamoja na kwamba tunatamani ,je hivi vyama viwili vitaruhusu kutokea...
1 Reactions
3 Replies
518 Views
RC, hana mamlaka ya kutoa AMRI kwa JWTZ. Kanuni za jeshi zinamtaka yeye (RC) kufanya maombi kwa fomu maalum kwa Waziri wa Ulinzi ili jeshi lije uraiani. Lakini, kuna masharti, kabla ya kupeleka...
0 Reactions
1 Replies
525 Views
Sio siri tena hali ya mtaani inazidi kuwa tete kwa wananchi na kama haitoshi hawaoni yeyote akiwatetea,zaidi ya kuwapendelea matajiri.Mifano wanayotoa ni:- 1. Bei za nauli zinapanda bila kujali...
0 Reactions
2 Replies
504 Views
@rosemuhandoofficial5676 3 hours ago Dada mbona hueleweki ! Badala ya kujenga hoja ya kumjenga Rais wewe unafanya bef, nini Sasa umeongea hapo mbele ya kamera,kumbuka Kuna watanzania tuna akili...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimewaza na kuona Kama Rais anahangika sana kubadilisha mawaziri, makatibu wakuu kiongozi, wakuu wa usalama wa Taifa, Ma IGP, Ma CDF, makatibu wakuu na sasa tunaona Makatibu wakuu wa CCM na Wenezi...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa wapanga mikakati wa ccm,fanyeni kumtumia Makonda na Jokate Mwegelo kuleta upili wa Nape na Kinana enzi zile,lazima Wapinzani wapoteane. Mkiweza mnaweza muongeza Fakii Lukandala akawa na...
2 Reactions
22 Replies
986 Views
hali si hali ni mbaya kuliko wakati wowote ule, hii itakuwa ni moto mkali, sisi wengine tutatoa tu pole kwa majeruhi, mkataba haubadilishwi kiraihisi, kuna watu hii dunia hawaielewi, wanafikiri...
1 Reactions
8 Replies
939 Views
Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi. Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwanasiasa mkongwe nchini na M/kiti mstaafu wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini John Magale Shibuda amesema yuko njiani kutosha Shinyanga kwenda Dar es salaam kuyaunga mkono maandamano ya Chadema...
12 Reactions
29 Replies
3K Views
Chadema iwe makini. Uwezekano wa viongozi wao kukamatwa asubuhi majumbani mwao wasitoke ni mkubwa. Vyombo vya habari kuzuiwa kuchukua picha wakizuiwa (kifungo cha nyumbani kwa masaa) ni mkubwa...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
13 Reactions
163 Replies
25K Views
Hello Rais Samia! Shikamoo mama na Rais wa nchi tukufu ya Tanzania. Nakuomba ung'atuke/ ujiuzulu kwa maslahi mapana ya Taifa. Suala la nishati ya umeme kusuasua zaidi ya miezi 12 inatosha kabisa...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Askofu Mwamakula akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari kutoka Jambo TV amesema anaona sasa sio muda sahihi wadau na vyama vya siasa kuanza kuwahukumu wabunge juu ya miswada ya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Akitoa neno katisha sherehe ya kumkaribisha kwenye majukumu yake mapya Askofu Malasusa amesema: "Tuapitia katika nyakati ngumu sana ambazo watu wengi hawapendi kuongozwa, kizazi hiki ni kizazi...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mjadala wa kitaifa usingepaswa kuwa Dr. Hamisi Kigwangalla amekosea, atoe ushahidi, ataje, hakupaswa kusema alichosema, ana wivu kwa kuwa yeye yuko benchi etc, bali je alichosema ni uongo ama...
14 Reactions
36 Replies
3K Views
Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimetambuliwa rasmi kama chama kiongozi na kuagizwa kipewe maelezo kuhusu kila hatua ya maendeleo inayofanyika Nchini Tanzania. Tuliwahi kuandika humu...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
Kwakweli Kwa haya tulioyapitia miaka mitatu inatosha sasa Hatuwalaumu CCM Kwa huyu raisi tulienae kwa sasa lakini mtatukosea sana kama tutasikia huyu Rais ndio mtaempitisha kama mgombea...
24 Reactions
88 Replies
4K Views
Hayo ameyasema akiwa Wilayani Korogwe. Sambamba na Hilo, amedai kua alipokuwa mapumzikoni , Sheikh Mkuu Zuberi pamoja na Kadinali Pengo walikua wakimtembelea Mara Kwa mara kumfariji.
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Nikiwa kama Mwana Ukonga na mwananchi ninaejua siasa za Ukonga naomba nikiri kwa niaba ya wana Ukonga kuwa tunamuhitaji Jerry kuliko kitu chochote. Hii ni kwa mustakabali wa maisha yetu, kubali...
1 Reactions
60 Replies
2K Views
Back
Top Bottom