Hamad Masoud Hamad katibu mkuu wa CUF asema hakuna haja ya kuweka mbinyo miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi zibadilishwe kupitia maandamano ya amani yaliyoitishwa na...
Walimu hawajui kipaumbele vyao, full kujipendekeza! Hii Kada sometimes wanajidhalilisha Sana aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Inawezakana vipi mchangishane kumchukulia Form Mgombea ambaye hata...
1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction.
2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna...
Idara ya uhamiaji ya Tanzania inadaiwa wamejaa Wakenya! How come tunaruhusu haya..afu Wakenya wenyewe waliopo wengi ni TOP. (But Anna ni mtu wa kusini).
Idara ambayo ni mama ya inchi kama...
Baada ya Mwenyekiti wa Chadema kuutangazia Umma kuwa chama chake kinategemea kufanya maandamano ya amani jijini Dar tarehe 24 mwezi huu, kama kawaida viliibuka baadhi ya vyama, wakiongozwa na...
RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUJENGA MADARAJA KUSIKOFIKIKA :BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa hapo jana huko babati Mkoani Manyara ametoa hotuba ya mwaka,hotuba iliyoteka na kugusa hisia za...
"Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura...
Wanaukumbi.
Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya...
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.
So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.
Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais...
Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa...
Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa...
Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho...
Habari JF , kwa kifupi kabisa kwa katiba tuliyo nayo ni katiba ambayo ina upendeleo mkubwa kwa watawala na kuwapa nguvu kubwa kutawala .
Kwa maana nyingine sio katiba ya kizalendo sababu haiwapi...
Yaani habari inayo trendi ni Rais KURUHUSU Maandamano.
Imekua ndipo habari kubwa zaidi hâta ya hoja za Chadema.
Kiukweli Mpaka Sasa ni kama hakuna MAANDANO yaliyo tokea.
Kwa jambo hili Rais...
Paul Makonda a.k.a Bashite wa Kolomije ameteuliwa hivi karibuni kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM.
Bashite ikumbukwe alikuwa mkuu wa Wilaya na Baadaye Shujaa alimteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
MAONI MBELE YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE MASUALA YA UTAWALA, SHERIA NA KATIBA
6 January 2024
Katibu Mkuu chama cha walimu (CWT) Mwl. Japhet Maganga ashauri ma- DED waendelee kusimamia Uchaguzi...
Yaani CCM yangu, hata uwe mbumbumbu kiasi gani, tunachojali ni uwe na uwezo wa kutuletea ushindi tu. Kwa kifupi uwe la saba, uwe na cheti feki, uwe hujasoma, uwe mchawi, uwe tajiri, uwe profesa...
15 January 2024
Amesema siku hiyo kama kuna watu watajibadilisha kuwa takataka watabebwa.
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ATANGAZA SHUGHULI NYINGI ZA WAZI ZA UMMA ZITAKAZO WATINGA WATENDAJI WOTE...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewatakia kila la heri wafuasi wa CHADEMA waliokutana maeneo ya Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kwa ajili ya kuanza maandamano ya amani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.