Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wanalenga nini hasa hili kundi? Kumuomdoa incumbet mamlakani? kwa hoja na mipango gani... Kupata nguvu na nafasi za kisiasa kwa kushiriki na kushinda uchaguzi? Je wanatumia mbinu na mtindo gani...
2 Reactions
5 Replies
323 Views
Rasmi tunaanza Ajenda ya Samia 2025 leo katika Jimbo letu la Ilala. Hatutazimwa na mtu wala hatutawashwa na mtu, tumeamua kumbeba na kumtetea kiongozi anayesimamia umoja katika taifa letu. Musa...
0 Reactions
10 Replies
866 Views
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Dodoma == Ameandika Mnyika katika ukurasa wake wa X, "Maoni yetu na ya wadau yamepuuzwa. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa kwenye tovuti ya Bunge, miswada mibovu ya...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa UVCCM taifa ndg Mohamed Kawaida amemtaka aliyekuwa mbunge wa Arusha ndg Lema aachane mara moja na CCM pamoja na Makonda na badala yake ambane mwenyekiti kuhusu matumizi bora ya pesa...
1 Reactions
4 Replies
408 Views
Kabla hata ya mkuu wa Majeshi kuongea lolote hapa JF hizo story za Viongozi ambao wanaotuhumiwa kuwa raia wa nchi Jirani zilikuwa zimesambaa Sana. Binafsi siamini kama kweli Jeshi limechunguza...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Mbombo ngafu, hii imekaaje? CHADEMA hawawatambui Halima Mdee na wenzake, lakini wanaenda kwenye kamati ya Bunge la akina Mdee kutoa maoni yao kuhusu sheria za uchaguzi, na wanatarajia hao hao...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 2, leo Januari 31, 2024. https://www.youtube.com/live/aKnZBQWXD_o?si=nsUmxYJmKTyrVV5i "Mchango wangu unajielekeza katika Muswada...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Bodaboda mkoani Mwanza wamemzawadia Rais Samia Suluhu ng’ombe ikiwa ni shukurani zao kwa juhudi kubwa anazofanya. 📹 SwahiliTimes
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Chama Cha Mapinduzi kimeanza kugawa Ilani yake mpya na sasa kimefikia ngazi ya chini kabisa ya matawi toka juu. Haikufahamika mapema kama wadau wengine wa chaguzi vikiwemo vyama vya siasa navyo...
1 Reactions
6 Replies
479 Views
Mbunge wa jimbo la Kiteto ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Edward Olelekaita amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikubainisha Tume ya...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Ileje Kata ya Ibaba kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero za wananchi na...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Akiwasilisha maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023, Waziri Jenista Muhagama (Waziri wa Nchi, Bunge na Uratibu) amesema Serikali inapendekeza ibara...
1 Reactions
1 Replies
887 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (R) Jacobs Mwambegele (kushoto) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine kiliteua madiwani watano (5) wanawake...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Nimemsikiliza Mwenyekiti ya kamati ya Bunge. Huyu ndugu alipewa majukumu mawili kwa wakati mmoja. Kusikiliza wananchi na kupeleka maoni yao bungeni au kusikiliza maoni ya wanakamati na kuyapeleka...
1 Reactions
0 Replies
446 Views
Paul Makonda anazunguka nchi nzima,anafanya maigizo kwa wananchi, kujidai wanaripoti matatizo kwake na yeye kuyatatua ambapo huenda ,so far amepita sehemu ambazo mteuzi wake hajafika. Mwenezi...
44 Reactions
115 Replies
5K Views
Hii Ndio taarifa inayojadiliwa zaidi na Wana Mbeya kwa sasa RC Homela na Uongozi mzima wa mkoa wa Mbeya tarehe 02/02/2024 watasikiliza kero za Wananchi wote wa mkoa huo Hii inafanyika kabla...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara ,akiwa Shinyanga mjini ametoa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi. Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Umewahi kumpigia kura mgombea tofauti na wa chama chako kwa kuwa unaona ana sifa bora za kuwa kiongozi kuliko wa chamani kwako? Au unampigia yule tu aliyesimamishwa na chama chako hata kama unaona...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Back
Top Bottom