Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

“Wanasema wakurugenzi wasisimamie uchaguzi. Sisi tunasema Mtanzania mwenye sifa Tume itampa nafasi ya kusimamia uchaguzi.” – Paul Makonda, Katibu wa Halmashauri Kuu CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
0 Reactions
6 Replies
773 Views
Kati ya kundi zima la wana CCM mafisadi wa kizazi hiki ni wewe tu angalau umejitanabaisha kuwa MZALENDO WA KWELI, na unaehumizwa kwa wizi na ubadhirifu uliotamalaki katika awamu hii ya sita (IBA...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Hili suala la jeshi kuamriwa kufanya usafi kila vyama vya upinzani vinapotangaza maandamano halikubaliki. Wote tunalia hali ngumu ya maisha ikiwemo wanajeshi pamoja na familia zao na viongozi wa...
12 Reactions
71 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekemea na kuonya tabia ya baadhi ya Wana CCM wanaovunja taratibu za Chama kwa kuendekeza makundi baada ya uchaguzi, akisema...
1 Reactions
1 Replies
632 Views
NAMNUKUU "Hiko chama cha ACT Wazalendo kinachojilabu mwaka huu kitachukua Serikali mashudu, kusema kitu chengine bwana. Hapa waafrika hawatawaliwi tena, bora tufe sote kiwanja kiwe hakipo lakini...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho. Makonda amemtaka waziri wa Ardhi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna hoja imeibuliwa na CHADEMA kuwa kila Jimbo la Uchaguzi kuwe na Wabunge wawili yaani mmoja awe Mwanaume na mwingine awe Mwanamke. Binafsi naona hii ni neema kwa akina mama na ile dhana ya...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Wakuu habari zenu. Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa JMT Samia SH amesema Chama hicho kikubwa na makini kitawachuja na kuwaengua Wabunge wote ambao hawawajibiki Kwa Wapiga kura wao na...
2 Reactions
79 Replies
4K Views
Hizi ni hesabu za kijinga sana kuwazuia CHADEMA kuandamana. Kwanza watazuia nini? Ni nchi ipi duniani watu hawaandamani? WanaCCM wenzangu tutambue kuwa kama Kuna jambo CHADEMA ya Mbowe...
6 Reactions
7 Replies
617 Views
Huku kukiwa Tayari kumetolewa ratiba kamili ya maandamano ya Chadema na Wananchi , ili kupeleka ujumbe duniani wa kushinikiza kuondolewa kwa miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi bungeni , Tayari...
9 Reactions
49 Replies
3K Views
Kama itapendeza Chaguzi zote zisogezwe mbele kwa muda wa miaka miwili na Rais aendelee kutawala na kumpa muda wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki. Mambo yote...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda amlipua Freeman Mbowe kuwa "siasa imemlipa, amejenga kasri, naenda kulala kwake" PIA, SOMA: Matamko mengine ya Makonda Makonda: 2024 na 2025 tutakupima kwa...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi ,uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mwamba Mwenyewe na kijana jasiri zaidi kusini mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa Paul Makonda ameanza leo ziara zake rasmi...
0 Reactions
2 Replies
840 Views
" Toka tumpate katibu mkuu mpya ndg Nchimbi, wapinzani wameanza kutetemeka na simu yangu imekuwa bize kupita maelezo. Viongozi wa ACT, Chadema, NCCR nk wakiniomba kufanya mchakato wa kupewa kadi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mambo katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu Miswada ya Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 19,2024 ameanza ziara yake kwa kuongea na Wakazi wa Tegeta Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amesema Wabunge...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Katiba ya Warioba ishakulinda wewe, ishakutoa kwenye lawama, kwamba wewe hulaumiwi na CCM sababu hii ni katiba waliyoitaka watanzania. Lakini, kwanini huwatakii mema wafaidika wa mwanzo wa Katiba...
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Nikitafakari namna ACT Wazalendo wanavyofanya siasa na malengo waliyonayo kisiasa kwa siku za mbeleni naona wanakosa mikakati sahihi. Sometimes kuna kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo na...
10 Reactions
58 Replies
3K Views
CHADEMA watakapokuwa wanatueleza yaliyomo kwenye Maridhiano wasisahau kutueleza na Bajeti ya Vikao ilikuwa bei gani na kama Wajumbe wao walilipwa Posho. Bado hatujasahau UKAWA walivyokuwa Posho...
2 Reactions
4 Replies
322 Views
Back
Top Bottom