:argue:
Wanajamii wenzangu, je haya majibu yanasadifu kile kilichokuwa kikidaiwa na walengwa wa lile lalamiko?
CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
UFAFANUZI KUHUSU FURSA KWA WANAFUNZI KUPIGA
KURA CHUONI...
Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (sura ya 343) 30 Juni 2010 inatuelekeza nini?
7(5) Kila msimamizi wa uchaguzi na msaidizi wake wataapa kiapo cha kutunza siri mbele ya hakimu.
[ni siri gani hii wakati...
Wana JF,
Kwa taaaarifa ya kutoka kwa mtu wangu wa karibu huko Dar ameniambia Katibu Mkuu wa CCM Yusuph Makamba Kutua Arusha muda wowote kuanzia kesho akiongozana na Jopo la wana CCM Taifa...
Ndugu wadau,
Kuna taarifa nimekuwa nikizipata siku za hivi karibuni kutoka Wilayani Serengeti kwamba mgombea ubunge wa jimbo la Serengeti kupitia chama cha CCM aliandika barua ya kutaka kujitoa...
Nimesoma Habari leo! Mwandishi Steven Peter ameanika wazi kuwa Mbowe ndiye aliyetangaza kumwaga damu kama Chadema isingechaguliwa. Nakumbuka Mh Dr Slaa akiwapa changamoto mjeshi amkamate aliyetoa...
JK amekuwa akiwabeza wapinzani wake kuwa wanatoa ahadi ya kutolewa elimu bure wakati haitekelezeki. Lakini ni JK huyo huyo ambaye siku si nyingi alisema atatoa computer (desktop) kwa kila...
Ujumbe umefutwa (nakala ipo), ulikuwa unataja majina ya watu moja kwa moja bila kuwa na ushahidi wa wazi. JF HAIPO kumchafua mtu bila kuwa na uthibitisho wa kauli. Mwanzisha hoja akija na ushahidi...
Friday, 15 October 2010
Na Hussein Kauli
SIKU 16 kabla ya kufanyika wananchi kupiga kura, askofu mkuu wa Kanisa la Anglikana, Dk Valentino Mokiwa amedai kuwa hivi karibuni alipelekewa rushwa...
By Ansebert Ngurumo
SWALI kuu la wiki hii ni hili: Kwa nini Rais Jakaya Kikwete ameogopa kuwatumia wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), badala yake akawatumia wanafamilia kutafuta wadhamini...
Yale yaliyomkuta Mrema mwaka 1995 ndio yanaelekea kumkuta Slaa,
Naam,,, sio wote wanaokwenda kwenye mikutano yake ni wapiga kura wake... Hayo yamedhihirika katika mkutano wake wa hivi karibuni...
WanaJF
Naelekea kuanza kuamini kuwa NEC wanaweza wesiwe huru kwa katika uchaguzi huu
naanza kuamini kuwa NEC iko under remote control ya UWT na imevamiwa na Vijana wa IT wa UWT, mpaka sasa...
chizi maarufu mjini dodoma almaarufu 'morogoro-dar' au 'usalama wa taifa' amekuwa akionekana katika mitaa ya mji huu; huku akiwa katika mbio kwenye mitaa ya jiji hili, akipuliza kipenga chake...
Baada tu ya Prof.Lipumba kuongea na wanachi,aka ponda chadema kadri alivo weza!
Badae akakaribishwa mwera kuongea na wana tarime,....nilijua naondoka peke yangu....oooooh nashangaa umati wa watu...
Kweli Watanzania wengi sasa wameanza kuamka -- ukiachilia mbali wale wachache walioathirika na sekondari za kata. Nilikuwa Mbeya wiki iliyopita na kila nilipopita wananchi wanasema CCM iko tayari...
Kwa mara ya kwanza, makada wa ngazi za juu wa CCM hapa Arusha wameanza kukiri ya kuwa tofauti na ngebe za Katibu Mkuu wao, Yusufu Makamba, JK siyo mtaji mkuu wa chama hicho kikongwe nchini bali...
Nimekuwa nikitembelea blogs za watu wengi lakini hii ya JIACHIE kidogo inanifanya nitumie muda zaidi na kila mara kupitia kwasababu inaleta habari ambazo ni za ukweli ukilinganisha na blogs...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetwishwa tuhuma nzito za kuandaa mipango ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi mkuu ili kionekane kimeshinda, MwanaHALISI inaweza kuripoti.
Taarifa zilizosambazwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.