Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kuisisitiza Serikali kuhakikisha Miswada mitatu iliyopelekwa bungeni kuakisi maoni na mapendekezo ya wadau wa demokrasia nchini.
Miswada hiyo ni pamoja na...
Habari za wakati Huu;
Haya ni maoni ambayo pia nimeona niyalete hapa tuyaone. Moja kati ya changamoto kubwa kuliko katika Demokrasia ya Tanzania ni swala zima la Msimamizi wa Uchaguzi. Je Jukumu...
Taarifa zilizozagaa kila mahali zinadokeza kwamba , mchango wa maoni ya Sheikh Amiri Musa Kundecha aliyoyatoa kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba , kuhusu marekebisho ya Sheria za Uchaguzi...
Kwa drama hii inayofanywa na Serikali kuhusu miswada hii au kama alivyoiita Mbowe kuwa ni MATUSI, basi IT IS OVER BEFORE IT BEGINS.
CCM wameshaamua kuwa miswada hii inaenda kama ilivyo with...
Bunge lina Wabunge wa CCM kwa zaidi ya 98% so hakuna muswada wowote wa kuitia kitanzi CCM utakaopitishwa.
Ni mjinga tu anayeamini CCM itawaondosha Wakurugenzi wa Halmashauri na Walimu kwenye...
Muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano tarehe 24.01.24 maelekezo yametolewa kila kona watafutwe wanachama wahojiwe na vyombo vya habari wapinge maandamano hayo.
Siamini katika...
Kwanza, Mungu yupo upande wako kwa kazi nzuri unazo wanyanyia waja wake.
Pili, watanzania wote wenye mapenzi mema wanakuunga mkono umewaonyesha njia.
Tatu, wanawake ni jeshi kubwa wameamua na...
Ukiangalia Kikosi cha Chadema cha sasa hakuna muandamanaji pale ni kuwadanganya tu Wananchi
Wale wanaotaka mabadiliko ya kweli ni heri waungane na Vuguvugu la akina Dr Mdude na Wakili msomi...
- Kukatika katika hovyo kwa umeme
- Fukuza fukuza ya machinga
- Kuongeza nauli hovyo hovyo
- Ubovu wa miundombinu ya barabara
- Kukwama kwa miradi mbalimbali
- Mfumko wa kutisha wa bei
-...
"Kila baada ya miaka mitano, asilimia takribani 65 ya wabunge hawarudi [hawachaguliwi tena]. Kwahivyo, hata utishie namna gani, utatoka tu kama wakati wako wa kutoka umefika." - Mbunge wa Nzega...
JamiiForums , Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Taasisi ya Twaweza na Centre for Strategic Litigation (CSL) wametoa...
Taasisi nyingi ikiwemo TEC, KKT, CCT, BAKWATA na mengineyo na pia watu wengi wametoa maoni yao kuhusu sheria 3 zilizowasilishwa Bungeni Novemba 2023 na kwa asilimia kubwa wameiomba Serikali na...
Hivi ni lini CCM itatoka madarakani, moja ya furaha yangu nikuona Ccm wakipokonywa kiti cha uRais sio kwa ubaya ila tu mabadiriko haya natamani niyaone nikiwa bado hai.
Mimi ni MwanaCCM japo...
1. Wabunge wote wachaguliwe kupitia kura za wananchi katika majimbo. Kusiwepo na wabunge wa viti maalum au wa kuteuliwa.
2. Jimbo moja la ubunge liundwe na idadi ya raia kati ya 150,000 hadi...
Kila mchangiaji anayetaka Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wasimamizi wa Uchaguzi mkuu anatolea mfano Uchaguzi wa mwaka 2020 Kwamba haukuwa Huru na Haki
Tena wanadai Wabunge Wengi walitangazwa...
Kwanini wengi wa wachangiaji wamepinga mswada kama wawakilishi wa Taasisi za Kidini, wakristo na waislamu wote wanapinga.
Kwa ushahidi uliowazi wawakilishi wa taasisi za kijamii na zenyewe...
Baada ya mivutano ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kuhusu Tume ya Uchaguzi kuajiri wafanyakazi wake yenyewe , badala ya kutegemea Makada wa ccm wale Wakurugenzi wa Halmashauri ...
Mama Samia Legal Aid Campaign imejidhatiti kuwasaidia Wananchi kwa kuwapatia huduma ya Msaada wa kisheria maeneo walipo katika migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi utawala, matunzo ya watoto, ukatili...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Biteko mkoani Mtwara tarehe 14 na 15 Novemba 2023 imeleta matokea...
Taarifa ikufikie popote Ulipo duniani , Kwamba miongoni mwa mambo Makubwa yatakayotokea leo Duniani ni Pamoja na Chama kinachoungwa mkono na Watanzania wengi kuliko Chama chochote cha kisiasa ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.