Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia...
Siku hizi Wabunge ni wajanja sana kabla hawajaulizwa swali kama hili Wao Ndio huanza kumpamba Rais kwamba yeye Ndio alpha and Omega.
Nakumbuka Mwalimu Nyerere alipombabatiza na swali hili mbunge...
Kutoka mtandao wa X, kizuri Kula na mwenzio, naweka hapa ili wapiga zumari wajifunze Namna ya kumsifia unayempenda bila kujidhalilisha. Kumbuka technology haiongopi. Tunadanganya kwa faida ya...
Akiwa bungeni Dodoma, Ezra Chiwelesa, Mbunge wa Biharamulo ameitaka serikali kuajiri vijana kwa ajili ya kuijibia na kuitetea Serikali pale kunapotokea upotoshaji kwenye mitandao ya kijamii...
"Siku mkisikia wazungu wananisifu tambueni nimewasaliti" ni maneno ya Samora Machel kwa wananchi wake. Tuje hapa kwetu sasa. Hii serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima Nini hasa dhumuni...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Makonda hapoi wala hakauki midomoni mwa watanzania.ni mtu na kiongozi wa kugonga na kuteka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kila uchwao utafikiri field...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu...
Godbless Lema ameandika ukurasani X
Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja
Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee
====
Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu...
Wamefunguliwa kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki
Kesi hiyo imefunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam.
Bado haijajulikana kama watapata dhamana au watapelekwa Segerea...
Tar 2 May Mh Lissu akihutubia Mkoani Iringa alitoa shutuma za Rushwa kwa Mafumbo, lakini alikua akimlenga Mh. Joseph Mbilinyi, lengo lake kwenda Iringa ni Kumshika Mkono Rafiki yake Peter Msigwa...
Inadaiwa kitetesi kuwa kamati Kuu ya Chadema itajadili Maoni ya makamu Mwenyekiti wa CCM komredi Kinana Wakati wowote kuanzia sasa kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi
Kwa sasa kila taasisi yaani Mnyika...
Kwa muda mrefu nimejaribu kufuatilia hili swala la kugombea Urais wa Tanzania kupitia vyama vya upinzani bado sijapata jibu la moja kwa moja.
Unaona kabisa kuna wanasiasa wako serious kabisa kuwa...
KADA WA CCM AMJIA JUU MWENYEKITI WA UVCCM KAGERA.
Kada wa CCM kutoka wilaya ya Muleba Ndg,Mohamed Ismail wakati akizungumza na Waandishi wa habari amemtaka Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera...
Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha.
Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana...
Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe.
Aidha Lissu...
Ni vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa...
Hakika kutokana na kiti cha urais kukaniwa na ccm ni wazi ccm itatumia mbinu zote kuhakikisha inashinda uchaguzi huo kama hayati magufuli alivyoukania urais na kuamua kuuvuruga ule uchaguzi ili...
Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa.
Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz...
Kutokana na hali ya ukuaji wa matumizi makubwa ya mitandao habari zimekuwa zinafika kwa wakati.
Hali hii mpaka tufike Uchaguzi Mkuu sidhani kama nyomi zile tulizoziona chaguzi zilizopita zitaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.